Habari wana JF
Kwa anaejua au mwenyewe uelewa juu ya Gharama za kujenga frame ndogo kwaajili ya biashara. Kwa kutumia mbao laini anisaidie ufafanuzi tafadhar.
Karibuni...
Habarini,
Kila mara najiuliza inakuwaje Waafrikanwaliokana majina yao ya asili na kubatizwa au kusilim wakiamini wamezaliwa upya katika dini mpya waendelee kutumia majina ya asili?
Hapa ndipo nawiwa kusema wafia dini wote ni WAJINGA na WAPUMBAVU wasiojua wanachokifanya kama vile kuruka mkojo na...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki amewaasa Wanawake wa Mkoa wa Katavi kutumia vyema fursa ya utoaji mikopo ya Halmashauri ya Asilimia Kumi (10%) inayotolewa na Serikali ili kujikwamua kiuchumi
Mbunge Martha Mariki ameyasema hayo katika kilele cha Maadhimisho ya Siku...
Wakuu kwema?
Hiki kipengele kinasumbua sana. Yani unahitaji risiti ambayo ina tin halafu muuzaji anakwambia mashine haina option ya tin. Hapo ili tu asisumbuke kwa kuwa hajui hiyo hatua.
Pia mashine zenyewe ziko aina tofauti kiasi kwamba procedure za kutoa risiti zinatofautiana.
Sasa muuzaji...
Ni mashine ya kukaanga karanga.
Nataka kuinunua hii kwa ajili ya biashara, natamani kujua ulaji wake wa gesi upoje, yaani kwa mfano mtungi mdogo wa kilo tano unaweza kukaanga karanga debe ngapi.
Lakini pia natamani kufahamishwa nisiyo yafahamu kuhusu hii mashine.
Habari ya asubuhi
Kuna uwezekano wa mtu kupata mimba ikiwa alitumia p2 baada ya tendo?
Na ikiwa within a week baada ya Kutumia P2 alifanya tena tendo lakini hakuchukua tahadhari yoyote, let's say period ili anza tarehe 6 akamaliza tarehe10 tarehe16 mpaka kuamkia tarehe 17 alifanya sex hiyo...
Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku. Chadema mpya hongereni na harakati za kuleta mabadiliko ya kikatiba kwa Tanzania.
Tumeona nia yenu ni njema sana ktk kuleta na kupigania haki ndani ya nchi yetu." Hoja hii ya No reform No election" ipo vzr sana, lakini kwa maoni yangu , ni...
Kuna kitu nimekiona msimu huu katika performance ya mchezaji mmoja mmoja wa Simba kimenifikirisha sana.
Katika michezo miwili ya msimu huu ambayo naikumbuka mpaka sasa Simba wakivaa jezi nyeupe, huu mchezo wa leo dhidi ya Coastal Union na ule wa Costantine kule Algeria, performance ya mchezaji...
Ajaribu aone Deep State wafanye kama walivyofanya kwa mwendazake. Mwendazake alitaka kulamba asali kwa kutumia kisu akaumia. Endapo asingekuwa na tamaa ya kubadili katiba ili aendelee kutawala pengine bado angekuwepo.
Mpango huo wa mwendazake kubadili katiba ili aendelee kutawala ulianza mwaka...
Kile unachodhani ni takangumu ya kutupa au kuchoma moto kwa msanii wa ubunifu ni malighafi ya kutoa kitu cha kushangaza.. Ni uwezo wa aina yake kugeuza kisicho na faida kuwa cha faida
Wiki mbili zilizopita nilihudhuria semina fulani ya masuala ya Kitalaamu (Profession). Basi nikapata fursa ya kuonana na watalaamu wenzangu ambao baadhi tulikuwa nao kwenye magroup ya WhatsApp
Kitu nilichokiona wanawake wengi wao zile sura za kwenye WhatsApp profile hazikuwa halisi. Wengi...
Hapo mwanzoni utendaji ulikuwa mgumu kutokana na kutumia majengo yenye ufinyu wa ofisi na kuchelewesha huduma kwa wananchi.
Hali imebadilika baada ya Rais Samia kuwajengea jengo jipya la halmashauri ya Bumbuli ambalo limerahisisha huduma kwani lipo katikati ya halmashauri hiyo lakini linatoa...
Aisee ilizoeleka kuwa wakenya huja Tanzania kununua mazao na kuyapeleka kwao Kenya ila Hali sio hvyo kwasasa.
Wakulima wa Kenya wamejipanga na kuwezeshwa Sasa wameanza kuzalisha zaidi ya uwezo wao mazao kama nyanya, vitunguu na maharage kidogo kwenye mahindi wanashirikiana na wakulima wa...
1. Mafuta ya kula :
Kaa ndani na mafuta yako Lita tatu. Kila siku usiku saa tano yachemshe hadi yatokote kisha hifadhi kwenye chupa ya chai. Ukiwa na chupa zaidi ya moja itakuwa vizuri zaidi.
Usiku wakivunja wewe wamwagie na hayo mafuta ya moto usoni. Wanaweza kufa hapo hapo wote na watakao...
Wanasema sanaa ni kila kitu hasa ukiwa msanii wa sanaa.. .. Sio usanii wa wizi na udanganyifu lakini
Leo tunaangazia kwenye sanaa ya majani ya miti.. Unaweza kuona ni kwa kiasi gani tukiwekeza kwenye ubunifu na sanaa tutatatua tatizo la ajira kwa kiwango gani... Wahitimu wengi watapata ajira na...
Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGOs) ambayo yamesajiliwa kwa mjibu wa sheria ya mwaka 2002 ya Mashirika yasiyo ya Kiserikali, mashirika hayo yanawajibika kufanya marejesho ya taarifa za shughuli zake pamoja na taarifa zilizo kaguliwa na kuidhinishwa na mkaguzi aliyesajiliwa na Bodi ya Wahasibu...
Machozi ya furaha yalitiririka mashavuni bila kujizuia baada ya Husna Shabaan Kingwande alipofahamu kwamba upasuaji wa moyo wa mtoto wake Ikram mwenye umri wa miaka mitatu ulifanyika kwa mafanikio.
Upasuaji huo uliofanyika katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iliyojengwa na Wachina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.