1. Ameingia katika Mtego wa Kujibizana na Mitandao ya Kijamii
2. Anatumia muda mwingi Kubishana badala ya kutoa Suluhisho.
3. Anataka Kumuonyesha Mtangulizi wake katika hiyo Wizara kuwa alikuwa hajui Kitu
4. Hajajua tu kuwa Mama hamtaki hapo ila anamuwinda tu amtoe na sababu imepatikana
5...
Hata hajui unyanyasaji unaofanya na waajiri shule binafsi na she doesn't bother kujua yeye kutoa matamko tu yasiyotekelezwa.
Walimu wanalipwa laki moja au mbili huko private na wanafanyishwa kazi mchana na usiku na hawaruhusiwi kabisa kuoa au kuolewa. Ukioa tu umejifukuzisha kazi.
Simu...
Hizi mbwembwe za awamu ya sita zipo kasi sana, anyway, yetu macho na masikio.
===
"Watumishi wote waliosimamishwa kazi na mashauri yao yamechukua muda mrefu waandike barua kwa Katibu Mkuu Utumishi na aniletee nakala kwa ajili ya kufuatilia"Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.