kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr Why

    Ushauri wa Maboresho kwa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA, maandishi yote yaandikwe kwa kuchomwa au kwa kutumia (Permanent Ink for Plastic)

    Ushauri wa Maboresho kwa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA, maandishi yote yaandikwe kwa kuchomwa au kwa kutumia Permanent Ink for plastic ili yasifutike kwa haraka Ili kuboresha vitambulisho vya Taifa vidumu kwa muda mrefu zaidi kuna haja ya maandishi kuandikwa na Mashine zenye uwezo wa...
  2. C

    Changamoto ya malipo aliexpress

    Habari wakuu nina changamoto ya kufanya malipo aliexpress leo siku ya 5 nmejaribu hata kutumia account ya jamaangu bado nimejaribu kutumia visa card ya voda wap nmejarbu kuwasiliana na benk husika kuona kama kuna tatizo wamenambia wao hakuna tatizo nmewachek aliexpress pia na wao vivyo hvyo...
  3. Faana

    Je hizi lipstick zinazotengenezwa kwa kutumia hawa wadudu ni salama?

    Hii clip inaonyesha namna lipstick inavyotengenezwa je ina usalama? https://www.facebook.com/reel/1143524623889538
  4. Mshana Jr

    Ubunifu wa kutumia chupa tupu za plastic na madumu tupu

  5. Tlaatlaah

    Unadhani ni kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia kinga?

    Utaskia hua inaniwasha, mara ooh huwa inanisababishia fangas, ooh nina aleji na harufu yake ntapata mafua sasahivi n.k, nini kifanyike ili jamiii hii ya wanawake na wanaume pia wapende kutumia kondomu wakati wa kufanya mapenzi? huenda leo hii asubuh, kuna mtu kaamka na maambukizi ya vvu...
  6. JanguKamaJangu

    Shigongo katika Mkutano wa Mabunge ya Dunia, aelezea umuhimu wa Afrika kutumia maliasili

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ameshiriki Mkutano wa Mabunge ya Dunia (Interparliamentary Union) unaofanyika katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, New York Nchini Marekani. Mkutano huo unajadili jinsi dunia, ikiwemo Tanzania, itakavyotimiza malengo ya maendeleo endelevu (SDGs) kama kuondoa...
  7. Mad Max

    Kampuni ya magari BYD kutumia DeepSeek AI katika magari yake kuboresha ADAS!

    Kampuni ya magari kutoka China BYD wameungana na kampuni ya teknolojia DeepSeek, na kuinstall AI kwenye magari ya BYD. Hii advanced driver assistance system (ADAS) ambayo wao wameiita God's Eye itakua kwenye magari "karibia yote" ya BYD kuanzia expensive modela hadi cheapest models kama...
  8. Eli Cohen

    Hii helicopter mpya ya Iran mbona ni kama imeundwa na mtoto wa shule ya msingi kwa kutumia mabox

    Naona wana maono ya uhakika kabisa kuivamia washington na tel aviv na mabox, hongera sanaa kwao.
  9. Mshana Jr

    Ubunifu wa kutumia kamba za katani

  10. Mshana Jr

    Ubunifu vyombo vya jikoni kwa kutumia malighafi mchanganyiko

    Hivi vinafaa zaidi kwa watoto, sehemu za jumuiya ama kwa wapenda ng'areng'are.. Usukumani hivi utauza sana (joke)😂 Kama si mpenzi wa rangirangi hivi havikufai kabisa.. Vipite kama huvioni😂
  11. Mshana Jr

    Ubunifu wa kutumia tairi chakavu za gari

  12. R

    Nimevaa sana mitumba ya kurusha, kutumia simu kioo kimepasuka miaka miwili, kutembea kubana nauli, niliyaogopa mapenzi, n.k, Umasikini ulaaniwe

    Nikikumbuka maisha niliyowahi kuyaishi siwezi kuja kumuombea hata adui umasikini, Ni hali inayoaibisha, kukunyanyasa, kushusha heshima, kukutesa, n.k. Nimevaa sana mitumba ya kurusha, kiatu unaenda kutafuta lisaa zima uone chenye nafuu Simu imepasuka kioo miaka miwili sina pesa ya kubadili...
  13. Fortilo

    Kinachowazuia wanasiasa wetu kutumia JF kutupasha habari ni kitu gani?

    Barangumu limelia.. Nchi tajiri zinaona zinafilisi kodi za wananchi wao kwa kuisaidia Africa misaada ya "kishenzi" wakati viongozi wetu wakielea kwenye matumizi ya " anasa" Burkinafaso Imeonyesha mfano wa kutaka kujitegemea na kuondokana na wakoloni mazima... Wameanza na kutengeneza magari...
  14. BARDIZBAH

    Leo naacha Rasmi kutumia mtandao wa HALOTEL

    1.Back in days 2022 kuna kipindi watu walikua wakinipigia sipatikani hali ya kuwa simu ipo on, ikawa mpaka mtu arudie mara kwa mara kupiga ndio kuba muda labda itakubali. 2. Kuna kipindi mlishikilia pesa yangu hewani kwa wiki nzima niliyokuwa naituma pahala pa muhimu sana mkanikosesha uaminifu...
  15. Mshana Jr

    Ubunifu wa kutumia mawe laini

    Tunaendelea na topic za ubunifu.. Japo ndio zinafikia tamati.. Leo ni ubunifu wa kutumia mawe laini madogo Mawe haya huhitaji kuyaponda ili kupata maumbo tarajiwa..yenyewe tayari yana maumbo yake
  16. U

    Je kiimani ni sahihi kwa muislamu kutumia au kutamka Yahweh Subhana badala ya Allah Subhana akikusudia maana ileile kuwa Mungu ni mkamilifu?

    Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu Usiku mwema
  17. Mshana Jr

    Ubunifu kwa kutumia mianzi

    Nje ya kutumika kama miti kwenye ujenzi na chanzo cha pombe ya ulanzi.. Mianzi pia ina matumizi mengine kwenye kupendezesha nyumba hasa kwa wapendao vitu asilia Special dedication kwa Malchiah na wengine wote wapendao ubunifu na asili
  18. Mshana Jr

    Sanaa bunifu inayotokana na Mbao, masalia ya mbao, miti, magogo na mizizi ya miti

    Fenicha, urembo vitu na nyenzo mbalimbali.. Kwa wapenzi wa asili na wana mazingira
  19. K

    Kusitisha kwa USAID tuamke na kutumia rasilimali za nchi vizuri

    Wakati Trump amesitisha kugharamia shughuli nyingi ambazo zilikuwa zinafanywa na USAID ni wakati wa kujiuliza kwa umakini kitu gani ni muhimu. Hii pesa ilikuwa inasaidia kutoa dawa wa wagojwa wa ukimwi na elimu huko kusini na kusaidia lishe kwa zile kaya ambazo watoto wana dalili za mtapia mlo...
  20. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    THBUB kuendelea kutumia njia mbalimbalimkuifikia Jamiii

    Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Khamis amesema Tume inaendelea kutuma njia mbalimbali za kutoa elimu ya haki za binadamu na misingi ya utawala bora ili wananchi waweze kutambua haki na wajibu wao. Hayo alisema Januari 23, 2025 wakati akitoa elimu...
Back
Top Bottom