Mwandishi: Elly Maduhu Nkonya
Katika hatua ya kushangaza lakini yenye ujumbe mzito, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekataa kusaini kanuni mpya za uchaguzi zilizotolewa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Uamuzi huu umeibua mjadala mpana miongoni mwa wachambuzi wa siasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.