kutolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shark

    Simba kutolewa Nusu Fainali ya FA Cup, MO Awaka

  2. Q

    Kiongozi mkubwa wa CHADEMA alikuwa na fununu ya kutolewa kwa Nusrat gerezani

    Aliyewahi kuwa kiongozi wa Chadema. Nani huyo? Gazeti la Mwananchi. ========================= Mratibu wa uhamasishaji wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), Twaha Mwaipaya-- ambaye aliachiwa pamoja na Nusrat, anasimulia jinsi walivyotolewa gerezani saa 1 jioni. Nusrat, Mwaipaya na wenzao...
  3. John Haramba

    Mimba ikiharibika, kutolewa au kutoka yenyewe mwanamke anatakiwa kupatiwa cPAC haraka, ni muhimu

    Kwa Tanzania kitendo cha kutoa mimba bila sababu za kitabibu ambazo hazikwepeki kufanya hivyo kwa faida ya mwanamke aliyebeba ujauzito ni kosa kisheria. Pamoja na hivyo, bila kujali mimba imetoka yenyewe au imetoka bahati mbaya au imetolewa makusudi, hiyo haiondoi huduma ambayo mwanamke...
  4. JanguKamaJangu

    Hukumu ya rufani ya Sabaya kupinga kifungo cha miaka 30 jela kutolewa leo Mei 6, 2022

    Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, leo inatarajia kutoa hukumu ya rufani namba 129, katika kesi ya jinai iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wa wawili. Washtakiwa wengine katika kesi hiyo ni Silvester Nyegu na Daniel Mbura, waliokuwa...
  5. K

    Huu ndio unaweza kuwa muarobaini wa ajira za serikali kutolewa kwa upendeleo?

    Kulingana na namna malalamiko yamekuwa mengi sana kwenye suala la namna ya kutuma maombi ya ajira za serikali kupitia mfumo uliopo kwa sasa ambao maombi yote hupitiwa na binadamu ambao uzoefu unaonesha kuwa huwa na maslahi ya binafsi ya wazi ama kificho kwenye kuchagua waombaji wapi wapatiwe...
  6. BigTall

    Arusha: Mahakama yapanga Hukumu kesi ya Ole Sabaya, wenzake Mei 31, 2022

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imepanga Mei 31, 2022 kutoa hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita. Katika kesi hiyo washitakiwa wengine ni Enock Mnkeni, Watson Mwahomange, John Aweyo, Sylvester Nyegu, Jackson Macha na...
  7. J

    Kijana aliyenusurika kifo kwa manyanyaso ya ndugu, atoa shukrani kwa kutolewa gizani

    Anord Patrick Kalinga (21) mkazi Mlevelwa, Kata ya Mdabulo, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa ambae ni miongoni mwa vijana 100 kutoka kwenye familia duni walioibuliwa na Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi na mradi wa Youth Agency Mufindi (YAM) amepongeza mradi huo kwa kumuona. Anord alisema akiwa...
  8. John Haramba

    Watoto ombaomba ni halali kutolewa Mjini? Wakikamatwa Serikali inawapeleka wapi?

    Suala la watoto wa mitaani kwa sasa ni kama halizungumzwi kwa sauti kubwa kwa kuwa hapo kati mamlaka zikishughulika nao kwa kiwango cha juu. Nakumbuka kuna wakati Mzee Yusuph Makamba miaka ya nyuma alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alipambana sana na ombaomba wakiwemo watoto waliokuwa...
  9. RWANTANG

    Naomba kuelimishwa kuhusu kutolewa kizazi

    Habari wana jukwaa.Mwenza wangu ametakiwa kuondolewa kizazi kwakua kina uvimbe. Sasa swali langu je akitolewa kizazi dushe si itakuwa kama inaingia kwenye ndoo? Au haina athari hiyo? Tafadhali naomba kuelimishwa naamini jf kuna wanao fahamu hukusu hili.
  10. MR.NOMA

    Hongera sana Nape, Mimi ni Miongoni mwa tulioumizwa sana kutolewa kwako bila sababu

    Hongera Sana Mkuu, Umerudi kwenye Jungu Kuu, Wahuni walifanya sikukuu, Pale ulipokamuliwa jipu na Mkuu, Waoneshe kazi unaiweza, Wala usihangaike nao. Ulikuwa ukitimizaajukumu Yako, Tena Kwa kutumia weledi wako, Ukakumbana na likambako, Ambalo baba alilipaka upako, Waoneshe kazi unaiweza, Wala...
  11. K

    Mbiwe kutolewa gerezani kwa nguvu ?

    Najiuliza kwa sauti kubwa
  12. Suzy Elias

    Rais Samia: Mifumo imeanza kuchezewa na kuonesha makasha yamelipiwa na kuruhusiwa kutolewa Bandarini

    "...ninazo taarifa za hivi karibuni wafanyakazi wasio waaminifu wamechezea mifumo na kuonyesha mizigo imelipiwa Bandarini na kuruhusiwa kuondolewa ilhali malipo hayajafanyika." Amesema Rais Samia. My take; Je, ni rasmi upigaji umerejea kwa kasi namna ile?! Je, wenye dhamana za uongozi katika...
  13. ZINDAGI

    Tupeana updates za kuhama kwa Wamachinga

    Hebu tupeane update za zoezi la kuhama kwa wamachinga eneo ulipo. Mimi nimepita pale UHASIBU kutokea Kigamboni, nimekuta Wamachinga woote wameitikia wito wa kuhama, wapo busy wanabomoa vibanda vyao
  14. Sa 7 mchana

    Patents right ambazo zimeshatolewa au bado zipo hai Tanzania

    Wakuu habari zenu, Nauliza kua ni wapi naweza pata orodha ya patents rights ambazo zimeshatolewa bongo mpaka siku ya leo. Nawasilisha
  15. M

    Kuna timu bila mchezaji wa upande mwingine kutolewa kwa kadi nyekundu akuna ushindi

    Hizi kadi nyekundu zimewanufaisha Sana mikia na kuvuna point 3 muhimu, mechi ya Dodoma jiji, mechi ya leo na polisi, pia mechi ya fainali kombe la shirikisho kigoma dhidi ya yanga, bila hizo kadi awa mabwana wangeondoka patupu kwenye izo mechi, kadi nyekundu zimekuwa mkombozi wao kwa sasa!
  16. C

    Baada ya as vita kutolewa ,mazembe naye keshapigwa goal

    As vita a.k.a utopolo de kinshasa wametolewa na ka team kageni cha south africa kwenye kombe la shirikisho kaitwacho Garrants, mechi ya kwanza kapigwa 2-1 huko south africa ,pale kinshasa katoka 1-1 Kwa sasa Giant jingine la congo liko kikaangoni nyumbani kwao lubumbashi , tayari wako nyuma kwa...
  17. matunduizi

    Je, Utulivu wa wamachinga katika msimu huu wa kutolewa, ni matokeo ya kazi nzuri ya Hayati Magufuli?

    Zamani ilikuwa ni ugomvi. Mama ntilie tu na migambo wa jiji ilikuwa ni vita. Nashangaa awamu hii, wamekuwa wapendwa, waungwana, nimeona kwa pamoja kwenye ukuta wa Mtaa wa uhuru wakitoa wenyewe bila hata kufukuzwa. Wakatoa mbaombao wakifuata utaratibu waliopewa. Aliyebuni hii mbinu anaakili...
  18. M

    Kama unajiuliza, unashangaa na kusikitika kwanini Simba SC inakamiwa, Wachezaji wake Kuumizwa vibaya na Ahadi nyingi Kutolewa haya ndiyo Majibu

    1. Yanga SC wameamua kuwa kwa Msimu huu iwe Mvua au Jua na kwa Mikakati yoyote ya ndani na nje ya Uwanja wanashinda. 2. Kuumiza kwa Makusudi Wachezaji wa Simba SC ili Timu itetereke na ikose muelekeo katika Ligi. 3. Baada ya Yanga SC Kutolewa Alfajiri tu huko CAF CL huku wakiwa hawataki...
  19. Z

    #COVID19 Kumbe askofu Gwajima aweza kuwa sahihi: Tangia chanjo ya COVID-19 inatolewa mpaka tarehe 23 Agosti ilikuwa partially approved kutolewa kwa binadamu

    Swali ni je imekuwa scientifically approved au politically approved? The F.D.A. approved full licensure of the Pfizer vaccine this morning and has also, I’m sure you’re aware, back in August on the 9th, the secretary articulated that it was his intent to mandate Covid-19 vaccines upon F.D.A...
  20. MO11

    Simba Day itakuwa 19 September baada ya uto kutolewa CAF

    Tarehe rasmi ya simba day imetoka. Tukutane Kwa Mkapa September 19 Siku itakuwa ya furaha mara mbili maana uto watakuwa washatolewa, wiki moja mbele tunawabomoa tena. Kuna mlemavu alisema hakuna simba day mwaka huu Sisi ndio waanzilishi na tutaendeleza
Back
Top Bottom