Sidhani kama kuna mwana JF alishawahi kupita mitandaoni na kukosa kuona picha za hawa mabinti. Hata kama nia yako sio ku-search mabinti mitandaoni utashangaa unaona picha zao na mara nyingi zikitumika na profile tofauti tofauti na wapigaji wa mitandaoni.
sijui nini reason behind ya hawa mabinti...
Kwa mujibu wa special creation theory ni kwamba wanadamu Waliumbwa na Mungu katika namna ambayo wapo Leo. Baada ya uumbaji waliambiwa wakazae ambapo walitumia njia ya sexual reproduction.
Ukuaji wa sayansi katika biology specifically katika genetics umeonesha kwamba wazazi Wana influence katika...
Habari.
Naomba kuuliza kama binadamu anaweza waka moto na kutoa energy. Binadamu ana maji mengi, lakini kama umewahi choma tanuri utaona kwa wanatumia magogo mabichi na yanawaka vibaya mno. Binadamu anaweza waka kama gogo bichi? Ukizingatia ana mafuta ya kutosha kuchochea moto. Au inawezekana...
Tanzania, TUMELIWA. Taarifa tulizozipokea ni kwamba, bwala la kufulia umeme la Mwl. Nyerere limeanza kutoa nyufa kabla ya kujazwa maji. Mara nyingi hii inatokana na watu kupiga hela, mkandarasi anabaki hana cha kufanya zaidi ya kulipua kazi.
Hii picha inajielezea.
====
Pia soma: TANESCO...
Wizara ya Nishati Tanzania imeanz amajadiliano na Mawaziri kutoka Tanzania na Zambia kitakachojadili ushirikiano baina ya nchi hizi mbili katika ulinzi na usalama wa Bomba la Mafuta la TAZAMA na sekta ya nishati kwa ujumla wake.
katika kikao hicho kitaongozwa na Wawaziri January Makamba na...
Kwa jinsi nchi za ulimwengu unaoitwa wa kwanza zilivyokomaza shingo na kujitoa ufahamu kuhusu mgogoro wa Ulaya mashariki naona sio muda mrefu Dunia itaingia, kwa mara ya pili baada ya miaka mingi, katika matumizi ya silaha ya maangamizi za kiatomiki!
MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA!
Walisema...
Baadhi ya watu wanaotumia hayo maneno huwa wameishiwa hoja, au wana nia zao za kibinafsi. Kiufupi watu hawa hupenyeza vioja vyao kwenye legacy ya mwalimu Nyerere ili wapate ili ionekane kwamba wanaenenda kama Nyerere hivyo jamii isiwahofie.
Mfano ili kufuta legacy ya mwendazake, "Mradi huu...
Ni jambo jema kufanya mambo ya kusaidia jamii mfano kushiriki katika shughuli mbalimbali za ukusanyaji fedha kwa ajili ya maendeleo ya jamii hasa wale wenye uhitaji maalumu. Hivi sasa wakati timu zote zikiwa katika mapumziko, taasisi mbalimbali zikiwemo za wachezaji wameandaa mechi mbalimbali za...
Ndege kubwa ya C919 hivi karibuni iliruka kutoka Shanghai hadi Beijing ikiwa na abiria, ikiashiria kuwa ndege hiyo kubwa ya abiria iliyotengenezwa China kwa kujitegemea imeingia katika katika soko la safari za anga.
Utengenezaji wa ndege kubwa unajulikana kama kilele cha kiwango cha viwanda...
Kama tulivyoaminishwa na hao wanaojiita wataalamu Bangi wanasema ni madawa ya kulevya ila cha ajabu dawa hii ndio inayoongoza kwa kutumiwa nchini Tanzania. Watu wanaitumia kumaliza stress, kujipongeza, kujitibu, kufukuza mapepo, kupata nguvu ya kufanya kazi na kuongeza ujasiri
Nimefuatilia kwa karibu matumizi ya V.A.R katika mashindano ya CAF na kusema ukweli huwa sina imani na jinsi zinavyotumika hasa pale timu mojawapo ni ya Afrika Kaskazini.
Kwa mfano najiulizaga kwa nini siyo kila replay ya V.A.R huwa inaonyeshwa? Nimeona matukio mengi ambayo mpira unasimama ili...
Rais Mstaafu wa Kenya, amewataka Polisi wa Kenya Kutenda haki na kuacha kutumika Vibaya kwa manifaa ya Serikali.
Imejili baada ya kutaka kuzuiliwa kuingia kituo cha Polisi.
Cheo ni dhamana. Sasa hivi Uhuru Kenyatta anazuiliwa na Polisi!
Habari za wakati huu popote pale ulipo... Mungu yu nasi.
Wanawake warembo ,wenye mwonekano, pisi kali na n.k majina mengine mnayo mbona kuolewa ni kipengere na wakiolewa hawa dumu kwa NDOA?
Badilika we binti unatumika mwisho unaelekea kuzeeka mnaanza kuongopa umri ili ukaolewa na kijana...
"Wakitaka tuwasaidie kuleta Hamasa kwa Timu ya Taifa ( Taifa Stars ) huwa wanatunyenyekea ila tukimaliza tu Kuwatangaza na Kuhamasisha Watanzania na Kujikita katika Majukumu yetu ya Habari wanaanza Kutudharau na hata Kutunyanyasa.
Jana baada ya Taifa Stars Kufungwa na Uganda Waandishi wa...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), kwa kushirikiana na Taasisi ya Haki za Binadamu Afrika Mashariki (EAHRI) na Shirika Lisilo la Kiserikali Defenders Protection InternationaI (DPI) lenye Makao yake Nchini Uganda wameendesha Mafunzo ya Siku 2 yanakayofanyika Dar es salaam...
Mbwa bado anaonekana ni kiumbe chenye msaada sana kwa binadamu. Kwa sasa Mbwa anatumia sana kwenye nchi ambazo zimepata majanga ya tetemeko Hivi karibuni yaani Syria na Uturuki.
Najiuliza nchi hizi ni za kiislamu vipi kuruhusu Mbwa atumike wakati kwa uislamu Mbwa ni najisi. Nauliza tu kupata...
Marekani yaamuru hela yote ya Urusi iliyotaifishwa ipewe Ukraine.... supapawa afanye akitakacho, keshaguswa mpaka kule kule...
===================
Attorney General Merrick Garland said Friday that he had authorized the United States to begin using seized Russian money to aid Ukraine, according...
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imetoa bei mpya za nauli kwa watu wazima wanaosafiri katika njia kuu na mlishi zinatakazoanza kutumika leo ambazo zimeidhinishwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Meneja Uhusiano wa Dart, William Gatambi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.