SERIKALI KUJENGA BARABARA NA DARAJA LA ZEGE - RUVUMA, KUUNGANISHA TANZANIA NA MSUMBIJI.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali ipo katika hatua za mwisho ya kusiani mkataba na kumtangaza Mkandarasi atayejenga barabara ya Likuyufusi - Mkenda (km 122) sehemu ya kwanza Likuyufusi -...
Kwenye safari ya kwenda mbinguni, hata mchungaji wangu simuamini. Simuamini kila mtu anayesema BWANA BWANA BWANA. Ishu ya kwenda mbinguni ipo ndefu sana. Nawakumbusheni, hao wachungaji, mashehe ni binadamu kama wewe, wanakwenda chooni, wanakula, wanakasirika, wanafanya dhambi na kadhalika...
Habari ndugu zangu wa JamiiForum, naomba kujua ni taasisi gani, au mtu gani wa uhakika wa kuniunganisha na kazi za nje ya nchi kwa gharama nafuu, natamani ningepata kazi katika nchi za ULAYA, MAREKANI AU CANADA sipendelei kabisa nchi za ASIA,
Kama unajuana na mtu wa uhakika isiwe ya...
SERIKALI YAJENGA DARAJA KUUNGANISHA VIJIJI VINNE MEATU, SIMIYU
Serikali Kupitia Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini (TARURA) imetoa kiasi cha shilingi Mil. 197 kwa ajili ya kujenga daraja la Mto Makomangwa linalounganisha vijiji vinne vya wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu.
Awali wananchi...
Miaka ya hivi karibu timu zetu hizi mbili zimekuwa kwenye kiwango angalau kinachoridhisha kwenye michuano ya kimataifa.
Pamoja na mafanikio hayo tumejikuta Usimba na Uyanga unatupumbaza kiasi ambacho tunashindwa kungamua kuwa mshindani wetu mkuu kwenye soka kwa sasa ni mwarabu pekee.
Sasa ni...
Ukinunua vitu Zanzibar na kuja navyo Tanzania Bara vitu husika vilikuwa vinalipiwa kodi ikiwa ni mara ya pili baada ya kulipiwa kodi Zanzibar kabla.
Jambo hilo linaenda kuwa historia baada ya kamishna wa kodi wa mamlaka ya mapato Zanzibar(ZRA), Yussuf Juma Mwenda kusema wanamalizia hatua za...
Kuna makosa mengi yanajitokeza katika uandishi ambayo ni makosa ya kuunganisha maneno kana kwamba ni neno moja ilhali ni maneno mawili tofauti na yenye uamilifu tofauti.
Mfano wa maneno hayo ni kama;
Nakadhalika badala ya Na kadhalika.
Halikadhalika badala ya Hali kadhalika.
Kwanini badala ya...
Meneja wa DAWASA Kibaha, Alfa Ambokile amesema “Kila ofisi au taasisi inaweza kupitia kipindi fulani kigumu lakini huduma ya kuunganisha maji tayari imerejeshwa na hata leo hii (Agosti 28, 2023) tumehudumia wateja wapya wa kuunganishiwa maji.
Tulisitisha kipindi cha ukame Mwaka jana (2022)...
Habari za leo ndugu zangu?
Kwa miezi kadhaa sasa, wananchi wengi wa Kibaha wanaoomba kuunganishiwa maji kwa mara ya kwanza (wateja wapya) hawajaweza kupata huduma hiyo.
DAWASA Kibaha wanapokea maombi mapya, lakini hawatoi bili za malipo (control namba), wanadai wameishiwa vifaa.
Wadau...
Kichwa cha habari: Ajiralink.com - Kuunganisha Vijana na Fursa za Ajira na Ukuaji wa kifikra na utendaji kwa vitendo.
Kwa kuzingatia vigezo na masharti yaliyotolewa, naomba kutoa andiko kuhusu wazo la Ajiralink.com, jukwaa litakalolenga kuondoa changamoto ya upatikanaji wa ajira, nafasi za...
Dodoma. Mbunge wa Iramba Mashariki (CCM), Fransic Mtinga ametaka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuweka gharama za kuunganisha umeme kwa Sh27, 000 kote nchini ili kukusanya makusanyo mengi kutokana na mauzo ya umeme na kodi ya majengo.
Ameyasema hayo leo Jumatano Mei 31, 2023 wakati...
Wakuu msaada pls.
Kuna computer hapa inatumika kama Server, hiyo server ndio imeunganishwa na printer.
Sasa nilitaka niunganishe computer zingine zipo kama 7 through wifi ili ziweze kuprint.
Yaani mtu akitaka kuprint sio mpaka aende pale kwenye computer iliyounganishwa na printer.
Muongozo...
URAIA PACHA: KUUNGANISHA TANZANIA NA DIASPORA KWA MAENDELEO ENDELEVU.
Imeandikwa na: Mwl.RCT
UTANGULIZI
Uraia pacha ni hali ya kuwa raia wa nchi mbili kwa wakati mmoja. Inawawezesha watu kufurahia haki na huduma za kisheria, kiuchumi, kisiasa, na kijamii katika nchi zote mbili wanazohusika...
Awali ya yote natoa pole kwa familia za Lemtuz na Membe kwa kuondokewa na wapendwa wao. Kifo ni fumbo kubwa. Vifo hivi vimetokea ghafla, hasa kipindi hiki ambacho baridi imeanza kukolea.
Le Mutuz na Membe wakati wakiwa hai (Chanzo:Mtandao)
Kwa...
Habari wakuu, Naombeni msaada jinsi yakuunganisha V8 BLUETOOTH GAME PAD KWENYE PC , nmejaribu manual inavyoelekeza Kama nolivyoambatanisha kwenye picha lakini nmeambulia patupu Upande wa PC
Habari wakuu, Naombeni msaada jinsi yakuunganisha V8 BLUETOOTH GAME PAD KWENYE PC , nmejaribu manual inavyoelekeza Kama nolivyoambatanisha kwenye picha lakini nmeambulia patupu Upande wa PC
Na Gianna Amani
Pengine wengi wanaijua Huawei kama kampuni ya kutengeneza simu kutokana na chapa yake kuwepo katika soko kwa miongo kadhaa, lakini Huawei ni zaidi ya kampuni ya kutengeneza simu.
Huawei ni kampuni kubwa ya teknolojia na mawasiliano nchini China na inazidi kuota mizizi katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.