kutokana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    Analeta mahaba mazito, baada ya biashara yake kufungwa kutokana na malimbikizo ya kodi

    Huu si utapeli huu. Nimekuwa kwenye mahusiano na mmama mmoja, anayejishughulisha kwenye mambo ya biashara mbalimbali. Kusema ukweli tumefaidiana sana; ukiwa naye utapiga mpaka wewe mwenyewe uchoke, hana mapozi na anajua kusimamia nafasi yake kama mwanamke. Mwezi uliopita nilienda kumtembelea...
  2. TODAYS

    Kama tukio hili lingekuwa Jijini Dar Es Salaam hawa askari wangekuwa na kazi?

    Kelele huwa ni nyingi sana pale inapoonekana chombo cha usafiri hasa wa umma pale jijini Dar kujaza abilia kupita kiasi. (Kwa wasio na bundle)👇🏾 Baada ya kupita mitaa fulani nikakutana na tukio hili, hapo ni China na hiyo ni treni ya mapema sana kutoka mji A kwenda mji B. Kutokana na wingi...
  3. big soap

    Ukweli unaochukiwa kutokana na tamaa au maisha ya kujiziuka

    Tupeane pole kwa mihangaiko na harakati za kimaisha wote me na ke. 1. Wanawake kuvaa nguo vupi au zenye kubana na kuonyesha maumbile. nje ya utamaduni, nje ya utamaduni. 2. Kutolegeza mashart ya kuoa au kuolewa, utasikia mahari million kumi "pumbavu" million mbili sijawai kuishika_ 3...
  4. BARD AI

    Ripoti GFI: Tanzania inapoteza Tsh. Trilioni 3.5 kila mwaka kutokana na Utakatishaji Fedha/Biashara Haramu

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Taasisi ya Global Financial Integrity (GFI) na Washirika wake imeonesha bado Tanzania ina tatizo sugu la Utakatishaji Fedha unaotokana na Biashara Haramu kiasi cha kupoteza zaidi ya Tsh. Trilioni 3.5 kila mwaka. Kati ya vitendo vinavyochangia tatizo hilo ni pamoja na...
  5. M

    Kutokana na Umuhimu wa Mechi ya leo dhidi ya Horoya FC tafadhali Wachezaji hawa Waambiwe ukweli ili tusije Kulaumiana baadae

    1. Golikipa Aishi Manula Tusifiche na kuwa Wanafiki kwa Siku za karibuni amepoteza Uwezo wake na Kufungika si tu Kirahisi bali Kizembe mno. Aambiwe awe Mkali awapo Golini hasa kwa Kuwapanga Mabeki wake ila na Yeye ajitahidi mno kupanga vyema Ukuta wake kukitokea Faulo eneo la Jirani. 2...
  6. Komeo Lachuma

    Mwanaume kamili huwezi Kimbia Kuoa kutokana na Changamoto za Ndoa

    Ukiogopa kuoa ni sababu bado u mvulana unaogopa changamoto. Maisha yana changamoto ambazo hutufua zaidi tuwe vyema na tupambane na kushinda. Huwezi sema unakataa kuoa sababu wanawake wanataka sana pesa. Au sababu kuna mtu unamfahamu alifumaniwa. Huo ni utoto tu unakusumbua. Kila mara magari...
  7. BARD AI

    Chris Brown amuomba msamaha Mshindi wa Tuzo ya GRAMMY, kutokana na post yake iliyohoji "Robert Glasper ni nani"?

    Chris Brown amemuomba msamaha Robert Glasper baada ya kumkashifu kufuatia kushindwa kwake katika uwaniaji wa Tuzo ya Grammy. Mwimbaji huyo wa "Under the Influence" ameweka picha Instagram ikiwa ujumbe wa moja kwa moja aliotuma kwa Glasper ambapo akimpongeza mwanamuziki huyo kwa kushinda Albamu...
  8. sammosses

    Issue isiwe fedha tu, walioathirika kutokana na saga hili nini nafasi yao?

    Ni mshtuko mkubwa kwa Taifa baada ya Rais mteule SSH kutoa taarifa juu ya fedha za operation plea bargain kutojulikana ziliwekwa kwenye akaunti gani. Urais ni taasisi,aliyeitumia sheria kuamuru itumike hayupo duniani,wasaidizi wake ndani ya taasisi ya urais wapo, maanake tuipe muda tume...
  9. GENTAMYCINE

    Nahisi kuna Watu wanapendelewa katika Mabadiliko na Uhamisho yafanywayo na 'Boss Kubwa' kutokana na Ushkaji na Uchawa

    Tena nahisi kuna Wengine hupigiwa hadi Simu na Kuulizwa kwa Kubembelezwa kama si Kudekezwa huku Wengine kwa Kuwakomoa au Chuki Kwao wanapelekwa ( wanatumwa ) mbali. Hivi Kijana kama Niki wa Pili unamtoaje Kisarawe na kumpeleka Kibaha? Kwanini kwa Umri wake asipelekwe huko Wilaya ya Mpakani kwa...
  10. GENTAMYCINE

    Je, hili la DC Nassari kuhamishiwa Iramba ni 'Strategical' kutokana na Ujio wa Tundu Lissu atokae huko Singida?

    Mkijifanya mna Akili Kubwa msisahau kuwa tuko Wengine wenye nazo hadi hatujui tumpunguzie nani. Kwahiyo tulisubiri hadi Mwamba arejee rasmi leo ndipo tuutangaze huu Mkeka kisha tumpelekee Jirani Mtu ambaye walikuwa Marafiki na anayemjua ndani nje? Siku zingine mtushirikishe na Sisi akina...
  11. PAGAN

    Majibu kutoka kwa Jide

  12. BARD AI

    Malawi yatangaza kuchelewa kufungua Shule kutokana na Kipindupindu

    Wizara ya Elimu imetangaza kusogeza mbele kwa Wiki Mbili muda wa kufungua Shule za Msingi na Sekondari kutokana na ongezeko la mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu. Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali, Shule zilipaswa kufunguliwa kuanzia Januari 3, 2023, na hivyo muda ulioongezwa utatumika kutoa...
  13. TheForgotten Genious

    Si kwamba wanaojiua kutokana na matatizo ama changamoto za kimaisha hawawashirikishi watu

    Kumekuwa na wimbi kubwa la watu kujiua kwa namna tofautitofauti kutokana na changamoto za kimaisha, ndoa, kiuchumi nk. Wengi tumekuwa tukisema "Ongeeni na watu" kuhusu matatizo ili pengine yatatuliwe, wanaamini kwamba wahanga hawawashirikishi watu wakati sivyo. Watu wengi wanafanya maamuzi...
  14. L

    Hatari za kiusalama zinaweza kuwa bomu linalokaribia kulipuka barani Afrika kutokana na mgogoro kati ya Russia na Ukraine

    Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema silaha zilizopelekwa katika mgogoro kati ya Russia na Ukraine zinamiminika kwenye eneo la Sahel barani Afrika kupitia biashara ya magendo, zikichochea nguvu za makundi ya kigaidi na kutishia amani na usalama wa bara hilo. Ametoa wito wa kuharakisha...
  15. Mwl Athumani Ramadhani

    DOKEZO Mafundi wengi huikimbia miradi ya serikali ya ujenzi kutokana na mlolongo mrefu wa malipo!

    Wakuu Katika kipindi HIKI cha ujenzi wa madarasa nchini unaoendelea, nimefanya mazungumzo na mafundi wakuu na wakuu wa shule mbalimbali na kukutana na malalamiko kuhusu mlolongo mrefu sana wa upatikanaji wa fedha za malipo kwa mafundi wakuu na vibarua wao! "Unajuta day worker anaomba hela yake...
  16. BARD AI

    Air Tanzania yasimamisha Ndege zote za Airbus A220 kutokana na matatizo ya injini

    Shirika la Ndege la Air Tanzania linatathmini hali ya Ndege zake ili kuziba pengo linalojitokeza katika kutoa huduma lililosababishwa na kusimamishwa kwa Ndege zake za Airbus A220 kutokana na matatizo ya injini. Kwa mujibu wa taarifa, Ndege moja ya A220 ya ATCL iliruka mara ya mwisho Januari 3...
  17. Protector

    TANESCO yatangaza upungufu wa Umeme kwenye Gridi ya Taifa kutokana na Ukame

    Leo tarehe 22/11/2022 TANESCO wametoa taarifa kwa vyombo vya habari kuelezea sababu za mgao unaoendelea nchini. Kwa habari zaidi soma Press release Hapa chini ==== Shirika la Umeme Tanzania limetangaza upungufu wa Megawati 155 za Umeme wa Maji uliosababishwa na Ukame kwenye Mabwawa ya Kihansi...
  18. Nigrastratatract nerve

    Ile nchi ya kusadikika itakuwa imeuza vya kutosha majenereta kutokana na zoezi linavyoendeshwa, wameamua kutoa kadogo kama asante

    Nchi ya kusadikika imesikika ikitoa msaada kwa nchi fulani hivi ya kwenye uso wa Dunia ukizingatia hakuna cha bure lakini yote kwa yote watakuwa wanenufaika na yanayoendelea katika nchi ya kisiwa cha wami ambayo iko pande hivi za Dunia Wagawiaji wamenufaika na mikakati yao ya kuiweka Ile nchi...
  19. TODAYS

    Kutokana na kauli ya Waziri Nape kwenye matumizi ya bando; Wataalam na watumiaji majibu yenu Muhimu

    Tunaambiwa weka 500 yako alafu washa intaneti kisha endelea kuperuzi. Hiyo ndiyo kauli unayoweza kuitumia kutokana na wananchi wanaogoma kuhamia Burundi wakidai matumizi ya vifurushi wanavyonunua kwenye bando kutumika na kuisha hata kabla ya mtumiaji kumaliza ndani ya muda. SWALI: Wale...
  20. MakinikiA

    Kumbe deni linastahimili kutokana na utajiri wa mali kama madini, gesi

    Hakika kweli mabeberu wanatufanyia timing tu waafrika na watakaa tena kama walivyogawana makoloni safari hii watafanya minada kwa nchi za Afrika zikifikia madeni ya trillion zaidi ya 100. Tuendele kukopa kulipa mishahara minono na magari ya kifahari !!
Back
Top Bottom