kutupa mtoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Aliyemtupa mtoto Nzega Tabora bado hajajulikana alipo. Jeshi La Polisi bado linamtafuta

    Wakuu, Hali ya mtoto mchanga aliyetelekezwa kwenye nyumba ya kulala wageni sakafuni eneo la mapokezi wilaya ya Nzega mkoani Tabora akiwa na siku tano baada ya kuzaliwa inaendelea vizuri huku akiwa chini ya uangalizi madaktari katika hospitali ya wilaya ya mji wa Nzega. Mama wa mtoto huyo bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…