kuungana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ryan riz

    Mo Salah kutimkia Saudia kuungana na Benzema Al-Ittihad. Hii bandu bandu hatari kumaliza gogo

    Inaweza kuwa mzaha mzaha..lakini ikaja shangaza huko mbele!!! EPL inabidi ibadilike kwenye malipo ya mishahara. Dunia sasa hivi inaonesha mabadiliko kila sehemu. Ukibaki unajiamini we ni bora siku zote na na hautaki kubadilika..kupotea ni rahisi
  2. The Shah of Tanganyika

    Serikali za Kijeshi za Mali na Niger Zapanga Kuungana Kuukabili Uvamizi wa Kijeshi wa Magharibi na ECOWAS

    Katika juhudi za kukabiliana na ukoloni na unyonyaji wa mataifa ya Magharibi dhidi ya mataifa ya Afrika, serikali za Niger na Mali zilizotwaliwa na majeshi hivi karibuni zimepanga kuunganisha nguvu kupambana na uvamizi unaopangwa dhidi ya mataifa yao. Majuzi tumesikia habari kuwa Marekani na...
  3. THE BIG SHOW

    Maaskofu wazidi kutoa Maoni, sasa ni zamu ya Askofu Mstaafu Stephen Munga

    Friends and Enemies, Katika kile kinachoonekana kuwa ni vita dhidi ya rasimali za nchi kama wenyewe wanavyosema, ameibuka Askofu Mstaafu Stephen Munga ambaye ni Askofu Mkuu Mstaafu dayosisi ya kaskazini mashariki. ''Yupo Mfalme wa Wafalme, tuwe makini na kauli zetu, kama umesahau Jana ukumbuke...
  4. Father of All

    Siri ya Tanganyika kuungana na Zanzibar na kuipa madaraka makubwa isichukuliwe na Kenya

    Katika utafiti wangu juu ya chanzo cha muungano wa Tanganyika na Zanzibar na mapinduzi 'matukufu' au matukutu au mavamizi ya mwaka 1964, nilibahatika kusoma andiko la mtafiti James R Brennan lenye kichwa Lowering the Sultan’s Flag: Sovereignty and Decolonization in Coastal Kenya (2008) ambapo...
  5. Zacht

    Wakristo mnatakiwa kuungana na waislamu kwenye hii vita

    Wakristo mnatakiwa kutambua kuwa hamna nafasi ya kushinda propaganda za LGBTQ isipokuwa kwakufanya muungano na Waislamu katika kupigana vita na Hawa wapotovu, Bibilia Iko wazi kwenye suala la ushoga kwamba ni laana na dhambi kubwa lakini Kuna baadhi ya viongozi wenu wanajaribu kupindisha...
  6. Beberu

    Ni wakati wa CHADEMA na ACT kuungana kupambana na mkoloni

    Habari ya wakati huu ndugu zangu, karibuni tena kwenye mawazo ya kibeberu na Beberu J Katika mizahania ya siasa Tz kuna vyama viwili vya upinzani ambavyo navyo unaweza sema vinapigania kuwa chama kikuu cha upinzani, CHADEMA ya bwana Mbowe na ACT wazalendo ya kwake Zitto, mifarakano ya hawa...
  7. J

    Nimeshangaa sana, Timu za Ujerumani badala ya kuungana kumaliza utawala wa Bayern, zinakamiana

    Ligi imekosa mvuto, timu moja inachukua kombe kwa miaka 11 mfululizo kwa kutumia mbinu za kupora wachezaji wazuri kutoka timu pinzani Kwa mbinu hii pengine inaweza kuchukua ubingwa hata mara 20 mfululizo, maana msimu huu ndio walikuwa dhaifu kuliko misimu mingine Badala ya timu kuungana ili...
  8. comte

    Mbunge Mabula aomba barabara ya Kenyatta ianze kujengwa njia nne kuungana na daraja la Busisi

  9. Chagu wa Malunde

    Joseph Selasini: CHADEMA ilipanga kuua vyama vingine kupitia UKAWA. Hatuwezi kurudia tena makosa ya kuungana nao

    "Muungano ule (UKAWA-2015) ulilenga kuviua vyama vingine na Chadema ndio ilikuwa namba moja kuvimaliza vyama vingine, NCCR Mageuzi haitarudia makosa yale" Joseph Selasini, Makamu M/kiti NCCR Mageuzi. Chanzo: Jambo TV
  10. happyxxx

    Namshauri Lema arudi Canada kuungana na familia yake. Haya matusi kwa watanzania yametosha sisi wanaArusha tusije laumiwa baadae

    Tangu amerudi amekuwa akitoa kejeli dhiaka na matusi kwa vijana na kina mama maskini wa kitanzania. Hata kama yeye ana pesa nyingi na amepata nafasi ya kuishi Canada kwa mgongo wa ukimbizi wa kisiasa kwa siasa alizopewa nguvu na hawa anaotukana leo basi enough is enough. Tumemchoka! Kuna watu...
  11. eliakeem

    Tetesi: Urusi na Iran Sasa Rasmi Kuungana kwa Ajili ya Kupata Ndege Bila Rubani Kamikaze

    Mwanzoni, ilikuwa sintofahamu kama Kamikaze, drones kutoka Iran zinatumiwa na Urusi kuipiga Ukraine. Lakini sasa rasmi, dulu za intellijensia za marekani kama ilivyododoswa na gazeti la Washington Post na kuwekwa bayana na dw radio, zinasema, wawili hao wanajongeleana ili kuweka mikakati ya...
  12. Crocodiletooth

    Kenya kuungana na majeshi mengine ya EA kwenye kufurusha majeshi ya M23, Drc kaskazini.

    It's so complicated, kwa mujibu wa BBC, Majeshi ya M23 yanayodhaniwa kufadhiliwa na Rwanda ambayo ni miongoni mwa nchi za EA, Hili limekaaje , na kwanini EA, Isimkaripie Rwanda kuacha kufadhili waasi hawa ambaye ni mwanachama wao.
  13. T

    Tetesi: Dunia inaenda kuungana dhidi ya Urusi

    Urusi imeamua kuwa Taifa la kigaidi na kila mtu mwenye akili amesha juwa nia ovu ya Urusi dhidi ya Ukraine na Dunia yote kwa ujumla. Ujinga anao ufanya Putin ndio ujinga aliufanya Stalin na Hitler na kile Kili wakuta imebaki historia. Baada ya Vita ya pili ya dunia. Mataifa ya Magharibi...
  14. Sir robby

    Sukuma gang ni kina nani?

    Wadau Nawasabahi Nimekuwa nasikia kuna Kundi linaitwa SUKUMA GANG je Kundi hili ni la kina NANI?Je lina Lengo gani Uwepo wake?Je Ofisi zao zipo Wapi?Je Kiongozi wao ni NANI? Na kwanini liitwe SUKUMA GANG je ni kwa Ajili ya Wasukuma tu? Mwenye UFAHAMU wa Kundi hii ATUJUZE.
  15. J

    Rais Samia kaona hatari ya Sukuma gang na CHADEMA kuungana, anawatenganisha

    Simaanishi muungano rasmi wa vyama vya siasa, muungano wa ku share na kusambaza taarifa hasi dhidi ya serikali mtandaoni na mtaani Haya makundi mawili, Sukuma Gang na Chadema ni maadui wakubwa sana kisiasa, hasa ukizingatia utawala wa Magufuli ulivyofanya unyama mkubwa kwa Chadema Lakini hivi...
  16. THE BIG SHOW

    Umoja ni nguvu: Wapinzani nchi hii bila kuungana wasahau kushika Dola

    Friends and Enemies, Sikio la kufa haliskii dawa,tumekuwa wahanga wa siasa za majukwaani na mihemko kwa muda mrefu sana nchi hii tena zenye manufaa makubwa sana sana kimaslahi kwa wanasiasa, Japo kama nchi tunahitaji chama cha siasa kituongoze hatuna jins kuendelea na siasa. Ni ukweli ulio...
  17. P

    Nipende Kuungana na Watanzania Wenzangu Wapenda haki Kudai Katiba Mpya.

    Poleni na Majukumu ya kikazi. Katika kuijenga nchi yetu nzuri Tanzania. Moja kwa moja kwenye. Haya ni maoni yangu binafsi. Kama mwananchi wa Tanzania niliye na Uhuru wa kutoa maoni. Kama mjuavyo wengi tunaofutilia mambo nchini Tanzania. Kumeibuka vuguvugu la kudai katiba mpya Tanzania. Mimi...
  18. Corticopontine

    Baada ya wafuasi na viongozi wa Upinzani kukubaliana kuungana na Serikali ya CCM, Chama kipya cha upinzani kinahitajika haraka sana

    Ni muda muafaka saasa wa kuunda Chama kipya cha upinzani kufuatia anguko kuu la upinzani baada ya upinzani uliopo kukumbwa na kimbuga Magufuli baadaye Upepo Samia ukaja kuwafagia kwa hiyo kwa mstakabali wa Taifa letu ni muda muafaka sasa wa kuunda Upinzani unaotetea masilahi mapana ya...
Back
Top Bottom