Nina mashaka kabisa kama kweli tuna jeshi la polisi hapa Tanzania kama siyo sehemu ya chama cha mapinduzi. Kwa sasa polisi bila haya wanatumika kisiasa kuilinda na kuitetea CCM huku wakikandamiza vyama viingine vya kisiasa.
Kama CCM wanakagua utekelezaji wa Ilani yao, ni kazi ya upinzani pia...
Jeshi la Polisi pamoja na majeshi mengine yote hayana uwezo wa kubadiri taratibu na sheria za nchi yetu.
Kitendo cha Jeshi la Polisi kuingilia mikutano ya vyama vya upinzani ni kitendo hatari kinachoweza kuhatarisha usalama wa nchi. Sheria zetu zipo wazi na zinaweka wazi majukumu ya Jeshi la...
ZAIDI YA BILIONI 200 KUTUMIKA KUTANDAZA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO WENYE UREFU WA 4244KM KWA KUTUMIA MIUNDOMBINU YA TANESCO
"Tunamshukuru sana Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutupatia fedha zaidi ya bilioni 200 kwa lengo la kutandaza Mkongo wa taifa wenye urefu wa 4244Km kwa kushirikiana...
Kumekuwa na mkakati mkali wa BAVICHA na BAWACHA kupata fedha na kuwalipa vijana wa vijiweni mikoa yote ili waandike maneno MBOWE si GAIDI kwenye mawe na miti mikubwa mikubwa pembezoni mwa barabara kama alivyofanya Mwigulu wakati akitafuata Urais wa nchi hii mwaka 2015.
Hii mbinu ninaona italeta...
Kuna vipandevya video vinarushwa na TBC online hivi sasa ambavyo vimebeba ujumbe wa "Tujenge Nchi Kwanza" ikimaanisha mengine baadaye. Huu ujumbe unaunga mkono majibu ya Mh Samia kwa kundi la watanzania ambao wameanzisha vuguvugu la kudai katiba mpya.
TBC inayotumia pesa za walipa kodi haohao...
Tanzania ni nchi ambayo ilipofikia kwa sasa ipo njia panda.
Macho ya maadui bado yameelekezwa kwetu kuona tunakwenda vipi baada ya kuondokewa na hayati Magufuli na viongozi wengine waandamizi akiwemo mhandisi Mfugale.
Ajira ni tatizo kubwa sana na vijana wahitimu wa shule na vyuo wengi wao...
Nimeanza kwa swali: Hivi mzee wetu Simoni Sirro ambaye kwa asili ni mtu makini, anajisikiaje kwa jeshi la polisi analiongoza kutumika kisiasa?
Miezi iliyopita tumeshuhudia baadhi ya watu waliokuwa wanasiasa kuachiwa huru na mahakama kutoa hukumu kuwa hao watu walishitakiwa kimakosa ambayo...
Hatimaye mamlaka ya udhibiti wa dawa nchini Cuba imetoa ruhusa ya dharura kwa matumizi ya Chanjo iliyozalishwa locally nchini Cuba.
Hongera kwa kujitambua CUBA!
=====
Cuba begins mass Covid-19 vaccine inoculation before concluding trials
Carmen Sesin
Cuba began the mass inoculation of...
Kampuni ya Hyundai imesema imepiga hatua kubwa katika kutengeneza magari yanayoweza kupaa, na kuwa ndoto yake ya kuwa na magari hayo inaweza kutimia kufikia mwishoni mwa muongo huu.
Kampuni hiyo ya Korea Kusini imesema ina matumaini kuwa usafiri wa magari ya anga unaweza kuwa fursa kubwa ya...
Kongole kwa wachezaji wetu,
Mechi hii imetuonesha KUIMARIKA kwa kikosi chetu kila muda unavyozidi kwenda.
Baada ya mpira kuisha ,ilionekana baadhi yetu mashabiki wa kilabu chetu pendwa tukimzomea KIPA wetu Metacha B.Mnata kutokana na kukasirishwa na magoli aliyofungwa.
Je Metacha Mnata...
Katika mpira wa miguu ambao uwa unasimamiwa na Sheria mbalimbali ambazo zinazotolewa na FIFA, kuna baadhi ya Sheria zimeondolewa.
Ukiwa kama mpenda soka je Sheria gani unaikumbuka Sana ambayo imeondolewa na unatamani ingetumika tena.
Kwangu mimi uwa naikumbuka Sheria ya Goli la Dhahabu...
Wakuu nchi kama Brazil sehemu kubwa ya magari yake yanatumia pombe kama nishati. Mengine yanatumia mchanganyiko wa mafuta na pombe. Wamarekani nao hawako nyuma, hawa pombe yao inatokana na mahindi. Pombe huko Brazili inatokana na miwa.
Na kiukweli future ya nishati ya magari ni pombe. Kuna...
Naona Raisi Samia katekeleza ahadi yake ya kushirikisha wapinzani katika serikali yake kwa kumteua Queen Sendiga wa chama kidogo cha upinzani cha Alliance for Democratic Change(ADC) kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa.
Queen Sendiga ndie alikuwa mgombea urais kupitia chama cha ADC katika uchaguzi mkuu...
Naomba ushauri wa haraka kuhusu hili.
Vyeti vyangu vyote mpaka chuo kikuu nina majina mawili. Kitambulisho cha Taifa kina majina matatu. Jina la kwanza na la mwisho kwenye NIDA ndio majjna yangu kwenye vyeti.
Nina-apply kazi na inabidi niambatanishe hiyo Deed poll. Kule ardhi usajili...
Wasanii muachege kutumika vibaya aisee.
Haswa nyie wachafu sijui wachafu wa nafsi na team yenu.
Yaani mnapewa pesa na maagizo ya watu fulani fulani hivi mtengeneze kiki ili mutoe watu kwenye reli ya kujadili report ya CAG kwa manufaa ya kikundi fulani hii haikubaliki.
Nyie wasanii ndo maana...
Habari za muda huu na ni matumaini mko wazima wa afya.
Straight to the matter, hiki kituo kipya cha mabasi ya mikoani hapa Dar es Salaam yaani Magufuli Bus terminal hakikuwa tayari kuanza kutumika. Ilitakiwa kipewe muda kidogo ili kiwe sawa.
Leo nimefika toka Morogoro muda huu kwa mara ya...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam anawatangazia wananchi wote kuwa kutakuwa na mabadiliko ya kituo cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani.
Kuanzia Novemba 30, 2020 mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani yataanza kutumia kituo cha Mbezi Luis na sio Ubungo kama ilivyo sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.