kutupa takataka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe akemea Wananchi kutupa takataka kwenye barabara Manispaa ya Morogoro

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amekemea tabia ya baadhi ya wananchi wa Manispaa ya Morogoro kutupa takataka katika barabara za Muhimbili, Tubuyu II, Mjimwema, Barakuda na Kihonda-VETA zenye urefu wa Kilomita...
  2. JamiiForums Tanzania Polisi wana tabia ya kuwatishia watu kuwapeleka mahakamni pale wanapokuwa wamedondosha karatasi kisha huwaomba rushwa

    Kuna tabia wanayo hasa polisi na chawa wao, pia asakari wa jiji, inapofika kipindi cha sikukuu akikuona na mfuko au umeangusha karatasi kwa bahati mbaya, watakufata na kukuvamia utazani ni jambazi au umebeba silaha kali. Baada ya hapo ni kukusomea karatasi kua kuna faini ya 300,000/= au jela...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…