kuuza

  1. banalunda

    Natafuta kijana wa kuuza chipsi

    Habarini za majukumu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nahitaji kijana muaminifu na mzoefu wa jiko la kuuza chipsi, mishkaki, samaki n.k, kwa hapa Dar es Salaam. Aliye serious anicheki PM tafadhali.
  2. Roving Journalist

    Tunduru: Wafanyabiashara 28 washikwa na kuachiwa kwa dhamana kwa kuuza bei ya juu sukari

    Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma, Julius Mtatiro Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma, Julius Mtatiro amesema mara baada ya Serikali kutoa muongozo wa bei elekezi ya sukari uongozi wa Wilaya ukafanya vikao kwa ajili ya kutoa mwelekeo. Amesema “Kwanza ilikuwa kupata orodha ya watu...
  3. E

    Tangazo la kijana wa kiume anayeweza kuuza Pharmacy

    Anahitajika kijana wa kiume ili auze pharmacy mwenye leseni au kama hana boss anaweza kumlipia na watakatana kwa salary Duka lipo Lindi mjini, Kijana huyo atapatiwa sehemu ya kulala ambayo chumba na sebule Umeme na maji vinapatikana na vinalipiwa na boss Kwa mawasiliano zaidi piga +255 627...
  4. F

    Ugomvi mkubwa wa Mirathi. Familia ya Mandela yaanza kuuza mali za marehemu. Kweli Africa tunafanana Tabia

    Habari wadau. Ugomvi mkubwa wa mirathi ya marehemu Nelson Mandela umefikia pabaya. Baada ya baadhi ya wanafamilia kuanza kuuza mali za Marehemu. Watoto na Wajukuu wa mandela wameingia kwenye ugomvi mkubwa wa kugombania mali za babu yao marehemu Mandela. Africa tunafanana tabia. Kwenye swala...
  5. U

    Rekodi ya kuuza copy nyingi, nani mkweli, Mr. Nice niliuza nakala 1.7 mil, feruzi 200k ndani ya wiki?

    Mr. NICE ALIWIKA sana lakini anaonekana ni Mzee wa maneno ya kujisifia sana, kumekuwa na takwimu zisizo eleweka za mauzo ya kazi za wasanii hapo zamani. Huku Mr. Nice akitamba kwamba yeye aliuza nakala milioni 1.7 na aliemfuatia alikuwa around laki 380,000/= wakati huo huo tunaambiwa na Feruzi...
  6. BwanaSamaki012

    INAUZWA Nauza cement zangu, Mwanza

    Habari zenu wadau? Nilikuwa kwenye process za ujenzi ila kwa bahati mbaya huu mwaka sijauanza vizuri na kiukweli sioni dalili za kuendelea na ujenzi hivi karibuni naona nikiendelea kukaa na hizi cement kwa muda mrefu zaidi kuna uwezekano zikaganda nimeamua kuziuza ili nipunguze/niziuze hasara...
  7. MKATA KIU

    Mke kuuza Penzi ndani ya ndoa, Mke kunywa P2 ndani ya ndoa, wanaume wengi wanalamika hii tabia. Ndoa zimekuwaje?

    Habari wadau Kuna kesi nyingi za wanandoa wanaume wanalalamika kwamba bila pesa ama kutimiza matakwa ya wake zao. Wanagomewa kupewa penzi. Mtu ameoa ana mke ndani ila hana uhakika wa kupata penzi akiwa na hamu nalo. Hii inakuwaje? Yaani ununue vyakula ndani ila usiwe na uhakika wa kula...
  8. macho_mdiliko

    Zimbabwe: Wakamatwa kwa kuuza tiketi za kwenda mbinguni

    Tito and Amanda Watts mtu na mkewe, walikamatwa mwishoni mwa wiki kwa kuuza ''ticket za dhahabu za kwenda mbinguni'' kwa mamia ya watu. Wanandani hawa, waliokuwa wanauza tiketi hizo kwa dola za kimarekani 99.99 kwa kila tiketi, huku wakiwaambia wanunuaji kuwa zilikuwa zimetengenezwa kwa dhahabu...
  9. Shining Light

    Ashambuliwa na watoto wake baada ya kutaka kuuza ardhi ya familia

    Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 50, Kanu Mugwere, ameshambuliwa na watoto wake wakipinga uamuzi wake wa kutaka kuuza ardhi ya familia kwa shilingi milioni 1.5. Kulingana na taarifa, Mugwere alikuwa akilenga kutumia fedha hizo kugharamia matibabu ya mtoto wake mmoja mwenye ugonjwa wa akili...
  10. passion_amo1

    Mnada wa kuuza wake utawala wa Victorian nchini Uingereza

    Wasaalamu wakuu? Najua unajiuliza ni kivipi nchini uingereza kuwe na mnada wa kuuza Mke?! Linawezekana vipi? Tulia Leo nikupe historia hii. Katika utawala wa Victorian malkia, nchini uingereza walikuwa wanafanya vitu kwa njia ya ajabu na ya moja kwa moja. Kabla ya talaka kuwa kisheria, njia...
  11. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Kigahe Apiga Marufuku Wakulima Kuuza Mazao kwa Lumbesa.

    Naibu Waziri Kigahe Apiga Marufuku Wakulima Kuuza Mazao kwa Lumbesa. Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe(Mb) amepiga marufuku kwa wakulima kuuza mazao kwa kutumia lumbesa. Kigahe amepiga marufuku hiyo kwa wakulima na wafanyabiashara desemba 20,2023 wakati wa ziara...
  12. Bulamba

    Ushauri katika kuuza gari lililo na msamaha wa Serikali

    Nilinunua gari mwaka 2008. Nilibahatika kupata msamaha wa Serikali mwaka 2008 katika kodi ya kuagiza hili gari kutoka ng'ambo.. Nafikiria kuliuza ili kupata gari lingine kwa maana limechakaa. Je nikiuza itabidi anayelinunua alipe kodi yote niliyosamehewa mwaka 2008? Je sheria inaruhusu kuliuza?
  13. O

    Nafasi za kazi ya kuuza duka

    Wasichana wawili wa kuuza duka, wanahitajika: Waombaji wawe na sifa zifuatazo: 1.Wawe wasichana wa umri wa kuanzia miaka 19 mpaka 23 2.Wawe na elimu ya Kidato cha nne 3.Wasiwe na familia/kuolewa wasiwe na mtoto/watoto. 4.Wawe na uzoefu wa kuuza duka, na kufanya miamala ya kifedha(uwakala)...
  14. Nyamesocho

    Je, una imani na jeshi la polisi kuomba escort unapokuwa na fedha au madini?

    Kutokana na matukio yanayofanywa na baadhi ya askari wa jeshi la polisi la kuwanyang'anya kwa nguvu raia mali zao na kuwaua wengine ili kupoteza ushahidi Kama ilivyotokea huko Mtwara,Dar na kwingineko , bado jeshi la polisi linawataka wafanyabiashara kupewa escort ya jeshi la polisi Je huyu...
  15. Sheillah Sheillah

    Msaada juu ya kuuza nyumba ambayo hati ya umiliki bado haijatoka

    Habari. Nina nyumba ninataka kuiuza. Ila kiwanja kimeshapimwa lakini hati ya umiliki bado haijatoka. Je, ninaweza kuuza bila ya hati ya umiliki kutoka? Na ni taratibu gani ninatakiwa kuzifuata ikiwa taarifa za upimaji wa ardhi zilichochukuliwa ni zangu?
  16. F

    Kama wewe unajua kuuza. Biashara ya U MC wa Harusi ndie biashara nyepesi kukupa faida ya milioni 20 kwa mwezi. Kwa mtaji wa mdomo wako tu na suti

    Habari wadau. Kwenye jukwaa la biashara leo tuongelee kuhusu biashara ya ku sherehesha sherehe. Ni biashara ambayo watu wengi hawaiwazi. Ila inaingiza hela nyingi sana kama faida. Unapaswa kuwa mjanja kuelewa biashara yao wanavyoifanya na cost wanazotumia. Hiyo biashara imejigawa pande...
  17. Mto Songwe

    Mzazi unasomesha mtoto aje kuuza chips na kuwa bodaboda. Inahuzunisha sana!

    Inahuzunisha sana kuona kazi wafanyazo watoto waliosomeshwa kwa gharama wakiwa bodaboda na wachoma chips. Mzazi kugharamia masomo ya mwanao ili aje kuwa mpambaniaji wa kazi hizo na za namna hiyo au kutokuja kuwa na future yoyote mtaani inaleta huzuni kwa mtoto mwenyewe hata kwa mzazi pia...
  18. J

    Nawezaje kuanza kuuza hizi ice cream za Ukwaju za Bakhresa?

    Rejea kichwa cha habari hapo juu. Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje? Unapataje deli? Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30? Mchanganuo wa gharama upoje wakati wa kuanza? Unatakiwa uwe na nini na nini? Na ice cream zinazobaki...
  19. J

    Nawezaje Kuanza Kuuza Hizi Ice cream za Ukwaju za Bakhresa?

    Rejea kichwa cha habari hapo juu. Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje? Unapataje deli? Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30? Mchanganuo wa gharama upoje wakati wa kuanza? Unatakiwa uwe na nini na nini? Na ice cream zinazobaki...
  20. J

    Nawezaje Kuanza Kuuza Hizi Ice cream za Ukwaju za Bakhresa?

    Rejea kichwa cha habari hapo juu. Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje? Unapataje deli? Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30? Mchanganuo wa gharama upoje wakati wa kuanza? Unatakiwa uwe na nini na nini? Na ice cream zinazobaki...
Back
Top Bottom