kutumika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyankurungu2020

    Kiongozi makini na anayejali wananchi wake asingekubali zaidi ya bil 11 kutumika kutengeneza filamu ya namna hii badala ya kuboresha huduma za afya

    Ilikuwa ni jambo la kutumia kamera za Tbc taifa na kutengeneza filamu ambayo ingewekwa kwenye masoko mtandao ingeuzika na kuenea dunia nzima. Hayo mabilioni yaliyotumika yangeimarisha huduma za afya huko vijijini maana vituo vya afya na Zahanati nyingi hazina madawa na vifaa tiba. Hakuna kitu...
  2. Me too

    namba ya NIDA kutumika kusajili line nyingi bila muhusika kujua kinachoendelea.

    HABARINI ZA WEEKEND WA NDUGU! TCRA mnipe ufafanuzi inakuwaje namba ya NIDA nimeihangaikia kwa kupanga lifoleeeeni kubwa na kutumia ma finger print yangu hadi picha mkanipiga ili nipate kitambulisho kwaajili ya matumizi yangu binafsi. kwa jinsi mlivyotuelimisha zile finger print ni kama...
  3. Replica

    Azam Marine yaongeza nauli kwenda Zanzibar, kuanza kutumika kesho Mei 19

    Wale wa kuvuka maji, boti zinatumia mafuta...
  4. S

    Serikali iruhusu magari mengine kutumika kama daladala mida ya jioni na usiku mkoani Dar-es-salaam

    Kutokana na adha ya usafiri katika jiji la Dar es salaam hasa kuanzia saa 12 jioni mpaka around saa 3 na saa 4 usiku, nashauri serikali iruhusu magari ambayo yanaweza kubeba abiria(mifano NOAH) yaruhusiwe ili kuondoa mateso na adha kwa abiria. Ushauri huu ni Kutokana na unwell kuwa katika mida...
  5. Memento

    EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

    Mafuta yamepanda tena Bei, Dar Lita ya petrol kuanzia kesho ni 3148, dizeli 3258 Bei za mafuta kuanzia April 4, 2022 Bei ya petrol kwa Dar itakuwa ni Tsh 3,148 kwa lita. Kwa watu wa Tanga watanunua kwa Tsh 3,161 na kwa watu wa Mtwara kwa 3,177 kwa lita. Dizeli itauzwa Tsh. 3,258 kwa lita kwa...
  6. Lady Whistledown

    Wanajeshi walevi waua 15 mashariki mwa DR Congo

    Wanajeshi wawili wamewaua kwa risasi watu 15 katika mashambulizi tofauti mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wahasiriwa takriban wote walikuwa raia. Haya yanajiri baada ya watu sita kujeruhiwa wakati wanajeshi waliporusha guruneti kwenye umati wa watu walipokuwa wakijaribu...
  7. Lady Whistledown

    #COVID19 Chanjo ya mpya ya Valneva imeidhinishwa kutumika nchini Uingereza

    Inatengenezwa na Valneva, kwa kutumia teknolojia ya jadi zaidi - sawa na jinsi chanjo za polio na homa hutengenezwa. Uingereza ilipaswa kupokea dozi milioni 100 za dawa hiyo, lakini serikali ilighairi mpango huo mwezi Septemba kutokana na kutokuwa na uhakika nazo Dk June Raine, mtendaji mkuu...
  8. COMMAN

    Nipo Tunduma, toka mafuta yapande yafikie 2,900 nauli tunalipa 1,000 ya daladala kituo kwa kituo

    Mimi niko mji wa Tunduma toka siku mafuta yapande yafikie 2,900 nauli huku tunalipa 1000 ya daladala kituo kwa kituo. Hakuna mamlaka zozote zinazokemea suala hili wiki ya pili, hakuna trafik wala sumatra wanaochukua hatua. Sasa inamaana hiyo ndo bei elekezi? Waziri. Wakuu wa wilaya na...
  9. BigTall

    Makamu Rais wa Zanzibar: Sheria ya uchochezi ipitiwe upya, ina mianya mingi ya kutumika vibaya

    Sheria ya uchochezi inatoa fursa ya kutumika vibaya na vyombo vinavyosimamia sheria hasa Polisi na kwamba wakati umefika wa kuifanyia mapitio ili kulinda uhuru wa kujieleza na wa habari nchini. Rai hiyo ilitolewa mjini hapo jana Machi 28, 2022 na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman...
  10. Roving Journalist

    ZURA imetangaza bei mpya ya mafuta. Kuanza kutumika 09.03.2022

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza Bei mpya za Mafuta zitakazoanza kutumika rasmi kuanzia Jumatano Tarehe 09/03/2022
  11. S

    Putin asema makombora yake ya hypersonic yasiyo na mpinzani yapo tayari kutumika vitani sasa

    Rais Putin leo ameonya kuwa makombora yake ya hypersonic (hypersonic missiles) yapo tayari kuvurumishwa. Ktk video ameonya kuwa makombora hayo ya hypersonic yasiyo na mlingano (nadhani akusudia kuwa hakuna makombora mfano wake toka kwa US na NATO) diniani tayari yameingizwa kwenye mapambano...
  12. B

    Tujadili uhusiano Kati ya t-shirt mpya kuvaliwa juu ya shati chafu na misaada kutumika kupamabana na umasikini tunapoangazia mapokezi ya Mhe. Rais

    Nampongeza Mhe. Rais kutamka adharani Kwamba amekwenda ulaya kurejesha mahusiano yaliyoaharibika Kati ya Tanzania na Nchi za Ulaya. Amewaonyesha kamati ya kusifu na kupongeza Kwamba walilitendea vyema tumbo wakaacha Nchi ikiwa na matobo. Pili nimpongeze Kwa juhudi anazofanya, natambua amekuta...
  13. Fundi Madirisha

    Zitto Kabwe acha unafiki wa kutumika, hesabu yenu na CCM kuhusu Mbowe tunaijua

    Zitto huu unafki hsutakufikisha popote Wallah nakuapia. Ulisema mwenyewe kua hukumaanisha kwamba ulimuombea Mbowe msamaha kwa Rais isipokuwa CHADEMA walikuelewa vibaya, halafu leo unapigilia msumali kua ulimaanisha? Ipo siku utajutia tabia yako hii. Nia yako ni kutaka Mbowe ajinyenyekeze kwa...
  14. M

    Mpasuko ndani ya chama, Rais Samia awaomba vijana wasitoe fursa

    Akiongea na vijana wa UVCCM Pemba leo mama amewatahadharisha vijana kukataa kutumika na watu wenye nia ovu ndani ya chama wanaotaka kukipasua chama vipande vipande. Vijana hao ambao wamekunywa na kugida maji ya bendera walionyesha kumuelewa mama huku wakisikiliza kwa hisia kubwa hotuba hiyo na...
  15. The only

    Zitto Kabwe acha kutumika

    Swala la kuwa huyu Kiongozi ni brilliant halina mjadala. Pia swala la kuwa over ambitious, trickstar, Msoga slave, Tanzanian with foreign origin(moo), liko wazi narudia zitto ni mtanzania halali alie na asili ya nje hili huficha sana sijui kwa nini. Chadema alikuwa anawasiliana na Kikwete...
  16. Sam Gidori

    Ghana: Kitambulisho cha Taifa kitawawezesha wananchi kusafiri bila Visa

    Makamu wa Rais wa Ghana ametangaza kutambulika ramsi kwa Kitambulisho cha Taifa cha nchi hiyo kama hati ya kusafiria kuanzia robo ya pili ya mwaka 2022. Hatua hiyo ya Ghana inatokana na kutambuliwa kwake kama mwanachama wa Taasisi ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga (ICAO), ambapo Kitambulisho...
  17. S

    CHADEMA, hawa watu tusiwabeze, inawezekana wamechoka kutumika na sasa wameamua kuboronga

    Baada ya tafakuri ya muda mfupi, nimepata hisia kuwa hata kama wana uwezo mdogo, lakini sio wa kufanya makosa kama haya ya kiuandishi. Hivyo, nahisi huenda baadhi yao hawafurahii haya mambo,.ila wanafanya kwa kulazimishwa tu na matokeo yake na wao wanamua kufanya kazi chini ya kiwango...
  18. Richard

    Tahadhari: Kuanzia tarehe 1 November WhatsApp kuacha kutumika kwenye baadhi ya simu za iPhone na Android

    They are doing it again! WhatsApp moja ya mitandao maarufu duniani ya kijamii, kuanzia jumatatu ijayo ya tarehe 1 November itasitisha kutumika kwake kwenye baadhi ya simu za iPhone na zimu za Android. Simu zote za Android zenye toleo la OS 4.0.4 hazitaweza kutumia WhatsApp ikiwa ni pamoja na...
  19. Kamanda Asiyechoka

    TOT ni mali ya CCM haipashwi kutumika kwenye hafla za kitaifa. Huku ni kutumia vibaya rasmali za Watanzania

    Nipo nyumbani kwenye luninga nafuatilia sherehe za kuzima mwenge huko Chato. Jambo la ajabu ni kuona bendi ya TOT ambayo ni mali ya CCM ikitumika ili hali ni sherehe ya kitaifa. Kutumia kodi zetu kuwalipa Tot ili hali ni mali ya CCM ni kukosa busara za kisiasa. Abadani haya mambo yanatakiwa...
  20. Time Traveller

    Ni muda wa Kiswahili kutumika katika maelezo ya bidhaa na mabango elekezi

    Zaidi ya asilimia 95 ya watanzania wanazungumza kwa ufasaha lugha ya kiswahili, huku watanzania wanaozungumza kwa ufasaha lugha ya kiingereza ikiwa ni chini ya asilimia 20 tu.Sasa fikiria hii, umewahi kujiuliza kwa nini kuna utitiri wa mabango elekezi na mabango biashara yaliyoandikwa kwa...
Back
Top Bottom