Baraza la Famasi imesema limekuwa likifuatilia mwenendo wa utoaji wa dawa za macho kwenye baadhi ya maduka ya dawa Nchini ambapo limebaini utoaji holela wa dawa za matone za macho zenye viambata vya antibiotic na steroid kwa Wagonjwa wa Red Eyes wanaofika kupatiwa huduma kwenye baadhi ya maduka...
MBEGU za PARACHICHI hutibu magonjwa ya fuatayo.
🌿High blood pressure
🌿High cholesterol
🌿Asthma
🌿Low immunity
🌿Cancer of the blood
🌿Obesity
🌿Candidiasis
Unachotakiwa kufanya ni kuchukua MBEGU ya PARACHICHI na kuisaga alafu utapata Unga.
Matumizi: Utakuwa unachemsha maji anaweka kwenya kikombe...
Ni kweli wameshindwa kabisa kugundua dawa ya kutibu Ugonjwa wa Ukimwi au wana maslahi na ugonjwa huu?
Kwa miaka mingi tangu ugonjwa huu ulipogundulika kumekuwa na taarifa nyingi zenye utata kuhusu tiba yake,
mara tiba yake inafanyiwa uchunguzi na majaribio lakini hadi leo bado ni kizungumkuti...
Leo hii duniani hakuna ugonjwa unaoua watu wengi kama kuzeeka. Zaidi ya asilimi 60 ya watu wanaokufa leo hii wanakufa sababu ya uzee.
Ugonjwa wa kuzeeka unatokea pale seli za mwili zinapoacha kugawanyika na kutengeneza seli mpya. Inadaiwa kuwa kwa wastani seli ya binadamu inaweza kugawanyika...
Hii ni habari njema kwa wagonjwa wa seli mundu ama Sickle Cell.
Shirika la Madawa Marekani la FDA limeruhusu dawa ya kutibu ugonjwa wa seli mundu ianze kutumika.
Kwa sasa gharama ya kutibu mtu mmoja bado iko juu lakini wanasayansi wamesema wanajitahidi kuhakikisha bei inashuka na kuwafikia...
Unaweza kuiita ni habari njema kwa watu wenye matatizo ya moyo, baada ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kuanza kutibu wagonjwa wenye mishipa ya moyo iliyopasuka.
Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Dk Peter Kisenge ameeleza hayo leo, Novemba 23, 2023 jijini Dar es Salaam wakati akifungua...
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) - Mlongazila, imesema huduma ya kupunguza uzito na upasuaji rekebishi zinazotarajiwa kufanyika hospitalini huko, zitahusisha pia wanaume wenye maumbile kama matiti.
Mkuu wa Idara ya Upasuaji MNH-Mloganzila, Dk. Eric Muhumba, alibainisha hayo na kueleza kuwa...
MKURUGENZI Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi amesema hospitali hiyo inatumia mtambo wa kuyeyusha damu iliyoganda kwa mtu aliyepata kiharusi.
Profesa Janabi alisema hayo Dodoma jana na akasema kwa sasa kwa wanaopata ugonjwa huo wanatibiwa kwenye kifaa hicho...
Wasalaam nyote,
Ushiriki wa watu wa afya unahitajika sana hapa.
Kutokana wimbi kubwa la pisi kali kuzagaa mitaani, majumbani na sehemu za kula bata, na wimbi la sisi wanaume kutaka kufaidi na kuendelea kufaidi ulaji wa shoo kavukavu kwa kusingizia kuzidiwa.
Basi ni vema walau tuambiane...
Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI), inatarajia kuanza kutoa huduma ya kuzibua mishipa ya uume ikiwa ni hatua ya kukabiliana na upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume wenye tatizo hilo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa JKCI Dk. Peter Kisenge...
Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu leo Mei 12, 2023 Bungeni Dodoma kwenda kwa Waganga wa Wilaya na Mikoa Nchini kote akiwataka kusimamia utoaji wa Dawa hizo kwa Watoto wenye chini ya miaka 5.
Waziri Ummy amesema Dawa hizo zikiwemo Kidonge Myeyuko cha 'Amoxicillin', Zinc na...
Stafeli (soursop), pia inajulikana kama Graviola, ni tunda ambalo asili yake ni Amerika Kusini na Kati. Mti wa mstafeli hutoa tunda kubwa la kijani kibichi na lenye mvuto. Tunda hilo linajulikana kwa ladha yake tamu na nyororo, ambayo inafanya kuwa kiungo maarufu katika vinywaji hususani...
Taharuki yaibuka mkoani Arusha baada ya mwanamke mmoja Ester ambae ni mzaliwa wa Singida, Baada ya kuvimba na kuoza kwa kwa vidole vyake vya mkononi kudai kwamba sababu ya tatizo lake hilo baada ya kuchomwa sindano ya U.T.I katika moja ya duka la madawa (pharmacy) linalopatikana mkoani hapo...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala za kwa maslahi ya taifa.
Makala ya leo ni jinsi Watanzania wanavyoishadadia Ripoti ya CAG ya mwaka huu kushangalia ufisadi, as sasa ndio kuna ufisadi saana, kumbe kwa miaka 10 mfululizo ripoti za CAG zinaonyesha ufisadi na tena...
Nafahamu kweli mfano metronidazole inaleta side effect chapu tena inaweza ikaua kabisa ukichanganya na pombe
Ila sijasikia dawa eti inaleta side effect taratibu.
Kama ipo itaje, taja na side effect yake tujifunze.
Mkazi wa Kijiji cha Nyarukoru, mkoani Mara, Matimba Washa (28), ameshitakiwa katika Mahakama ya Wilaya ya Butiama kwa makosa matatu likiwamo la kukutwa na kobe 998, magamba 10 ya kobe, ngozi ya Nyati na mkia wa Nyumbu, vyote vikiwa na thaman ya Sh168 milioni.
Mshtakiwa huyo akidai ameoteshwa na...
Habarini za hapa wanajukwaaa
Mimi ni mwanamke nnasumbuliwa na vijpu kwenye ovary, nmehangaika karibu miezi sita bila mafanikio
Kibaya zaidi limeota lingine upande wa kulia wakat lile lingine nahangaika kulikausha ndo kwanza linazidi
Naombeni ushauri niende wapi nmeshahangaika sana hospital na...
Mdau wa JamiiForums analalamika kuwa alitumia dawa za kutibu Ugonjwa wa Malaria zinazoitwa EKELFIN ambazo baadaye zilimsababishia kupatwa na mchubuko sehemu za siri na midomoni.
Anashangaa kwanini Serikali haitoi taarifa kwa watumiaji juu ya madhara ya dawa hizi kwa binadamu.
Ni kweli kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.