Figo hufanya kazi ya kuchuja damu kwa kuondoa maji na uchafu.
Aidha, hufanya kazi za kuweka uwiano sawa wa tindikali na alkali za damu, kutengeneza sukari kwenye nyakati ambazo mwili wa binadamu huwa na upungufu mkubwa wa sukari, kudhibiti shinikizo la damu pamoja na kuzalisha vichocheo vya...