MBUNGE NDAISABA ASHIRKI HAFLA YA MIAKA 10 YA CRDB KUTOA HUDUMA ZA KIBENKI KUPITIA MAWAKALA
Mbunge wa Jimbo la Ngara Ndaisaba George Ruhoro tarehe 08 Mei, 2023 alishiriki Hafla ya kuadhimisha miaka 10 tangu CRDB walipoanza kutoa Huduma za Kibenki kupitia Mawakala ambapo Hafla hiyo iliandaliwa na...
Watu wengi wakiulizwa kuhusu kutoa mimba wanasema hoo sijui unaua kiumbe Cha Mungu. Sasa Nina maswali.
1. Mtoto anaanza kuwa na mawazo na viungo muhimu na maumivu katika miezi mitatu ya mwisho.
2. Hamna mtu anakumbuka chochote kabla ya kuzaliwa this shows haukuwa unaishi ndo maana hatuhesabu...
Tanzania hii kuna shida sana taaasisi zake ni za hovyo kabisa. Unaomba mkopo wa boashara mara ya pili toka nmb kukupa tu ni tatizo ukiwauliza hawana majibu. Uneza kidhi vigezo vyote ila watumishi wake wanakuwekea urasimu usio na maana badirikeni la sivyo taasisi za nje zitatawala apa nchini...
Ukiachana na wao kushika namba moja katika elimu kwa mikoa yote ya kusini (Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Ruvuma, Lindi na Mtwara) huku kwenye gospel wametikisa vilivyo si kwa mikoa ya kusini tu bali ni nchi nzima.
Wachungaji na waimba gospeli wapo utitiri sana lakini hawa ni baadhi yao...
DKT. SAMIZI AKOMAA NA MRADI WA MAJI ULIOKWAMA WA KIFURA, SASA KUANZA KUTOA HUDUMA AGOSTI 31.
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi anaendelea kusimama kidete kuwasemea wananchi wake pamoja na kutatua kero zao ili kusukuma maendeleo yao ambapo sasa amekomaa...
Mamlaka ya mapato Tanzania TRA imetangaza kuanzia leo tarehe 1/5/2023 kuanza zoezi la ufuatiliaji katika Mikoa yote wasafirishaji wa vifurushi/ vipeto kuhakikisha wanatoa risiti za EFD kwa wateja wao.
Kumbuka: Ukikutwa haujatoa risiti adhabu yake ni kulipa faini kuanzia 3,000,000 hadi 4,000,000...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Zanzibar), Hassan Khatib Hassan akielezea mfumo uliopewa jina la 'Sema na Rais Mwinyi' ambao anadai umesaidia kuwepo kwa #UhuruWaKujieleza kutokana na Wananchi kupata nafasi ya kumuuliza Rais maswali na kutatuliwa kwa changamoto zao
Anasema “Dunia yote mashirika...
Nashangaa sana katika hili taifa mwanzo walisema Kuna mtu/kibaka alifanya hujuma akakamatwa Sasa leo Tena ni Nini?
Halafu tunaomba kuandaa afcon kwa hali hii tutakubaliwa kuandaa mashindano ya afcon??
Ni aibu kubwa kwa KWELI/tunaaibika kimataifa.
---
aibu
dhahiri
goli
kubwa
kuona
kutoa
kuzima
kwao
madaraka
magufuli
matatizo
mdogo
mechi
milioni
milioni 10
mkapa
nguo
samia
siku
taa
taifa
umeme
uwanja
uwanja wa taifa
wahuni
wazee
yanga
Nakumbuka nilipotea hapa jukwaani kama miezi tisa hivi,basi nikiwa huko nilikokuwa nikawa nasoma tu nyuzi za wanajamiiforums, kupitia simu ya mwana,kila nyuzi ninazosoma kwa muda wote huo,hakuna coment Wala tag, ya kukumbukwa Hata kwa mabaya yangu.
Asee niliumia Sana Kumbe hata ningekufa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameamua kuongeza fedha za motisha kwa timu za Simba na Yanga kutoka shilingi Milioni 5 hadi Shilingi Milioni 10 endapo timu hizo zitafuzu kucheza nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika na Kombe la Shirikisho Barani Afrika...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Esther Edwin Malleko ameiuliza swali Wizara ya Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu "Watu wenye ulemavu wameonekana wakiwa ombaomba na kutumiwa kama chambo katika kuomba, ni mkakati upi wa Serikali katika kuwasaidia watu hawa kujikwamua...
Mwanaume lazima afanye kazi kwa ajili ya mwanamke wake. Mwanamume ambaye hayuko tayari kutoa hatakiwi kumiliki mwanamke. Kuna huu ujinga unaojitokeza siku hizi kwa wanaume kusubiri wanawake watoe.
Hii ni kinyume cha maadili ya uanaume, mwanaume aliumbwa kutoa kila kitu kwa mwanamke wake. Mahaba...
Habari zenu wakuu,
itifaki imezingatiwa
Ndugu zangu jua lilikuwepo tangu zamani na mpaka sasa hivi tunaona uwepo wake.
Mwezi ulikuwepo tokea zamani mpaka sasa tunauona mwanga wake.
Mvua ilikuwepo tokea zamani nayo inanyesha nyakati zetu.
Tokea zamani mvua,mwezi na jua vilifanya kazi yake...
Leo April 22 kutapigwa mchezo mkali wa ligi ya mabingwa Africa ambapo Wenyeji Simba ya Dar es salaam watawakaribisha Wydad Casablanca ya pale Morocco.
Mchezo wa Simba dhidi ya Wydad haijawahi kuwa rahisi huku Whdad wakionesha ubabe dhidi ya Simba. Mchezo wa mwisho Simba dhidi ya Wydad Simba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.