Nimezidaka ili kuendelea kula pesa za Abdul mbowe ataondoka chadema na kwenda kwenye tawi moja la chama chakavu ili avute pesa ya mama Abdul.
Unaambiwa kapangwa ili kupewa wabunge kadhaa ili awe mwenyekiti wa kambi ya upinzani bungeni
Soon movie zinaanza wacha maji yajitenge na mafuta...
Huyu wakala aache kusumbua eti kufikia ijumaa saa 10 installment yapili iwe imefanyika, kwanini ijumaa? Nani kamwambia kuwa hatalipwa? Aache uswahili.
Na wewe rasta hutaki kwenda mazoezini kisa bonus uchwara, wanaokwenda wao hawana akili au tulikosea kukudhamini uraia? Hebu ukue basi.
Kuelekea mapinduzi ya Teknolojia, mambo mengi nchini yameanza kufanyika kwa kutumia NIDA.
Kwenye mifumo ya kusajili biashara, kuomba ajira, kuomba mikopo, kujisajili huduma za kiserikali mtandaoni, n.k. huwa unajaza Nida halafu baada ya hapo unaulizwa maswali matatu ya uhakiki mfano jina la...
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt. Aneth Anselmo Komba amesema kwamba wanakusudia kufanikisha kupandisha wiano wa vitabu vya kiada ili kufikia kitabu kimoja kwa mwanafunzi mmoja yaani (1:1) kuanzia ngazi ya awali hadi kidato cha sita, ambapo mpango huo utarajia kugharimu...
Miaka ya themanini huko iringa palikuwa na mbunge anaitwa Tuntameke Sanga. Mheshimiwa Tuntameke Sanga alipeleka mara kadhaa hoja mbungeni akiomba jimbo lake WANANCHI waruhusiwe kulima bangi. Sababu aliyoitoa ni kwamba katika Jimbo lake ni jadi tangu awali WANANCHI hutumia mbegu za bhangi kama...
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba amesema kuwa Noti Mpya za Tanzania zenye Saini ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye mzunguko kuanzia tarehe mosi Februari mwaka huu.
Gavana Tutuba amesema hayo wakati...
emmanuel tutuba
fedha
gavana wa benki kuu
kuanza
kutumika
mpya
mwigulu
mwigulu nchemba
noti
noti mpya
saini
tarehe
waziri
waziri wa fedha
wizara ya fedha na mipango
Imeelezwa kuwa Serikali ya Awamu ya sita, inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa ushirikiano wa ufadhili wa Benki ya Dunia kupitia mpango dharura ( CERC PROJECTS), imetoa kiasi cha Shilingi Bilioni 45.6 kutekeleza miradi mitano (5).
Miradi hiyo ni pamoja na Daraja la Kyanyabasa...
Hapa Dodoma mjini kuna ujenzi wa barabara ya Lami kutoka mjini kati kwenda Ntyuka [Dampo] kama kilometres 9, barabara ilifika hatua ya kumwaga changarawe, barabara imesimama toka mwezi wa tano [Mei 2024 ] wananchi wanapita kwenye barabara ya muda ambayo ni mbovu sana
Serikali mpaka Leo...
Matukio ya utekaji bado tishio nchini
Utekaji na mauaji yanayoendelea nchini yameendelea kuwa changamoto kubwa, huku vyombo vya usalama vikionekana kushindwa kubaini kwa haraka wahusika wa uhalifu huu. Maswali mengi yanazuka ni teknolojia gani za kisasa zinazoweza kutumika kufuatilia na...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametambulisha na kuwakabidhi Wakandarasi Wazawa kutoka Kampuni ya Salum Motors na Jonta Investment kwa Wananchi watakaoanza ujenzi wa madaraja makubwa manne ya Ubagwe, Kasenga, Ng’hwande na Mwabomba yaliyoathiriwa na mvua za El Nino katika Halmashauri ya...
Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari
Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka
Kabudi amesema hayo kwenye...
Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya mji wa Njombe, Kuruthum Sadick amesema kuwa kuelekea kwenye kampeni za uchaguzi mpaka siku ya uchaguzi hakuna kijana atakayeweza kutumika kuvuruga zoezi la uchaguzi kwa kuwa vijana wa Njombe wanaelewa maana ya uchaguzi.
Kuruthum ametoa kauli hiyo wakati...
Mwani (sea moss) ni mojawapo ya mimea inayoota baharini na inalimwa sana zanzibar na mafia.
Nimeona kutoka sehemu mbalimbali wauza dawa mbadala wakiusifia mwani kutibu magonjwa mengi na kuwa chanzo kizuri cha madini joto.
Napata kigugumizi akilini kuamini bila kuwepo kwa tafiti kuthibitisha...
Serikali za Marekani, Ufaransa na Uingeleza zimeruhusu silaha zake zitumike ndani ya Urusi, hapo mwanzo zilizuiwa kutumika ila baada ya mashambulizi ya jana kutoka Urusi wameona wairuhusu Ukraine ifanye ionacho ni sawa
Nasema tu huu mwaka uishe tu maana umekuwa na mambo mengi magumu hasa mimi na wife wangu
Katika kipindi Cha nyuma nilikubali kunyanyasika hasa katika tendo hata kutoheshimika kwani nilipotishia kuchepuka niliambiwa niende tu ingawa mimi kwa wakati huo sikutaka kabisa kufanya hivo nilikaa nae...
Habari wakuu, husika na kichwa Cha habari tajwa.
Mfano nimesajili TIN kwa ajili ya duka la kawaida na inaonekana Ina mtaji mdogo mfano 1M lakini itumike bandarini kuto mzigo unaozidi hio 1m mfano 5-10M , je hii haitaleta shida?
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza rasmi safari ya kupeleka umeme katika visiwa vyote Tanzania Bara huku ikiwahakikishia wananchi hao kuwa wote watafikiwa.
Akizungumza wakati wa ziara ya Wabia wa Maendeleo walipotembelea miradi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.