kutunza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kulea ni kazi ya mwanamke, kutunza ni kazi ya mwanaume

    "Kulea ni kazi ya mwanamke na kutunza ni kazi ya mwanaume. Ili mwanamke aweze kulea ni mwanaume anahusika kutoa matunzo. Kujiunga na chama hichi ni kuanzia miaka 18 ambapo tunatengeneza wanaume ambao hawakimbii familia. Waliojiandikisha mpaka sasa ni wanaume 31,000" - Claude Benedict Kimu...
  2. Natafuta kazi ya kuhudumia na kutunza kuku wa kisasa.

    Natafuta kazi ya kuhudumia na kutunza kuku hasa kuku wa nyama, Nina uzoefu wa kutosha wa kazi hii kwa miaka mitano sasa.. Kwa yoyote anayehitaji kijana anitafute WhatsApp kwa namba hii 0788109052.
  3. M

    Makaburi ya waislamu Segerea yanatoa funzo kubwa suala la kutunza ardhi. Serikali ikemee kujengea Makaburi yote

    Habari wadau. Binafsi ni mkristo. Ila nimependa sana utaratibu uliowekwa kwenye makaburi ya waislamu Tabata segerea. Kanuni yao namba moja ambayo inakataza kujengea kaburi ni nzuri sana.
  4. K

    Health is wealth, kwa experience Yako mtu anawezaje kutunza afya yake

    Kufanya makosa ndio kujifunza, Sasa nadhani humu Kuna wataalamu wa afya lakini pia Kuna watu wana uelewa mkubwa kuhusu masuala ya afya Nina uliza ninawezaje kutunza afya yangu ya mwili na akili Naombeni tips niishi nazo 2025
  5. Lissu ana wajibu muhimu wa kutunza umoja wa CHADEMA pamoja na changamoto zote za ndani ya chama.

    Tundu Lissu afahamishwe katika kushika dola umoja ni muhimu zaidi kuliko hata sera, uhalisia na ukweli. Pamoja na yote anayofanya lazima ajue lugha ya ukali anayotumia kwa CCM na serikali haifai na haiwezi kudumisha umoja ndani ya chama chake, anapaswa kuipooza. CHADEMA hakijawahi kushika dola...
  6. D

    Ipi ni njia nzuri ya kutunza carrots na hoho nyumbani ili zisiharibike

    Nina health issue inayonihitaji kula carrot, hoho, vitunguu na spinach on daily basis kama dawa, aidha vibichi, kwenye juisi au vipikiwe ila visiive sana. Lakini napata challenge kutunza hoho na carrot. Spinach hazina shida sababu niliweka kabisa bustani ila hoho na karrot ulimaji wake...
  7. Makundi mbalimbali yaadhimisha Miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika kwa kutunza mazingira

    Katika kuadhimisha miaka 63 ya Uhuru, mikoa mbalimbali nchini imejitokeza kushiriki shughuli za kutunza mazingira, ikiwemo kufanya usafi na kupanda miti. Mkoani Morogoro, Bodi ya Maji Bonde la Wami/Ruvu kwa kushirikiana na Kikosi cha Mazao Mzinga na wadau wa mazingira wamepanda miti 7,000...
  8. REB yatembelea Kijiji cha Keichuru - Kibiti, Wananchi watakiwa kutunza na kuwa walinzi wa miundombinu ya umeme

    Wananchi wa Kijiji cha Keichuru kilichopo katika Wilaya ya Kibiti Mkoa wa Pwani wamempongeza na kumshukuru Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kwa utekelezwaji wa miradi ya kupeleka umeme vijijini kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Wananchi hao wametoa pongezi hizo Disemba 1, 2024 wakati...
  9. G

    Watanzania wengi hawajengi kwao kwa kisingizio cha kutunza asili na hofu ya kurogwa, Wachaga pekee wameweza kukiruka hiki kiunzi

    Inashangaza sana Mfanyabiashara Mkinga ana nyumba nzuri Dsm, nyingine Njombe mjini lakini kijijini Makete kijumba Mhandisi Msukuma ana nyumba nzuri Dsm, nyingine Mwanza mjini lakini kijijini Gamboshi kijumba Profesa Mhaya ana nyumba nzuri Dsm, nyingine Bukoba mjini lakini kijijini Biharamulo...
  10. Utawezaje kutofautisha kati ya kutunza siri na kusema uongo?

    Wapo baadhi ya watu ambao hupenda kujua mambo yanayokuhusu au mambo asiyoyajua; na anatamani kuyajua ila hapaswi kuyajua kwa wakati huo. Sasa ikiwa wewe ndiye unaulizwa kuhusu jambo au taarifa fulani unayoijua ila hupaswi kuisema kwa huyo anayekuuliza kwasababu ni SIRI; Je utamdanganya kwa...
  11. Ukitaka kutunza pesa yako

    Ukitaka kutunza pesa yako, jitahidi kuepuka hivyo vitu vitatu unavyoviona hapo kwenye picha. #women #betting #alcohol
  12. kuna faida zipo kutunza hela kwenye kibubu

    Nimeanza kucheza betting ya akili sasa hivi na deal na odds 1.27 mpaka 1.30 halafu mkeka wa accumulation mecchi 4 tu zilete odd ya 2.68 na zaidi na sio single bet mtaji ni laki 2 na natumia finobacci system.matokeo yanaenda vizuri nataka hela yoyote ndogo nitakayokuwa nakula niwe naitoa...
  13. Kitabu; Usimamizi wa fedha binafsi; mwongozo wa kupata, kutunza na kuzalisha fedha ili kuwa huru

    Rafiki yangu mpendwa, Umewahi kujiuliza kwa nini watu wawili, wanaoweza kuwa wanafanya kazi au biashara zinazofanana na kuingiza kipato sawa, mmoja anaweza kuwa vizuri kifedha na mwingine vibaya? Au umewahi kujiuliza kwa nini watu ambao kazi zao za kila siku wanahusika na simamizi wa fedha...
  14. Q

    Rais Samia awataka Wazanzibari kutunza Mila na Desturi zao. Wamaasai hawahusiki?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa jamii zinazoishi maeneo yenye vivutio vya Utalii, kuendeleza mila na desturi za maeneo hayo ili kulinda heshima ya mila hizo na kuendelea kuvutia utalii. Rais Samia ametoa wito huo leo, wakati akifunga mafunzo ya...
  15. Naomba kazi ya kutunza nyumba kwa Dodoma mjini

    Naitwa David, nina miaka 25 naomba kazi ya kutunza nyumba kwa Dodoma mjini. Mawasiliano +255624576521
  16. Shemeji yangu naona amevuka mstari mwekundu. Nifanye kweli kutunza heshima ya homie au nimuache ajiendee tu

    Habari zenu wanaJF wenzangu Nina rafiki yangu ambae tumekuwa nae, tumesoma nae na kucheza nae toka utotoni. Homie huyu tumekuwa tukishirikiana kwa mambo mengi ya kimaisha, mpaka kupelekea baadhi ya watu wasiotufahamu kuhisi kuwa sisi ni ndugu wa baba mmoja na mama mmoja. Miaka miwili...
  17. M

    SoC04 Nafasi ya madaktari kike na wahudumu wa kike hukatika katika utoaji wa huduma za afya

    Serikali inapaswa kuongeza idadi wa madaktari wa kike ,ili Wawa hudumie Wana wake pale wanapofika hospitalini. Kufanya hivyo kutapunguza unyanyasaji wa kijinsia na kuongeza ufanisi wa kazi. Kwani ni vyema mwanamke akihudimiwa na mwanamke mwenzie ,hasa pale mgonjwa anapotakiwa kupata...
  18. Zijue faida za kutozini na kutunza sperm

    Vijana wengi wa siku hizi wanaona ni ujanja 'kukojoa' kila sehemu,mtu hawezi kukaa siku mbili bila kutoa manii,iwe kwa kusex au punyeto. Kiafya na kiroho sio salama sana,sasa zifuatazo ni faida utakazopata ukitunza shahawa zako na kujiepusha na zinaa.. 1.Itaongeza kujiamini.. 2.Itaongeza ngu...
  19. A

    SoC04 Upanuzi wa Mfumo wa Kutunza Taarifa za Wagonjwa ni Hatua Muhimu katika Mapambano Dhidi ya Kansa

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekabiliwa na changamoto kubwa katika sekta ya afya, ikiwa ni pamoja na upatikanaji duni wa huduma za matibabu na usimamizi mdogo wa taarifa za afya za wagonjwa. Mojawapo ya matatizo makubwa yanayokabiliwa na jamii ni kutopata matibabu sahihi kwa magonjwa...
  20. Fixed Deposits Account, UTT-Amis ni njia nzuri za kutunza pesa LAKINI SIYO uwekezaji abadani

    Salamu Waungwana. Binafsi ni mfanyabiashara wa kawaida au tuseme wa kati. Kwa mda nimekuwa nikiweka pesa kwenye fixed deposits account za mabenk tofauti na hata UTT-Amis. Nimeweka CRDB (Mzigo Flex) ambao wanatoa riba ya 9% annually, TCB ambao wanatoa 11% annually and UTT-Amis ambao wanatoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…