Katika hali ya kushangaza mwezi uliosha na mwezi huu, mishahara ya watumishi imeanza kutoka kwa mafungu mafungu yaani kwa kada au wilaya. Mfano mwezi huu kuna watu wamepata mshahara Jumamosi ya tarehe 21 na Ijumaaa ya tarehe 20, na wengine wamekuja kuupata tarehe 24 na 23 na wengine mpaka sasa...