Nimekusikia ukisema kuwa hutafunga mipaka kuzuia chakula kuuzwa nje. Nakupongeza sana kwa hili. Kwa miaka mingi hilo suala limekuwa likimnyonya sana mkulima. Limedhoofisha na kilimo chetu.
Uamuzi wako unaweza pandisha bei ya chakula. Unaweza leta lawama, lakini ni uamuzi sahihi. Kilichobaki...
My fellow jf bado nipo naendelea na mchakato wangu wa kuuza au kupunguza baadhi ya assets zangu ili nipate kuongezea mtaji wangu ulioyumba tangu mwaka huu uanze uchumi kwangu ume collapse kabisa.
Hapa nauzq toyo namba c yaani pikipiki ya miguu mitano kwa tsh 1,800,000 angalizo njoo na fundi...
Nnaona kuna upotoshwaji wa hali ya juu wa hali ya chakula nchini. Si kawaida yangu kuanzisha thread, ila hili imebidi nianzishie thread.
Kwanza kabisa ni declare interest, mimi ni mdau wa kilimo kwa miaka mingi, hivyo nnachoandika hapa ni kutokana na uzoefu wangu kwenye kilimo.
HOJA KUU
Watu...
Google na kampuni nyingine za teknolojia zimeshutumiwa kukiuka kanuni za ulinzi wa taarifa za Ulaya(GDPR) ambapo wanatoa taarifa za watumiaji kwa mamia ya watangazaji.
Wadai wamefungua madai hayo kwa mamlaka za Uingereza na Ireland kwa niaba ya Brave na Open Rights Group.
Brave inadai...
Nakumbuka miaka ya nyuma wakati serikali ikinunua mahindi, ilikuwa ukipita njia ya kati, kuanzia pwani mpaka singida yalikuwa mashamba ya mahindi.
Baada ya Serikali kusua sua katika kununua mahindi, mashamba hayo yamepotea.
Mbali na serikali kutoa ruzuku kwenye mbolea bado mashamba haya...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema hatua muhimu ya kwanza imefikiwa katika juhudi za kuwezesha nafaka kusafirishwa kutoka Ukraine.
Guterres ameeleza kwamba hatua hiyo imefikiwa kwenye mazungumzo ya mjini Istanbul kati ya wajumbe wa Urusi na Ukraine. Wajumbe wa Umoja wa...
Clip inasambaa semaji la yanga likizozana na Rais wa TFF kwenye mchezo wa fainali baina ya yanga vs coastal Union, kwa kweli sasa jamaa amefika mwisho, Manara ameingia choo cha kike, adhabu za Karia zinaanzia kifungo cha maisha na kuendelea.
Lakini, hivi huyu jamaa ana matatizo gani, kwanini...
Kumiliki gari ya Ulaya/Marekani ni changamoto sana hasa sisi wenye vipato vya chini.
Changamoto zake ukiachia matengenezo ambayo huwa sioni tatizo lake kubwa iko kwenye kuiuza.
Mwaka jana ndugu yangu alinunua Ford Everest ya karibu milioni 90, kaitumia mwaka mmoja na miezi kadhaa juzi hapa...
Wakuu,
Nataka nianze kuuza ugali na dagaa mchele wale wa kukaanga, nitaweka na kachumbari kunogesha au mboga za majani.
Nimefikiria ugali na nyama ya kukaanga lakini nimeona itanikost sana kwenye nyama. Kwahiyo mbadala nimeona ni dagaa mchele ambao kuwapata ni hapa hapa Kigamboni. Kuna mwenye...
Imeelezwa kuwa Urusi imeingiza takribani Dola Bilioni 97 kwa kuuza mafuta na gesi ndani ya siku 100 tangu kuanza kwa vita baina ya taifa hilo dhidi ya Ukraine.
Utafiti huo umefanywa na Kituo huru cha Utafiti wa Nishati na Hewa Safi (CREA) ambacho kimeeleza kuwa Umoja wa Ulaya, Marekani na...
Nilikuwa najiuliza maswali haya.
Mimi sio mtaalamu wa mambo ya utalii.
Lakini nimeingiwa na udadisi kidogo.
Nataka kuwauliza wenzangu.
Hivi upi ni uchumi endelevu Kati ya kuuza wanyama au kuvutia watalii waje kuwatazama?
Naombeni majibu ndugu zangu
Walimu wa Biology na Chemistry wa Shule ya sekondari ya Ilala, kwanini mnawauzia wanafunzi notes badala ya kuwapa bure?
Wenyewe mnaita vitini mnauza Tsh. 200/= kwa 500/=, nyie mnatutia hasara wazazi kulipia kitu ambachoo mlitakiwa kuwapa bure na ni wajibu wenu kukuandika notes ubaoni ili...
Tanzania kupitia Stamico tumesaini mkataba wa kuuza Madini ya Makaa ya Mawe kwa dola 29.5 ambayo ni sawa na Shilingi 69,444 (Elfu sitini na tisa na Mia nne arobaini na nne tu) kwa Tani moja!
Bei ya Soko la Makaa ya Mawe kwenye Market Insider ni dola 315 sawa na shilingi za Kitanzania 740,250...
Mheshimiwa Mbunge tunajua wewe ni mfia Yanga. Iache Yanga ipambane yenyewe badala ya wewe na uongozi wa Yanga kulazimisha mechi ichezwe nje ya uwanja.
Unahangaika sana kutafuta connection ili Dodoma Jiji isiwafanye vibaya Utopolo wenzio.
Tunajua hatuwezi kukufanya chochote ila huo sio...
I hope Wote wazima na walio wagonjwa Mungu awape Tumaini jipya wapate kupona na kurejea katika Majukumu yao Amina🙏
Tuje katika wazo
Mimi Ni kijana 24Yrs naishi Dsm kwa sasa hivi nimepata wazo la kuanza kuuza Vyombo vya kupikia kwa capital ya 400k tu .
Nahitaji kujua starting point
Mimi...
Nimefuatilia kwa wiki mfululiza sasa kipindi cha Mr Right kinachorushwa na Station ya Startimes kinachosimamiwa na MC Gara B.
Nilivyoangalia nimegundua mambo kadhaa ktk kipindi hicho
1. Wadada hawanauhitaji serious wa wanaume. Hivi kweli unaweza ku disqualify mwanaume eti kwa sababu anatumia...
Natangaza nafasi ya kazi ya kuuza kwenye Pharmacy, kwa mtu mwenye elimu ya Famasia, na ufahamu wa kutosha kuhusu dawa mbali mbali za binadamu.
Sifa za mwombaji
Awe na elimu ya Famasia ngazi ya cheti (Certificate Level)
Awe na umri usiozidi miaka 40
Awe mkazi wa Dar es Salaam
Maombi yote...
Mbali na kuzuwiwa kwa vyakula kuuzwa mchana wa ramadhani katika baadhi ya maeneo, lakini bado zuio hili halijatendewa haki.
Waislamu tunaamini kwamba ukifunga basi hata ukila ile punje ya karanga tu na ukameza kwa makusudi basi umefungua sio mpaka ule biriani au urojo bakuli zima.
Sasa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.