Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amekemea tabia ya baadhi ya wananchi wa Manispaa ya Morogoro kutupa takataka katika barabara za Muhimbili, Tubuyu II, Mjimwema, Barakuda na Kihonda-VETA zenye urefu wa Kilomita...
Kuna tabia wanayo hasa polisi na chawa wao, pia asakari wa jiji, inapofika kipindi cha sikukuu akikuona na mfuko au umeangusha karatasi kwa bahati mbaya, watakufata na kukuvamia utazani ni jambazi au umebeba silaha kali.
Baada ya hapo ni kukusomea karatasi kua kuna faini ya 300,000/= au jela...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.