Wizara ya Elimu imetangaza kusogeza mbele kwa Wiki Mbili muda wa kufungua Shule za Msingi na Sekondari kutokana na ongezeko la mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu.
Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali, Shule zilipaswa kufunguliwa kuanzia Januari 3, 2023, na hivyo muda ulioongezwa utatumika kutoa...