Jana nilipiga Maeneo ya Lusahunga, Nyakahura na Nyakanazi kwenye kutafuta mkate wa Kila SIKU.
Kwa bahati mbaya sana nimekutana na "Ujinga" wa Karne wa CCM kutumia Magari yalitoyotelewa Kwa msaada Kwa miradi mahususi (DFPA) kwenye mkutano wao.
This is unacceptable na ujinga wa hali ya juu...
Wanasema Mafanikio ni Mchakato. Ni mchakato unaochukuwa muda mrefu.
Now days imekuwa ni moja ya changamoto kwenye jamii na Familia zetu.
Watu wanapoenda kutafuta masha wanashindwa kurejea Nyumbani hata kwenye matukio ya ulazima kama vile "Misiba" "Sherehe" na hata mambo mengine kama vile...
Kampuni hizo ni pamoja na Mulla Pride Ltd, iliyopigwa faini ya Tsh. 50,404,970. Taasisi hii inamiliki 'App' za kutoa huduma za Mikopo za FairCash na KeCredit, imebainika kutumia Taarifa Binafsi za Wateja ili kudai Madeni .
Pia, kuna Klabu ya Starehe ya Casa Vera Lounge ambayo imekutwa na Kosa...
Jadon Sancho
Uamuzi huo ambao umeelekezwa anapokuwa kwenye Viwanja vya Mazoezi vya Carrington, umechukuliwa ikiwa ni mwendelezo wa adhabu kutokana na mgogoro wake na Kocha wa ManchesterUnited, Erik ten Hag
Sancho amegoma kuomba radhi baada ya kumshambulia kocha wake kupitia Mtandao wa Kijamii...
Mwaka 2012 mwishoni nilishawishika kuanza kubeti baada ya kushuhudia rafiki yangu aliekuwa akibeti kwa muda mrefu hatimae katandika shilingi laki 4 na elf 30 kwa dau la elf 2 pekee, nilimsindikiza kwenda kuwithdraw na kwa macho yangu niliona akipewa pesa cash taslimu, nilipagawa!
Akaanza...
Hakuna wakati muafaka Kama huu kwa chama Cha CHADEMA kwenda kuwekeza nguvu Zanzibar. Sababu zangu kwa ombi Hilo ni zifuatazo.
1. Kwanza, Kwa Sasa harakati za kisiasa Zanzibar zimepoa baada ya Maalim seif Kuondoka duniani. Hivyo kwa Sasa upinzani Zanzibar hauna political figure kama ilivyokuwa...
Kwa mujibu wa Ripoti ya 'Tanzania Elections Watch' ya 2021 Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 unatajwa kuwa moja ya Chaguzi zenye ushindani mkubwa zaidi katika historia ya Siasa za Vyama vingi Nchini Tanzania.
Ulifuatiliwa na Watu wengi Kimataifa, kutokana na Mazingira ya kurudi nyuma kwa Demokrasia...
JESHI la Polisi nchini, limewataka watu wanaojichukulia sheria mkononi kwa kuwashambulia askari wanaobeba siliha kuacha tabia hiyo mara moja kwani sheria inamruhusu kutumia silaha hiyo kwa ajili ya kulinda uhai wake, uhai wa mtu mwingine na mali binafsi na za serikali.
Taarifa hiyo imetolewa na...
Habari ya majukumu wadau. Nimejaribu kutafuta humu taarifa kuhusu Toyota Noah generation ya 2008 sijaweza kupata.
Naomba mwenye uzoefu wa hili gari anisaidie ili nifanye maamuzi. Nahitaji gari ya familia sasa nimepata machaguo mawili ambayo ni Toyota Noah na Toyota Alphard.
Taatifa za Toyota...
Kiungo wa timu ya Juventus, Paul Pogba, mwenye umri wa miaka 30, amesimamishwa kucheza kandanda kwa muda baada ya kukutwa na kosa la kutumia dawa za kusisimua misuli. Uamuzi huo umechukuliwa na Mahakama ya Kitaifa ya Italia yenye dhima ya kupambana na matumizi ya dawa za kuongeza nguvu mwilini...
Ase ifike mahali tuambiane ukweli kuna watu hawapigi mswaki kwasababu morng ana amka na vitungu swahumu kutafuna ili kukata halufu ya mdogo hii inapelekea hata jasho la mwili kuwa baya sana.
Tumia kwa tiba na sio kufanya ndio dawa ya meno epuka kula vyakula vyenye viuongo vingi sana hivi...
Wana JF,
Najua kuna wanasheria na mawakili wengi humu ndani. Naomba kufahamu, iwapo mtu amepokea pesa kutoka kwa mtu usiyemfahamu na ukaitoa na kuitumia bila ridhaa yake, je sheria inasemaje kuhusu hili?
Moja ya fuvu katika maonesho Makumbusho Berlin
Watafiti wa Kijerumani wamefanikiwa kupata kwa uhakika ndugu wa watu ambao mafuvu yao yalichukuliwa na Wakoloni wa Kijerumani kwa ajili ya "utafiti".
Watafiti hao wanasema wameweza kupata ndugu wa watu toka jamii ya Wachagga ambao mabaki ya ndugu...
Urusi inavyotapatapa mpaka sasa inahamisha watu kutoka mataifa tofauti kwenda kufia Ukraine maana wanajeshi wake wamefyekwa kama senene...
A human trafficking ring that coerced Cubans to fight for Russia in Ukraine has been uncovered, the Caribbean island's government says.
The Cuban...
Hawa majenerali wanasakwa kote, manyumbani hadi ofisini, yaani wawe waangalifu na muda wote kugeuza geuza kichwa huku na kule, maisha ya wasiwasi kama digidigi.
Huyu kapokezwa simu ya mkononi ikamlipukia, maisha ya hovyo sana, walivamia nchi ya watu wakadhani wao wataendelea kuishi kama...
Akizungumza leo Sept. 4, 2023 wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi, Rais Samia amesema wananchi bado wanalalamikia tatizo la Rushwa hasa kwa Askari wa Barabarani.
Amesema “Mfano tukiweka Kamera za Barabarani hakutakuwa na sababu ya Askari kusimama Barabarani...
Nashauri vyama vya siasa kuwa na ubunifu wa kuwa na website ambapo mtu kupitia hiyo aweza kujiunga na chama cha siasa atakacho, na kupata Kadi ya Kimtandao.
Naibu Waziri Mhe. Kigahe Awataka Wafanyabiashara Kutumia Fursa ya Soko Huru la Afrika
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe amewataka wafanyabishara, wajasiriamali na makampuni mbalimbali kutoka nchi za Afrika Mashariki kuonyesha bidhaa zao,kujitangaza na kukuza soko la...
Hiyo kama kutoka Dar hadi Tabora.
Kadiri siku zinakwenda ndivyo Ukraine wanaongeza jeuri ya kufanya makuu, Mrusi hajui atoke vipi....
The Ministry of Strategic Industries reported on the successful use of long-range weapons of Ukrainian production: it hit a target from 700 kilometres away...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.