Kwa mujibu wa RIPOTI ya CAG ya mwaka 2020/2021, ni kwamba, MAGEREZA yote Tanzania, YAKIJAA, yanauwezo wa KUBEBA watu 35,000 tu. Uwanja wa MKAPA-DSM, UKIJAA, unaweza KUBEBA watu 60,000. Tanzania ina watu 60 MILIONI. Kwa hiyo, KUTISHIA watu MAGEREZA, ni USHAMBA na ULIMBUKENI.
Nataka kuanza hii biashara ya kuuza simu za jumla. Hasa ndogo ndogo. Tafadhali Mwenye kujua abc zake anisaidie.
Mwenye contact aliwahi kufanya. Ama anayefanya hii biashara. Minimum unaweza anza na msingi kiasi gani, unatakiwa kuanza kwa kununua pieces ngapi.
Naombeni mawazo wadau
Habari. Nasikia zamani Dar watu binafsi hawakuruhusiwa kumiliki daladala za abiria. Usafiri ilikuwa shida sana. Baadaye serikali ikaja kuruhusu na ahueni ya usafiri ikapatikana. Serikali kuruhusu watu binafsi kuzalisha na kuuza umeme. Huku miundombinu ya umeme iwe kama barabara zinavyotumika na...
Salaams wana jamvi.
Mimi ni mdau wa miaka mingi humu ila sio mara nyingi kuwa active lakini huwa napitia sana baadhi ya thread zinazohusu biashara na ujasiriamali.
Mimi naishi maeneo ya Kitunda relini na by profession ni Graphics designer ila tangu nikiwa kijana mdogo (teenager) miongoni mwa...
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli amesema Serikali itaendelea kujikita zaidi katika kuongeza bajeti ya kilimo, pamoja na kutatua changamoto za masoko, kuhamasisha matumizi ya taknolojia, pamoja na kuwapatia mitaji vijana, ili kuhakikisha nchi inakuwa na uzalishaji mkubwa wa chakula...
https://www.youtube.com/watch?v=Z3MzD0q8MMA
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limebainisha hatua hiyo inatokana na ongezeko la raia wanaotumia mavazo hayo wakikinzana na Sheria ya Ulinzi wa Taifa, Sheria ya Taifa na Sheria ya Kanuni ya Adhabu zinazokataza raia kuvaa au kutumia...
Kuhusu mkataba wa kilaghai wa kuchukua Bandari zetu milele na kuwakabidhi Waarabu wa Dubai, kama si kwa maslahi yake na wajomba zake Waarabu, basi na awakane sasa hao waarabu ndio tujue ana nia njema na uko kuuza bandari za Tanganyika.
Mama lazima aambiwe ukweli kwamba hata kama alikuwa na nia...
Hustler ni Mpambanaji au mtafutaji na hakati tamaa, akikata tamaa anazama chaka lolote lile kusaka Mabunda.
Lakini je, hao mapusha, wezi, matapeli wanafaa kuitwa hustler?
Rwanda ni nchi ndogo ya milima na isiyo na bandari pia ina idadi kubwa ya watu kulinganisha na eneo lake. Ni tofauti na Tanzania ambayo ni nchi kubwa ardhi ya kutosha mali asili kibao na ukanda wa bahari mkubwa wenye bandari nyingi.
Rais Kagame ni mtu mwerevu sana kwenye kujenga uchumi wa nchi...
Ni wazi tena pasipo shaka mpango wa kuuza Bandari zetu kwa Waarabu wa Dubai umekutana na upinzani mkali.
Kwakuwa majibu na shaka shaka juu ya ufisadi huu uliotukuka umekosa majibu Makuwadi wamekimbilia Simba Day.
Napendakuwahakikishia kwamba suala la kugawa Bandari zetu zote halitazimwa na...
Kijana Machachari wa South Africa ameichana chana nchi yake kwa kuwaita watawala wajinga baada ya kuuza Bandari ya Durban kwa tamaa ya Pesa tu na haukuna kingine ikipita miaka kadhaa tunasema tumetawaliwa..
Viongozi wabovu wanashindwa kuongoza nchi wanaharibu mali za nchi kwa kulindwa kisha...
Sifa za mwombaji
1. Kijana anayejituma
2. Anayejua kuandika na kusoma
3. Mkazi wa kigamboni
4. Atakayeweza kufanya kazi kwa siku sita za wiki
5. Mwenye mdhamini aliyemkazi wa kigamboni na awe na mali isiyohamishika
6. Mwenye kitambulisho cha NIDA
TUWASILIANE HAPA KWANZA*
Umofia kwenu ...
Tukianza na Lolliondo ambapo UAE wameshapamiliki na panasomeka ni eneo lao..... Wamasai wamelazimishwa kuondoshwa kwa nguvu na kisiasa
Songosongo ilitumika kuokoa maisha ya prince. Sasa tunapangiwa mpaka bei ya gesi
Vitalu vya uwindaji vimegeuzwa arena za kutorosha wanyama na...
Protea Hotel Aishi Machame ni hotel inayo milikiwa kwa urithi na Freem A. Mbowe. Kwa ushauri wa mtu ambaye si busara kumtaja hapa, Mbowe aliwapa Protea Hotel waiiendeshe ikiwemo na maana watumie brand yao kumtafutia wateja kwa ujira wa mrahaba wa mapato.
Kwa vile Mbowe anajua faida ya kuwa...
Habari za humu jf, nina tafuta kijana (akiwa wa kike itakuwa vizuri) kwaajili ya kuuza na kutembeza juisi za matunda maeneo mbalimbali.
Umri: Chini ya miaka 24
Location Dar es Salaam (Kigamboni)
Mshahara: Makubaliano kima cha chini ni 150,000/= kwa mwezi (kwa kama akiweza kuuza angalau dumu 3...
Habari yako mwanajamii, nina imani ulipo unaendelea vema, kama haupo sawa Mungu akutangulie katika jambo lako.
Leo tena nimepata muda wa ku-share vitu nilivyopitia katika maisha yangu.
Mimi ni mzaliwa wa Nyanda za Juu Kusini (Songwe -Mbozi) nimesoma shule ya primary Songwe Mwaka 2008 na...
Baada ya Uvumi mkubwa wa kumhusisha Kinana na Kupinga uwekezaji wa Bandari Kwa DP World, hatimaye afunguka.
Akihutubia mkutano wa hadhara Mkoani Mara Kinana amesema Watanzania wasiwe na Wasiwasi Kwa sababu Rais Samia ameapa kulinda na kuhifadhi Katiba ya Nchi hivyo hawezi kuwauza Kwa kufanya...