NASHINDWA KABISA KUKAA NA PESA
Wakuu nimeshindwa kuvumilia maana napata mtihani sjui wa aina gani.
Wakuu kila napojitahidi kuweka kapesa kangu japo kidogo lakini nashindwa kabisa kuhifadhi, hata nikimpa wife haipiti wiki ntaanza kujiskia vibaya kwa kukosa kuwa nayo mimi!
Ntatafuta kila sababu...
Kumekuwa na malalamiko mengi juu ya mishahara ya waajiriwa wengi kutokutana yaani mishahara kuwahi kuisha kabla ya muda wa kupokea mshahara mwingine. Hii hupelekea walio wengi kuamua kuzidharau kazi za kuajiriwa na kudai mishahara iongezwe bila kufikiria kuwa hata wenye mishahara mikubwa zaidi...
Nimeona ni vyema kutoa pongezi chanya kwa idara na watu wanaotenda mema wangali wakiendelea kutenda mema ili kwanza, watiwe moyo, lakini pia wale wengine wanaojikwaa mahalali , wapate hamasa ya kutenda mema.
Uzi huu ni rasmi kuwapongeza JWTZ, au Jeshi la Wananchi wa Tanzania (Tanzania Peoples'...
Salam wakuu.
Nimewaza sana kwanini viwanda vya pombe Kali (Distilled spirits) kama konyagi, kvant, vodka, dompo, wana design chupa nzuri sana tena zenye mionekano bomba.
Lakini cha kushangaza chupa hizo baada ya matumizi hutelekezwa na kuwa kero kwa uchafuzi wa mazingira yetu.
Sasa sijui...
Wadau wenye elimu kidogo ya kutunza pesa ebu tuelimishane yaaani mimi kwakweli nimeshindwa kabisa yaaani utanipa laki sasa hivi lazima nitaitumia tu yaani lazima litatokea jambo linahitaji hiyo laki na zaidi yaani sijui inakuwaje kila nikisema hii situmii utasakia mtoto sijui anaumwa yaani...
Leo naja na huu uzi kwa gender zote but especialy wadada
Kuna watu wanatunza meseji nyie,balaa..Hata Makumbusho ya taifa pale Posta haiko deep kama wao.....Anatunza meseji za tangu unamtongoza mpaka mmeachana...khaa!nimewavulia kofia..Especially wanawake,ur best at this...nooomaaa!
Sasa...
Nyalandu ulikuja vizuri take vizuri.
Kama kuna mapungufu waambie viongozi wa CHADEMA watayafanyia kazi, lakini kuongea na redio utashusha heshima yako.
Kwa kukusaidia tu.
Kuna nguli walitoka CHADEMA sio wewe mpita njia usie na msimamo,mtu laini kabisa.
Alitoka Zitto, huyu ni nguli wa Siasa za...
Kwa Africa au Tanzania imekuwa kinyume sana katika masuala ya usomi na siasa. Msomi alipaswa awe mtalaamu na jicho kuangalia mambo yanavyoenda.
Imekuwa kinyume. Huku Tanzania msomi Daktari wa mifupa anaenda kuwa waziri wa michezo au waziri wa Utalii.
Na kuna mtalaamu aliyesomea Hotel...
Habari ya leo wakuu,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29
Elimu yangu kidato cha nne
Umbo la mwili wangu ni mwembamba na mrefu kiasi.
Kabila langu Mnyamwezi naishi Dar.
Kazi yangu Mjasiriamali/biashara
Dini yangu mkristo.
Mke nnaye muhitaji awe mweupe/ maji ya kunde
Umri kuanzia miaka 23
Awe...
Kuhakikisha ngozi ya mtoto inakuwa imegusana na ngozi ya mama ( skin to skin contact/ kangaroo mother care). Hapa mama anashauriwa kumbeba mtoto kwa kumgusisha katk ngozi ya mama uda mwingi ili kumkinga mtoto kupoteza joto.
Ii/Kumfunika mtoto kwa nguo nzito iliasipoteze joto. Nguo hizo lazima...
Nilikuwa nafanya muamala hapa kwa njia ya M-PESA lakini naambiwa "Huduma hii haipatikani kwa sasa" na nipo kwenye situation ambayo bila huu muamala mambo yanakwama. Na hii si mara ya kwanza hali kama hii kutokea.
Ikabidi ni-pause kidogo kufikiria plan B nifanyaje, sasa wazo likanijia, "Hivi...
Majukumu:
kufanya usafi mara mbili kwa siku,kuwapa chakula,kufwatilia kwa ukaribu magonjwa ya ngozi,kuwazibiti wasitoke nje ya eneo la uzalishaji,kuwatenga kwa makundi kitokana na aina na umri na mahitaji maalum,kusimamia delivery kwa wateja.
Sifa za jumla:
Awe na uzoefu wa kufuga mbwa na kujua...
Jirani yangu hapa ninapoishi ni watu wenye uwezo wao. Wote wawili walikua na taaluma na walistaafu. Walijenga nyumba ya ghorofa ya vyumba sita vya kulala. Nyumba ya nyuma walipangisha.
Miaka mitano iliyopita mzee alifariki. Mama ameachwa akiwa na miaka 60+ lakini ni mama wa kileo sana na...
Wajapani wanawezaje kutunza gari na kubaki mpya kiasi hiki ikiwa na miaka 28. Japan ni nchi ya visiwa visiwa, hali ya hewa ya joto na wakati mwingine baridi Kali, upepo unavuma chumvi, vitu vinapata kutu.
Lakini magari ya Japan yana bodi imara sana haiathiriki na kutu ukilinganisha na magari ya...
accounting
bei
biashara
computer
duka
fedha
jumla
kumbukumbu
kusimamia
kutunza
maduka
malipo
management
management system
mapato
matumizi
mauzo
mfumo
mwaka
mwezi
offa
pharmacy
rejareja
software
supermarket
system
wamiliki
yako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.