kutisha

Kutisha (Russian: Кутиша) is a rural locality (a selo) in Levashinsky District, Republic of Dagestan, Russia. The population was 1,922 as of 2010. There are 22 streets.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakati Halima Mdee na wenzake wakipewa majina ya kutisha na kutukanwa hatukusikia taasisi wala kikundi kukemea!

    Wabongo tupunguze unafiki na udaku,sidhani kama kuna nchi yeyote duniani inaizidi tanzania kwa undimilakuwili,niwatu waliokosa ajenda watu wa kukurupuka. Juzi kuna habari imetokea huko kwenye ziara za Rc mmoja hiyo habari kila mmoja amekurupuka eti wamejisikia uchungu kwa kuwa tu huyo mama...
  2. BLUMHOUSE - Wakali wa movies za kutisha duniani

    Ukiona hii chapa, basi ujue humo ndani sio drama, mapenzi wala vita. Hawa jamaa hawana mambo hayo. Hawa wameletwa duniani kwa kazi moja tu, kuwafurahisha wapenzi wa 'horror' na sie tunawashukuru mno kwa hili. Hizi hapa ni baadhi ya kazi zao, ukipata muda basi jikonge na roho yako. 1. HAPPY...
  3. MDAU: Simba sio mnyama wa kutisha, mnyama wa kutisha ni yule aliyemuua Samson

    Mdau mmoja wa anasema watu wengi wanamwogopa Simba, na kusema ni mnyama hatari na wakuogofya, lakini la hasha Simba sio mnyama wa kutisha katika macho ya binadamu kwa sababu binadamu huyo huyo ameshawai kuua Simba mara kadhaa. Wengi mnakumbuka kisa cha Mwamba mwenye nguvu iliyepiga na kuua...
  4. S

    Uwindaji wa Tembo Endulen Umedhoofisha Diplomasia na Kenya

    Habari wadau! Kuna jambo hili linalalamikiwa sana na Serikali ya Kenya kila kukicha serikali imeweka pamba masikioni. Kuna uwindaji wa Tembo wakutisha unafanyika Endulen (kwa wasiojua Endulen ni pori la wanyama lililoko mpakani kati ya Amboseli National park na Tanzania upande wa huko West...
  5. Pongezi sana kwa Jeshi la Uganda na mengineyo duniani yaige

    UPDF trains 177 Guinea Bissau soldiers in VIP and special operations tactics A total of 177 trainees from Guinea-Bissau, who underwent training in the Very Important Persons and Special Operations Tactics Course, passed out today at the Special Mission Training Centre in Butiaba, Bulisa...
  6. Barabara ya Tabata Mawenzi ina mashimo ya kutisha, magari yote mwezi ujao lazima yafurike gereji

    Kwa magari yanayopita hapo daily, next month andaeni bajeti ya Shockabsorbers, ball joints na bushes za aina mbali mbali. Kuhusu picha mi nimeona aibu kupiga picha, mwenye ujasiri wa kupiga picha aende akapige mwenyewe.
  7. Kwanini ukatili wa kutisha wa Japan hauzungumzwi sana tofauti na wa Mjerumani katika vita vya pili vya dunia?

    Katika maisha yangu ya kusoma vita vikubwa vilivyowahi kupiganwa duniani basi vita vya kwanza na vya pili vya dunia haviachi kugusiwa. Sasa katika kufundishwa kwa vita hivi vikuu vya dunia hasa vita vya pili kuna jambo moja nimegundua. Jambo lenyewe ni kuwa katika maadui wanao zungumziwa sana...
  8. Ongezeko la kutisha la ugumba

    Habari, Naomba niende moja kwa moja kwa moja kwenye mada. Zamani ilikuwa wakikutana vijana ambao wako balehe na kushiriki tendo basi asilimia kubwa ni ndani ya miezi kadhaa tu walishapeana mimba. Lakini hali kwa sasa imekuwa tofauti mno kwani ukienda kwenye mahospitali dada zetu wanaotafuta...
  9. Wale Wazee wa movie kali za kutisha vipi nmamtambua huyu mwamba?

    wrong turn, kuanzia episode 1-6 moja kati ya muvi kali za kutisha nilizowahi kuzitizama.
  10. Mambo ya kutisha kuhusu Mamelod Sundowns "Masandawana"

    Wagumu nyumbani, sio wanyonge ugenini Mamelodi Sundowns ni miongoni mwa timu ambazo huwa sio rahisi kupoteza mechi kwenye uwanja wao wa nyumbani pindi inaposhiriki Ligi ya Mabingwa Afrika jambo linalochangia kuzipa presha timu nyingi ambazo huenda kukabiliana nayo. Tangu ilipofungwa mabao 2-1 na...
  11. Asilimia 10.3 ya Wanawake Duniani wanaishi katika Umasikini wa kutisha kuliko Wanaume

    Wanawake wanakumbana na viwango vya umasikini vya juu kuliko Wanaume, na pengo la kijinsia katika Umasikini linatarajiwa kuendelea hadi katikati ya karne. Takwimu za Kimataifa kutoka UN Women zinaonesha, asilimia 10.3 ya Wanawake Duniani wanaishi katika Umasikini wa kutisha kuliko Wanaume...
  12. J

    Luhanga Mpina aibua mambo ya kutisha huduma za kuongeza makalio, atoa ufafanuzi mzito

    UFAFANUZI WA MBUNGE WA JIMBO LA KISESA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA, KUHUSU HOJA YA HOSPITALI ZA SERIKALI KUANZA KUTOA HUDUMA ZA KUONGEZA MAKALIO NA MATITI ALIPOZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO TAREHE 14 FEBRUARI 2024 VIWANJA VYA BUNGE DODOMA Ndugu Waandishi wa Habari, asanteni kwa nafasi hii...
  13. Tanzania hakuna mgawo, South Africa inatisha, mgao ni wa kutisha!

    The blackouts, commonly referred to as load-shedding, are a critical measure aimed at preventing a complete collapse of the strained electricity grid. Eskom, the state-owned power utility, has announced the implementation of load-shedding from 5 am to 4 pm on Tuesday, exacerbating the...
  14. Tukio la kutisha: Tuweni makini na mafuta ya kupikia. Kuna mtoto kaharibiwa sura

    Sambamba na hilo: • Nimeambulia kipigo ndoige kutoka kwa mwananchi mwenye hasira kali kwa kuwa nimeshuhudia tukio • Nimepoteza mpenzi papo hapo Somewhere in Dar es salaam Pembezoni mwa fremu moja ambayo hutumika kwa ajili ya wateja wa mama ntilie x kupata msosi, kuna mwanamama ambaye hukaanga...
  15. Somo juu ya BIBLIA na QURAAN kwa Ujio wa haya Marobort ya Kutisha

    Moderetors + Members habari,Poleni na majukumu, Nawaza katika vitabu vyetu vikuu vya Imani yaani BIblia na Quraan hasa katika utabiri wao wa siku za mwisho hapa Dunian.i Je vilijaribu kuonesha mwanga hata katika Lugha ya Picha Kuhusu ujio wa Tech ya AI.Je mitume na waandishi wa vitabu waliweza...
  16. DOKEZO Serikali isipoingilia kati, kuna siku yatatokea Maafa ya kutisha Mbagala

    Hawa ni wamachinga wakifanya biashara zao barabarani bila kujali hatari inayoweza kutokea. Ni kweli kwamba kila Mmoja wetu ana haki ya kujitafutia riziki, lakini riziki ya namna hii yaweza kuleta Maafa ya kukumbukwa milele. Baada ya Maafa Chalamila ataunda Tume ya Uchunguzi .
  17. DOKEZO Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

    Angalia huyu binti hapo amefanya sex mbele ya ndugu zake na wazazi bila kujua, anatoka akipandisha chupi na hawezi kusema kutokana na aibu. Watu wanapokwenda beach, wasichana wengi wanapenda kuogelea na wengi wao hawajui, hivyo wale Beach Boys wanaokodisha maboya huingia nao kwenye maji kwa...
  18. Ramadhan brothers ni viumbe wa kutisha! Show zao ni jasho na damu ! Sioni kama tumewachukulia serious!

    Kama una moyo mwepesi huwezi kuangalia show yao mpaka mwisho, kama kuna talent za kutisha basi hii talent ya hawa vijana ni ni ya kutisha mno. Wanaenda kuweka historia Duniani, kama Dunia haitaendekeza ubaguzi Basi Hawa jamaa hawana mpinzani kote duniani, Serikali iangalie upya namna ya...
  19. New York! Mafuriko ya kutisha katika jiji kubwa zaidi huko USA!

    "Hii ni dhoruba inayotishia maisha," gavana Wa New York alisema. Mvua ya mwezi mmoja ilianguka kwa masaa machache tu ijumaa, wataalam wa hali ya hewa walisema. Hadi 20 cm ya mvua ilianguka katika sehemu zingine za jiji. Mamlaka za jiji zilitangaza hali ya dharura. Video inaonyesha watu...
  20. O

    DOKEZO Ufisadi wa kutisha Halmashauri ya Wilaya ya Rorya kupitia kampuni ya Ongujo Investment

    Waziri wa TAMISEMI na Taasizi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (PCCB) tumeni kikosi kazi kuchunguza Halmashauri ya Wilaya ya Rorya kuna ufisadi wa kutisha. Kampuni ya Ongujo Invesment inayomilikiwa na Ndg. Ongujo Wakibara (OWAN) ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Rorya imepewa zabuni ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…