kuuza

  1. Mtoto wa Rais wa Equatorial Guinea akamatwa kwa kuuza Ndege ya Serikali

    Mmoja wa watoto wa mtawala mkongwe wa Equatorial Guinea amekamatwa na kuwekwa kizuizi cha nyumbani kwa tuhuma za kuuza Ndege inayomilikiwa na Shirika la Ndege la Taifa kinyume cha sheria. Kw a mujibu wa Kituo cha TV cha Taifa, TVGE, Mamlaka zilifungua uchunguzi mwishoni mwa Novemba 2022 "baada...
  2. Wengine baba zao wakiwa Marais tu kazi yao ni kuiba mali, kuuza ngada na kupora hovyo wake za watu

    Mtoto wa Rais Paul Kagame wa Rwanda, Luteni Ian Kagame amejiunga na kikosi cha ulinzi wa Rais kilicho chini ya Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF). Kikosi cha ulinzi cha Rais wa Rwanda kinawajibika kumlinda Rais pamoja na familia yake. Ian alionekana hadharani kwa mara ya kwanza akitimiza majukumu...
  3. Mkurugenzi Jiji la Mwanza ashtakiwa TAMISEMI madai ya kuuza viwanja

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima 'amemshtaki' mkurugenzi wa jiji hilo, Sekiete Yahya kwa Wizara ya Tamisemi ambayo ndio mamlaka yake ya nidhamu, akimtuhumu kuhusika na uuzaji wa viwanja viwili vyenye thamani ya Sh1 bilioni. Wakati barua ya mashtaka ikitua Tamisemi, Malima ameagiza watumishi...
  4. M

    Hii biashara imekaaje: Ukraine kuuza damu ya raia wake ili kupata silaha zitakazosaidia kufikia malengo ya NATO dhidi ya Urusi!

    Si siri tena wala siyo madai ya urusi tena, bali ndivyo biashara yenyewe ilivyo. NATO ina malengo yake ya kuidhoofisha urusi, ukraine ikajitokeza na kusema sisi tutatimiza jukumu hilo, tunachohitaji ni kutupatia silaha kwa ajili ya damu ya raia wa ukraine wanayoimwaga ili kufikia malengo ya...
  5. Mama na binti yake wahukumiwa kwa kuuza viungo vya miili ya wafu

    Mmiliki wa zamani wa Chumba cha kuhifadhu maiti na mama yake wamehukumiwa kifungo cha jela huko Colorado baada ya kupasua mamia ya miili na kuuza sehemu za mwili. Waendesha mashtaka walisema Megan Hess, 46, na Shirly Koch, 69, walikata maiti 560 na kuuza viungo vya miili bila idhini kati ya...
  6. AIBU: Mzee Dialo unasuburi nini kuuza hivi vyombo Star TV, RFA na Kiss FM?

    Miaka mitatu iliyopita tuliweka hili bandiko kwa kinachoendelea pale Mwanza kuhusu RFA, Kiss FM na StarTV palipokuwa na mgomo baridi. https://www.jamiiforums.com/threads/maskini-rfa-ndiyo-kwaheri-hivyo.1594488/ Week hii kabla ya kufunga mwaka nashangaa tena, ni full gospel na muziki aina...
  7. Pwani: Askari Magereza akutwa akiuza Dawa za Serikali kwenye 'Pharmacy' yake

    Mtumishi wa Jeshi la Magereza wilayani Mafia Mkoa wa Pwani (jina limehifadhiwa) anadaiwa kukutwa akiuza dawa za Serikali katika duka lake binafsi kinyume na sheria, kanuni na maadili yanayohusika na utoaji wa huduma za afya. Hayo yalibainika jana baada ya Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA)...
  8. P

    Nafasi ya kazi kuuza duka

    Habari natafuta mtu wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta Vigezo Awe mkazi wa Arusha Mjini. Awe anajua kufanya troubleshooting za kompyuta. Awe anajua vizuri spea za kompyuta na desktop na jinsi ya kubadilisha. Awe anajua kutoa kauli nzuri kwa wateja( high capable in customer care). Awe anajua...
  9. P

    Plot4Sale Kusudio la kuuza kiwanja chenye ukubwa 1.48 hectres = sqm2 14,800 Dodoma eneo la Mwangaza

    Ndugu wana JF habari ya majukumu? Napenda kutoa taarifa juu ya kusudio la kuuza kiwanja namba 10 D-centre Mwangaza lililopo Dodoma mara tu baada ya kukamilisha upatikanaji wa Hati ya eneo hilo ifikapo mwakani mwezi Januari au Februari kwakuwa eneo lilikuwa limetwaliwa na wenye nguvu almaarufu...
  10. K

    Exported manufactured goods inject 3.2trilion Tzs in 2022

    The amount was more than double of the amount earned from exports of gold, or combined exports earnings from traditional exports, horticultural products and other minerals. This shows an ongoing expansion of industrialization drive, which the government embarked on transforming the economy to...
  11. Naomba ufafanuzi kuhusu kuuza au kununua hisa

    Kuna mambo kadhaa nahitaji kufahamu kutoka kwa Wajuzi wa hizi kazi. Nimeonesha nia ya kutaka kuuza hisa nikapatiwa orodha ya Madalali, sasa nipo njiapanda nitumie kigezo gani kuchagua Dalali mmoja kutoka kwenye orodha. Na je, kuuza au kununua hisa kwa wakati ina uhusiano na ni Dalali gani ume...
  12. Binti anatafuta kazi ya kuuza duka au kazi ya saluni

    Binti anatafuta kazi ya kuuza duka au kazi ya saluni. Elimu yake: Ana elimu ya kidato cha nne na cheti ya ususi na urembo. Uzoefu wa kazi: Amefanya kazi za ususi na urembo kwenye saluni mbalimbali jijini Dar es Salaam. Pia amefanya kazi kwenye maduka ya kuuza nguo, maduka ya kuuza urembo...
  13. Rais wa zamani wa Comoro afungwa maisha kwa kuuza 'Passport' kwa wasio raia

    Mahakama imetoa adhabu hiyo kwa Ahmed Abdallah Sambi aliyekuwa Rais mwaka 2006 - 2011 baada ya kumkuta na hatia ya Uhaini dhidi ya Serikali na Nchi. Kwa mujibu wa Mashtaka, Kiongozi huyo amekutwa na makosa ya kuuza Hati za Kusafiria kwa watu wasio na Uraia pamoja na Ubadhirifu wa Tsh. Trilioni...
  14. Business ya kuuza vinywaji

    Nahitaji kujua ni mtaji kiasi gani inayo hitaji ili kuanza biashara ya kuuza vinywaji kwa bei za reja reja
  15. F

    Msaada wa namba za simu za Magari ya kuuza maji, Ubungo

    Mgao wa DAWASCO ni balaa, mwenye namba ya wauza maji na magari wanaopaki jirani na Ubungo anisaidie. Sina maji kabisa leo sijui nyumbani wanaishije.
  16. Nafasi ya kazi ya kuuza Pharmacy

    AMOPRIC PHARMACY inatangaza nafasi ya kazi ya kuuza Pharmacy katika Pharmacy zake zilizopo maeneo ya Tandika, Vingunguti na Chanika. Muombaji awe na sifa moja wapo kati ya hizi: 1) Addo 2) Pharmaceutical Dispenser 3) Pharmaceutical Assistant Maombi yote yatumwe kwenda: E-mail...
  17. Fahamu hatari ya kutumia mafuta ya Kula yanayouzwa kwenye Jua

    Kuongezeka kwa biashara ya mafuta ya kupikia kunaweza kuwa na manufaa kwa uchumi wa nchi, lakini kufanya biashara hiyo katika mazingira ya wazi, ni hatari kwa afya ya watumiaji. Uuzaji wa mafuta ya kupikia kwenye maeneo ya wazi hukaribisha uwezekano wa athari za oksaidi, ambazo zinaweza...
  18. Yani mtumishi wa Serikali hakai ofisini anaenda kuuza sura

    Muda wa kazi mtu anaenda kwa mademu na gari ya serikali anapaki anapiga stori kwenye ofc ya dem.Huyu bro anahujumu serikali wakemewe watu wa kariba yake.Picha sibora sana ila ujumbe huo.
  19. Apple yapigwa faini Tsh. Bilioni 46.6 kwa kuuza simu bila chaja

    Jaji Caramuru Afonso Francisco wa Mahakama ya Haki za Kiraia ametoa hukumu hiyo na kuita utaratibu huo "matusi ya kibiashara" ambayo yanawalazimu wateja kununua bidhaa ya ziada Uamuzi huo unaoweza kukatiwa rufaa unakuja baada ya Apple kupigwa faini nyingine ya Tsh. Bilioni 5.8 kwa suala hilo...
  20. N

    'Aliyetaka kuuza mechi ya Simba vs Zamalek 2003 bado ana kinyongo. Tarehe 23 kuweni makini nae'

    Ndio, ni zee 10% (hapana hili ni 90% kabisa), bado lina wapambe wake wakiwemo makanjanja na hata majuzi lilihojiwa na redio moja ya FM likamkandia sana CEO Barbara Gonzalez. Lengo lao kubwa ni yule dada aondoke, sasa anaondokaje ni kumuabisha kwa matokeo haswa mechi vs utopolo, sasa angalia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…