kutumika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. imhotep

    KWELI Passport ya Tanzania haikubaliki kutumika kama Kitambulisho cha taifa (National ID)

    Kuna mijadala mingi inayosema kuwa Passport yetu ya Tanzania haikubaliki kama proof of ID je ni kweli?
  2. Msanii

    Akaunti ya Instagram ya Serikali kutumika kuwanadi wagombea wa uchaguzi wa CCM

    Nimeliongea hili kwenye uzi wangu VYAMA VYA UPINZANI AZIENI HAPA... kuhusu ndoa ya CCM na Serikali ambapo hii akaunti inayojinasibisha kuwa ni ya serikali ikitumika kama eneo la kampeni ya kuwanadi wagombea wa nafasi za uongozi ndani ya chama dola Akaunti ya Instagtam kwenye bio yake Hivyo...
  3. S

    Kunani ITV kutumika kutangaza utapeli? Ilianza na Vanila Village Njombe, ikaja Kaylinda na sasa inatangaza Vanila village Zanzibar.

    Wale matapeli wa Vanila village Njombe sasa wamehamia Zanzibar. Na ITV iliyokuwa ikiwatangaza wakiwa Njombe (Vanila village Njombe) ndiyo Sasa inawatangaza wakiwa Zanzibar (Vanila village Zanzibar). Hawa ITV ndiyo waliohusika kuwatangaza Kaylinda waliochezesha upatu kwenye mitandao na kisha...
  4. Suley2019

    Baadhi ya maneno ambayo hayapaswi kutumika kwenye mawasiliano ya wanaume kwa mwanaume

    Salaam Wakuu, Natumai mnaendelea vyema. Katika kuendelea kujifunza lugha na namna bora ya mawasiliano leo nimeona nilete mtazamo wangu na nisikie kutoka kwenu pia. Matumizi ya lugha yoyote yanapaswa kujingatia muktadha na wahusika unaozungumza nao. Katika muktadha wa mazungumzo ya wanaume...
  5. Dr Msaka Habari

    Ditopile yupo tayari kutumika wakati wowote kuunga juhudi za Rais Samia

    Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tawi la Mwasonga wamempongeza Katibu wa umoja wa Wazazi Tawi hilo kwa kuwawezesha kupata mfadhili ambaye amefanikisha wao kupata eneo la Chama.
  6. BARD AI

    Tsh. Bilioni 3 kutumika kusaidia Samia Scholarship

    Jumla ya Sh3 bilioni zimetengwa kwa ajili ya kuwasomesha wanafunzi waliopata ufaulu wa juu katika masomo ya sayansi katika mitihani yao ya kidato cha sita. Ufadhili huo ambao unaanza mwaka 2022/2023 unafanyika chini ya mpango unaojulikana kama Samia Scholarship. Akizungumza hayo leo Jumapili...
  7. BARD AI

    Daraja jipya la Wami Ruvu kuanza kutumika Septemba 30, 2022

    DARAJA Jipya la Wami lenye urefu wa mita 513.5 na barabara unganishi ya kilometa 3.8 litaanza kutumika Septemba 30, 2022.
  8. mmmuhumba

    Kutumika kwako ndio kumdatisha uliye naye/ Unaye mtarajia

    Kwenye mahusiano yenye afya, vitendo ndio uuza uzuri wa mpenzi na thamani aliyonayo mpenzi. Vitendo husisimua moyo, akili na viungo vya mwili. Akili uwaza, mwili upokea hisia na ulimi unena. Mwenza bora ugusa hizi sehemu haswa mtu akawa radhi kwa lolote katika mapenzi na maisha Kutumika katika...
  9. BARD AI

    iOS 16 kuanza kutumika leo saa 2 usiku

    iOS 16 inategemewa kutoka leo kuanzia mida ya saa 2 Usiku, na latest report ya mwisho ambayo imevuja inaonyesha mabadiliko mapya ambayo yatawakuta wale ambao wanatumia AirPods feki! Code ya iOS16 iliyotoka wiki iliyopita inaonyesha iOS 16 ina uwezo wa kutambua kama AirPods ni original au ni...
  10. BARD AI

    Kenya 2022 Tsh. Bilioni 3.8 kutumika kwenye uapisho wa Rais Mteule William Ruto

    Mfuko wa Hazina umetenga kiasi hicho cha fedha kwaajili ya hafla ya kuapishwa kwa Rais Mteule inayotarajia kufanyika Jumanne ya Septemba 13, 2022 kwenye uwanja wa Kasarani. Fedha hizo kutoka Hazina ya Serikali zitakuwa chini ya Kamati ya Makabidhiano ya Ofisi (NASC) ambayo inajiandaa kwa...
  11. Roving Journalist

    CCM yashangazwa na urasimu wa mifumo kutumika kama utetezi wa miradi ya maendeleo kutotekelezwa kwa wakati

    Katibu wa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ameonesha kukerwa kwake na tabia ya fedha ya miradi ya maendeleo kucheleweshwa kwa kisingizio cha urasimu wa mifumo ya ulipaji kutofunguka kwa muda mrefu jambo ambalo linakwamisha baadhi ya miradi utekelezaji wake kuenda kwa kasi na haraka kama...
  12. JITU LA MIRABA MINNE

    Mchanganyiko uliosagwa wa Tangawizi, Kitunguu Saumu, Mdalasini, Limao na Asali vinaweza kutumika kwa muda gani bila kuharibika?

    Wazee ujumbe unajitosheleza nisiwakamue ubongo wenu. Nimetengeneza huo mchanganyiko nataka nikate mafuta tumboni huku nafanya mazoezi ya viungo kwani uzito wangu ni kg 100, hadi visigino vinauma Nimechanganya huo mchanyanyiko lita 1 na nusu natakiwa uji huo kijiko kimoja asubuhi, mchana na...
  13. JanguKamaJangu

    Dawa ya Vumbi la Kongo 'hensha' yapigwa marufuku Tanzania

    Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala Tanzania, limepiga marufuku matumizi ya dawa aina ya Hensha maarufu kama Mkongo kwa binadamu, na kwamba tayari limekwishaifutia usajili baada ya kubaini imechanganywa na dawa za kuongeza nguvu za kiume (Viagra). Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba...
  14. JanguKamaJangu

    Kipimo kidogo cha damu kutumika kupima Saratani ya matiti

    Wataalam wa Afya wamebaini kuwa kuna uwezekano wa kufanya vipimo vya Saratani ya Matiti kwa kutumia kipimo cha kawaida cha damu tofauti na kutumia kifaa maalum cha kupiga picha hasa wana wanawake wenye umri mdogo. Daktari wa upasuaji wa saratani ya matiti Profesa Kefah Mokbel wa Uingereza...
  15. K

    Msaada: Hizi kozi zilizotajwa kutumika kama equivalent entry qualification kwenye TCU guidebook ya mwaka 2019 kurudi nyuma ni kozi gani hizo?

    Salaam..... Naomba kujua kozi zilizotajwa kwa jina la BSc (lower second) majoring in Physics/Mathematics, Chemistry, Biology /Zoology. kwenye TCU guidebook ya mwaka 2019 kurudi nyuma kuwa ziliweza kutumika kama equivalent qualification kusoma degree yeyote ya afya yaani medicine, pharmacy nk...
  16. S

    Urusi yasema haitokubali kuadhibiwa kwa jinai za vitani wakati US anazo kibao, yaahidi vita ya nyuklia kwa nchi zitazojaribu kuiadhibu Urusi

    Urusi imeonya kuwa jaribio lolote la kutaka kuitumia mahakama ya ICC kuiadhibu Urusi dhidi ya jinai za vitani litakuwa ndio kufutwa kwenye uso wa dunia kwa hizo nchi zitazohusika. Imesema Marekani imeua mamilioni ya watu kibao kwenye nchi nyingi na haijawajibishwa kwa lolote, hivyo Marekani...
  17. JanguKamaJangu

    Dola ya Marekani kutumika rasmi nchini Zimbabwe baada ya mfumuko wa bei kuwa mkubwa

    Serikali ya Zimbabwe imetangaza mipango wa kutumia Dola ya Marekani kuwa fedha rasmi itakayotumika nchini humo kwa kipindi cha takriban miaka mitano ijayo, kutokana na mfumuko wa bei kupanda kwa kasi. Waziri wa Fedha wa Zimbabwe, Nthuli Ncube ametoa tangazo hilo baada ya mfumuko wa bei kufikia...
  18. Internet-Money

    DNA Unaweza kutumika Kama Flash ( Unlimited Storage)

    DNA inaweza kutumika kuhifadhi movies , songs na photos Bila kikomo. Teknolojia hii imegunduliwa Cambridge University. CHEKI VIDEO
  19. Suley2019

    TEMESA wakubaliana na Azam Marine kuvusha abiria Kigamboni (Ferry)

    Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unapenda kuujulisha umma kuwa umefikia makubaliano na kampuni ya Azam marine kutoa huduma ya kuvusha abiria baina ya Magogoni na Kigamboni ili kuendelea kuwapa wananchi huduma ya uhakika wakati huu Wakala ukiendelea kufanyia matengenezo vivuko vyake...
  20. Replica

    Rais Samia apongeza daraja la Tanzanite kutumika kuonesha mpira

    Rais Samia Suluhu amepongeza daraja kutumika kuonesha mpira kwani imelitambulisha duniani. ======= Rais Samia: Natoa pongezi kwa wizara kwa kazi kubwa wanayoifanya, juzi niliona wako pale daraja la Tanzanite wakionesha mechi ya mpira sijui baina ya nani na nani, Liverpool timu mmoja sababu...
Back
Top Bottom