Barua inayosemekana ya CHADEMA ikieleza malalamiko ya Baraza la vijana la Chadema (BAVICHA) kutoridhishwa kwao na maagizo yanayotolewa nje ya vikao rasmi vya katiba ya chama chao.
Barua inayodaiwa kutolewa na BAVICHA ikipingana na maelekezo ya baraza kuu la chama chao
Dkt. Abbasi, Mchengerwa Kumpokea Balozi wa Amani Duniani Keshokutwa, anakuja kuunga Mkono Royal Tour
Aug 23, 2022 Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema, Agosti 23, 2022, Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa ujio wa Balozi wa Amani Duniani na Kiongozi...
Licha ya kejeli na dhihaka alizofanyiwa Rais Samia Suluhu Hassan, na wapinga maendeleo wa nchini juu ya utekelezaji miradi mbali mbali ikiwemo ya Uviko-19 lakini bado hakurudi nyuma kuleta mabadiliko.
Aliweka pamba masikio na kusonga mbele juu ya kusimamia miradi mikubwa ya uwekezaji pamoja na...
Kiungo wa Kimataifa wa Senegal anayecheza PSG ya Ufaransa Idrissa Gana Gueye (32) imebainika kuwa alikosa game ya PSG dhidi ya Montpellier Jumamosi iliyopita sababu hakutaka kuvaa jezi zenye namba zenye rangi za upinde (rainbow flag).
Idrissa inaeleza kuwa hakutaka kucheza mechi hiyo sababu...
Fadhili Mpunji
Hivi karibuni mabalozi wa nchi za Umoja wa Ulaya nchini Tanzania walikutana na waandishi wa habari kwenye makazi ya balozi wa Ufaransa nchini Tanzania, na kutoa mwito wa nchi za Afrika kuunga mkono msimamo wa Umoja wa Ulaya kwenye mgogoro kati ya Russia na Ukraine. Wakati huo huo...
Nakili wazi bado sijapata majibu ya hoja zangu tatu za kwanini naunga mkono Urusi kuchukua hatua za Kijeshi Ukraine. Hoja zangu hazijajibiwa, wanaojaribu kujibu wanajibu kwa hisiasa zao bila kugusa hoja za msingi nilizozijenga wakati naweka msimamo wangu kwamba naunga mkono Urusi katika mgogoro...
Ikiwa baadhi ya maeneo baadhi ya watu wamekuwa wakiandamana kupinga #Urusi kuweka vikosi vyake na kuishambulia #Ukraine, baadhi ya watu wamebainika kuunga mkono vita hiyo kwa kutumia herufi ‘Z’
Herufi ‘Z’ imeonekana kwenye vifaru na magari ya Urusi huku maana kamili ya herufi hiyo ikiwa...
(Tunafanya Siasa tusiyoijua)
Nimeona na kusoma sehemu kadhaa makada na mashabiki wa chama cha Chadema wakilaani taarifa inayokinasibu chama cha ACT wazalendo kuunga mkono juhudi za serikali katika miradi mbalimbali ya kimaendeleo.
Na niliiona nongwa hii tangu siku ya sherehe za mapinduzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.