Umuofia kwenu!!
Kama mada ilivyo, nimempeleka kwanza kwao kwa muda usiopungua miezi miwili.....akajifunze kitu (kama ni mwenye kujifunza). Siku moja tu baada ya kutoka kwake;
1. Leo kwa mara ya kwanza, katika kipindi cha mwaka mmoja na nusu, nimefanikiwa kutulia nyumbani saa mbili usiku na...
International Day Of Tolerance'
Every 16th of November.
Smart911 tumechoka vimesemo vya mara ooh acha waje wakupe muongozo, haunaga cha kusema kingine haha anyway much love bro.
Hakikisha pesa hazikauki kwenye account zako za benki, kwenye line za simu na chumbani kwako.
Hautaumwa hovyo, hutaitwa wee bali watakuita kwa majina yako. Utaushi kwa furaha.
Hakikisha katika ukusanyaji wako wa pesa usiue wala kumuumiza mtu.
Asante
Hili jambo nililiona siku nyingi za nyuma nikaamua kulikaushia ila ngoja tu leo niliseme. Ukipitia profile za wachezaji wote wa Simba katika website ya timu, Moses Phiri ndiye mchezaji ambaye ana taarifa fupi na chache kuliko mchezaji yoyote.
Wakati wachezaji wengine katika profile zao...
Ni vilio tu huku, yaani waliopata angalau asimilia 2% ya Ada yao ni wale yatima au walemavu, ila wengine ni bumu tu.
Hii imekatisha sana tamaa ya wanafunzi kuendelea na elimu ya juu kwani wengi wanaopitia advance wanakuwa na hali ngumu za kimaisha.
Sifa tu kwamba wamewapa mkopo diploma afu...
Baada ya mashambulizi makali ya kundi la wanamgambo wa Kipalestina la Hamas dhidi ya Israel, ambayo yamezua mshtuko katika eneo zima, bingwa wa ngumi wa kimataifa Floyd Mayweather ameonesha mshikamano wake na watu wa Israel. Bingwa huyo wa zamani, anayejulikana kwa jitihada zake za kutoa...
NAIBU WAZIRI KAPINGA - MTWARA & LINDI WAPATE UMEME WA KUTOSHA
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amelihimiza Shirika la Umeme Tanzania - (TANESCO) kufanya jitihada mbalimbali kuhakikisha Mikoa ya Mtwara na Lindi inapata umeme wa kutosha.
Kapinga ameyasema hayo leo September 14,2023 wakati...
Tamko hilo la EWURA linalofafanua kuhusu taarifa yao ya Septemba 4, 2023 linakuja muda mfupi tangu Waziri Mkuu akiri Bungeni kuwa kuna changamoto ya upatikanaji wa Nishati hiyo katika baadhi ya maeneo Nchini.
Kupitia taarifa yake kwa Umma, #EWURA imefafanua inaposema akiba ya Mafuta iliyopo...
Mkurugenzi mkuu wa EWURA Dr James Andilile amewataka hofu Wananchi kwa kusema Nchi ina hifadhi ya kutosha ya Nishati ya Mafuta
Dr Andilile amesema kuna Hifadhi ya Petrol ya kutosha siku 19 na Diesel ya kutosha siku 18.
---
Mkurugenzi wa EWURA Dkt. James Andilile
Mamlaka ya udhibiti wa...
Ndugu wateja tumefungua BRIGHT CANDLES FUNERAL SERVICES Sinza karibu na Kitambaa cheupe bar.
Gari kali Mercedes Benz c200, 220, Jeep Grand Cherokee, Land rover Discovery 4, Alphard, Noah na Coaster full AC kwa ajili ya waombolezaji (Kwa idadi yao).
1. Jeneza la kisasa (pamoja na suti ya...
Kutokana na kutokuwa na mvua za uhakika na za wakati kwa baadhi ya maeneo hapa inchi imepelekea maisha ya wananchi wengi hasa vijijini kuwa magumu kwa sababu tegemeo lao kubwa ni kilimo cha mazao ya chakula au biashara, ambacho pia ndio tegemeo lao la kukomboa familia zao kiuchumi, elimu, Afya...
Naona makampuni yote mawili hayana trip za uhakika kama zamani hasa Kwa Dar-Mwanza ambapo route zimepunguza kutoka 5 kwa kila ndege na kubakia tatu tena nyingi zikiwa ni za usiku Tu.Wakati huo huo wameondoa trip za Tabora, Mpanda etc.
Hii inaonyesha zimefulia.Je Shida nini wakati Atcl...
Nahitaji mtu mwenye sifa tajwa,Kwa ajili ya kupata ufumbuzi wa changamoto zangu.
Ni vizuri asiwe mwamposa Wala kuhani musa Wala manabii uchwara.
Natanguliza shukrani zangu za dhati
Tulipo sema Kuna mtu anataka sifa ambazo baadae zitakuwa kilio kwa Taifa tulikuwa na uhakika yakuwa ndivyo itakavyokuwa.
Haya sasa huko mpakani Holili Shehena ya mahindi imezuiwa magari zaidi 500 hayana vibali ku export mahindi while tulisema chakula kipo nawatu wauze kwa kuwa ni jasho lao...
Wakuu Leo nilikua nachezea chezea simu yangu kidogo nikakumbuka zile medali za Yanga kuwa za Shaba hapo moja kwa moja nikawaza dhahabu tulizojaaliwa NCHINI lakini ndo hivyo tena bila kombe dhahabu hauvai hata ukachovye kwa sonara lakini bado inabaki vile vile.
Hali hiyo ilinifanya nizame chimbo...
MHE. NDAISABA RUHORO AMEISHAURI WIZARA YA NISHATI KUWEKA FEDHA ZA KUTOSHA KWA AJILI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
"Rais Samia ameona ni muda muafaka tuendeleze rasilimali ya Gesi Asilia ambayo MUNGU ametupatia Watanzania. Wananchi wa Ngara tunamuunga mkono Rais na timu nzima ya Wizara ya Nishati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.