kuunganisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Operesheni tokomezeza flash disk na mawaya, Nawezaje kutazama video za kwenye computer kwenye Tv kwa kutumia wifi ( wireless )

    Nahitaji kuifanya Tv yangu iwe kama youtube au Netflix lakini niweze kustream video kutoka kwenye laptop yangu bila bando. Laptop nitakuwa naiacha chumbani, niweze kuchagua video moja kwa moja kwenye TV bila kugusa laptop. Nimechoka kudownload videos kwenye pc kisha niiingieze kwenye flash...
  2. Katavi kuunganisha nguvu kuleta usawa wa kijinsia siku ya maadhimisho ya wanawake Duniani

    Mkoa wa Katavi hii leo umezindua maadhimisho ya siku ya Wanawake ambayo ulimwenguni yatahitimishwa March 8, 2025 huku yakiangazia nyanja kuanzia mafanikio, changamoto na hata mustakabali wao, sio tu kwa wanawake bali pia wasichana. Kote mkoani humo, Taasisi za serikali na zisizo za serikali...
  3. A

    NINA SHAMBA EKARI 15, LIPO MBEYA- CHIMALA. NATAFUTA MTU WA KUUNGANISHA NAE NGUVU TUFANYE KILIMO CHA ALIZETI.

    Kilimo cha umwagiliaji kinawezekana pia kwakua shambani kuna miti inayotoa maji mwaka mzima. 0625012562
  4. Tanzania imekuwa na Gharama nafuu za kuunganisha Umeme kwa wananchi kupitia mwongozo wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti

    Tanzania imekuwa na Gharama nafuu za kuunganisha Umeme kwa wananchi kupitia mwongozo wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ambapo gharama hizo hutofautiana kulingana na hali ya eneo. Gharama ya kuunganisha umeme ni shilingi 320,960 kwa...
  5. Judith Kapinga: Kuunganisha umeme maeneo ya Vijiji Mji ni shilingi 320.960/-

    Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema uunganishaji wa umeme kwenye maeneo ya Vijiji ni shilingi 27,000/- na maeneo ya Vijiji mji ni shilingi 320.960/-. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Januari 30, 2024 bungeni...
  6. Tanzania kuongeza kasi ya kuunganisha umeme kufikia 72% ifikapo 2030 - Rais Dkt Samia

    Baadhi ya Nukuu za Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika. โ€œTanzania ni moja ya Nchi 12 zitakazozindua mpango mahususi wa kitaifa kuhusu nishatiโ€ โ€œKupitia mpango wetu...
  7. R

    Huu ni mtindo wa kuunganisha kenchi kutumia vyuma kama hawa mafundi huko Zimbabwe unatumika sana hapa?

    Hawa ni mafundi wanatayarisha kenchi kwa kutumia "truss plates" huko Zimbabwe kijijini.
  8. Wenje, utetezi wako kwenye interview na Prince Aloys Nyanda unatufanya wadadisi tuunganishe dots

    Mara paap ghafula bin vuu unakutana na Abdul ,mtoto wa Rais somewhere kwenye function tusikokujua sisi watazamaji kufumba na kufumbua ukataladadi umekaa na kijana amevaa kanzu.wewe Wenje mara kutambulishana unagundua ni Abdul mtoto wa Raisi wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Hee na namba...
  9. Madhara ya kuunganisha bluetooth ya simu!

    Leo ๐˜ฏ๐˜ช๐˜ฎ๐˜ฆ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ฅ๐˜ข ๐˜ค๐˜ฉ๐˜ฐ๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ณ๐˜ข๐˜ง๐˜ช๐˜ฌ๐˜ช ๐˜บ๐˜ข๐˜ฏ๐˜จ๐˜ถ ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช๐˜ต๐˜ถ๐˜ฎ๐˜ช๐˜ข ๐˜ท๐˜ช๐˜ฅ๐˜ฆ๐˜ฐ ๐˜บ๐˜ข ๐˜น๐˜น๐˜น ๐˜•๐˜ช๐˜ฌ๐˜ข ๏ฟฝ ๐˜ฑ๐˜ญ๐˜ข๐˜บ ๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜๐˜ข๐˜ช๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ด๐˜ข๐˜ถ๐˜ตi ๐˜ช๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฏi๐˜ฃ๐˜ช๐˜ฅ๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ช๐˜ฐ๐˜ฏ๐˜จ๐˜ฆ๐˜ป๐˜ฆ ๐˜ด๐˜ข๐˜ถ๐˜ตi ๐˜๐˜ข๐˜ฅ๐˜ช 100 ๐˜ญa๐˜ฌi๐˜ฏi ๐˜ฃ๐˜ข๐˜ฅ๐˜ฐ ๐˜๐˜ข๐˜ช๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ด๐˜ข๐˜ถ๐˜ต๐˜ช.., ๐˜ฏ๐˜ฅi๐˜ฐ ๐˜ฏ๐˜ช๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ฎ๐˜ฃ๐˜ถ๐˜ฌ๐˜ข ๐˜ฌ๐˜ช๐˜ฑ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ฅ๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ข๐˜ต๐˜ฐ๐˜ฌ๐˜ข ๐˜ด๐˜ฆ๐˜ฃ๐˜ถ๐˜ญ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฏ๐˜ช๐˜ญ๐˜ช๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ช๐˜ฎ๐˜ฆ๐˜ถ๐˜ฏ๐˜จ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช๐˜ด๐˜ฉ๐˜ข ๐˜ฃ๐˜ญ๐˜ฐ๐˜ฐ๐˜ต๐˜ฐ๐˜ต๐˜ฉ ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ด๐˜ช๐˜ฎ๐˜ถ ๐˜บ๐˜ข๐˜ฏ๐˜จ๐˜ถ.. ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ญ๐˜ข๐˜ง๐˜ถ ๐˜ด๐˜ฆ๐˜ฃ๐˜ถ๐˜ญ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ญ๐˜ช๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ธa ๐˜’๐˜ถ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ธ๐˜ข๐˜จ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฉ๐˜ช๐˜ท๐˜ฐ ๐˜ด๐˜ช๐˜ซ๐˜ข๐˜ณ๐˜ถ๐˜ฅi ๐˜ฏ๐˜บ๐˜ถ๐˜ฎ๐˜ฃ๐˜ข๐˜ฏi...
  10. Msaada namna ya kuunganisha sound bar

    Jamani naombeni msaada namna ya kuunganisha sauti ya kwenye tv niwe naisikia kupitia sound bar
  11. Nawezaje kuunganisha Simu na TV ambayo haina Casting?

    Wakuu, nina TV yangu nch 32 ya kampuni ya Mysol ambayo ina uwezo wa kupokea camcard ya king'amuzi chochote bila shida. Sasa changamoto ninayoipata ni kutokuwa na casting option ili niweze kuunganisha na simu yangu moja kwa moja, maana Nina link zinazo niwezesha kustream mechi za ligi mbalimbali...
  12. M

    SoC04 Fedha za HESLB kuunganisha na mfumo wa NSSF

    Jambo hili huweza kusaidia Kwa namba moja au nyingine katika kujikwamua kimaisha mara baada ya masomo hivyo Kwa Tanzania tuitakayo Kwa kipindi Cha miaka 5 Hadi 25 jambo hili linaweza kuwa chachu ya mabadiliko miongoni mwa wanamabadiliko.
  13. Google Watangaza kujenga Mkonga wa Internet kuunganisha Africa na Australia. Tanzania haimo

    Wakuu nisiwachoshe.. habari ndiyo hiyo... Kufuatia ziara ya Ruto huko USA, Google wametangaza kujenga mkonga wa Internet toka Kenya kupitia Uganda, Rwanda, DRC, Zambia, Zimbabwe na South Africa hadi Australia huku Tanzania ikiwekwa kando. --- Today, Google announced new investments in digital...
  14. Ifahamu Rebar Coupler: Teknolojia mpya ya kuunganisha nondo ukiwa site ili kupunguza matumizi ya nondo

    Rebar coupler, ni aina mpya ya uunganishaji wa nondo za nguzo (column) au nondo za beam au za retaining walls wakati wa zoezi la ufungaji wa chuma (usukaji wa nondo). Aina hii hutumiwa zaidi na wachina katika shughuli ya ujenzi. Mfano katika ujenzi wa bwawa umeme la mwalimu Nyerere (JNN)...
  15. U

    Rais Samia ndani ya ya Gari lililounganishwa Kiwanda kipya cha Kuunganisha Malori kigamboni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ndani ya mojawapo ya Gari lililounganishwa katika Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.
  16. Ushiriki kwenye uzinduzi wa kiwanda cha kuunganisha malori na tipa

    09/Mei/2024 Nilifanikiwa Kushiriki Katika Uzinduzi wa Kiwanda cha Malori Na Tipa, Kinachoitwa, "Saturn Corporation Limited", Kilichopo Wilaya Ya Kigamboni. Mgeni Rasmi Katika Uzinduzi Huo wa Kiwanda, Alikuwa, Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ambaye Aliwaelekeza Wenye Kiwanda...
  17. Ikitokea Wapinzani wamekubaliana kuunganisha nguvu uchaguzi mkuu ujao, nani apeperushe bendera yao Urais 2025

    Kwa hali ya kisiasa ilivyo hivi sasa nchini, ni dhahiri mgombea urais wa chama Tawala yuko bayana na anafahamika kwa wanainchi na waTanzania wote kwa ujumla, ni suala la muda tu waamue... Kizungumkuti na kasumba iko upinzani, kwa mfano tuliona majuzi kabla ya uchaguzi hapo DRC, wapinzani mara...
  18. NItumie waya wa milimita ngapi kuunganisha mota yenye 22Kw kutoka kwenye MCB

    Ni waya gani sahihi wa kuunganisha mota kutoka kwenye mcb pia nataka kujua huu waya kwenye picha hapa chini ni milimita ngapi
  19. C

    Ni lini serikali itaingilia kati huu wizi wa mitandao ya simu kuunganisha watu kwenye huduma wasizohitaji?

    Ni Jambo linakwaza sana. Unanunua vocha kujiunga na kifurushi unachopenda mara unapata ujumbe kuwa Salio lako halitoshi. Unafuatilia unaambiwa umejiunga na huduma za kidijitali kama vile "afya call" ,"Tikisa ushinde" n.k. Huna taarifa na huduma hizo,hujui umejiungaje na wala hujui zinahusu...
  20. Wasomi tusaidieni kuunganisha mashirika ya ndege Afrika

    Wataalamu wasomi na wanamajumui kwa kuweka ubinafsi kando na uafrika mbele, hili jambo kama si leo ni siku zijazo laweza leta mapinduzi chanya katika kujikwamua na kuamsha shughuli nyingi za kiuchumi kijamii kiafya n.k. Hebu wasomi tusaidieni tufanyaje? Zingatia kama sio fitna leo East Africa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ