Anatafutwa Binti wa kuuza duka (tarehe ya Mwisho 12/4/2024)
🔹 Awe amemaliza kidato cha 4 au zaidi.
🔸ANAEJUA HESABU.
🔹Umri miaka 25 au zaidi.
🔸AWE ANAISHI MADALE, WAZO, KULANGWA, TEGETA au maeneo mengine jirani.
MWENYE UZOEFU ATAPEWA KIPAUMBELE...
Tunahitimisha zile nyuzi zetu za mwezi wa Mungu , Kwenye utawala wa awamu ya 5 , Bwana Paulo Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , alijipa cheo cha Kitengo cha kudhibiti Madawa ya kulevya kabla ya kudhibitiwa, huku akiutangazia umma kwamba ataweka hadharani Majina ya Waingizaji na...
Ndugu zangu mimi nimekaa Leo najitafakari.
Nimetafakari sana mpaka kichwa kikataka kupasuka.
Nilikua najiuliza maswali shirika letu la mafuta (TANOIL) limepataje hasara.
Mbona wengine wana matenki mawili tu ya mafuta na wanapata faida biashara zao zinazidi kukua.
Inauma sana...
Biashara yoyote inahitaji uvumilivu; wengi wanaamua kufunga biashara zao na kulalamika kwa sababu wanakuwa wamekosa uvumilivu.
Na hasa ukiingia kwenye hii biashara ya kutengeneza na kuuza, muda mwingi wewe unakuwa unatoa pesa tu; mpaka uje uanze kuona faida inachukua muda mrefu.
Unapotaka...
Siwezi kuliita kasri lakini itoshe kusema kijana angalau kajenga nyumba nzuri.
Mayai naona ni zuga tu, watu kibao wa Mkoa wa Mara wanaoishi Dar wanapiga hii business ila wana maisha ya kawaida.
Nimeona video inatrend ya ugomvi mkubwa wa nyumba ya urithi Kariakoo mtaa wa Manyema.
Nyumba hiyo ya ghorofa 5 ilijengwa na mzee anaeitwa Mohammed Alidina ambae alifariki miaka kazaa iliyopita.
Mzee huyo wakati akiwa hai alitoa sehemu ya nyumba hiyo. Floor ya juu itumike kama madrassa na...
Lusaka, ZAMBIA
Mnamo saa 09:10asbh Machi 5, 2024, Kituo cha Polisi cha Muwanjuni kilipokea ripoti ya kusikitisha ya tukio la kujiua kutoka kwa Bw. Emmanuel Mutale, mwenye umri wa miaka 42, mkazi wa kijiji cha Selengwe katika eneo la Maili Kumi. Bw. Mutale aliripoti kuwa rafiki yake, Bw. Charles...
"Wakati nipo Form One nilianza biashara ya kuuza Big G pale shopaz ili nimsaidie mama kupata ada. Nilikutana na Jakaya Mrisho Kikwete wakati huo akiwa Waziri wa mambo ya Nje. Mimi nilikuwa mtu wa kuongea sana. Nilikuwa namjua.
Siku hiyo alifika na akiwa amevaa kanzu nilikuwa naongea huku nauza...
Serikali ya India imetoa kibali cha kuuza tani 30,000 za mchele mweupe kwa nchi ya Tanzania na tani 80,000 kwa Taifa la Djibouti na Guinea Bisau.
India ilipiga marufuku tangu Julai 20, 2023 kuuza nje mchele mweupe usio wa Basmati katika jaribio la kudhibiti bei ya mchele nchini India na...
Hi guys…
VIKOBA NI NINI? ni mfumo wa kuweka na kukopa kwa wanachama waliojiunga kwa pamoja na kuunda kikundi kwa malengo ya kujikwamua kiuchumi.
Ni na ni sahihi ya kua vikundi hivi vimekua na matokeo chanya kijamii, na familia kiujumla
Ila kwa bahati mbaya kwa mkosaji wa kipato kwa muhusika...
Wafanyabiashara 18 Mkoa wa Katavi wamekamatwa kwa kuuza sukari kinyume na bei elekezi ya Serikali ambapo katika mkoa wa huo sukari inapaswa kuuzwa kuanzia Tsh. 2,900 hadi 3,200.
MrinMkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amewataka Wafanyabiashara kuzingatia maelejezo ya Serikali hususani...
Tanzania fence factory:(0789020813) tupigie.
Tunatengeneza na kuuza fence wire aina zote na senyenge Kwa bei ya kiwandani.
2.0mm bei yake ni 55,000/=
2.5mm bei yake ni 75,000/=
2.5mm(kijani)bei yake=80,000/=
Fence wires zote ni mita 11.
Tupo Kinondoni mkwajuni dsm
Tunafanya delivery Kokote ulipo...
JESHI la Polisi mkoani Shinyanga, linawashikilia wafanyabiashara sita wa sukari kwa tuhuma za kuuza sukari kinyume na bei elekezi ya serikali.
Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Christina Mndeme, katika kikao alichofanya na wafanyabiashara wa sukari mkoani humo kilichokuwa na...
Ni hesabu nilizopiga katika duka langu dogo nililoweka binti wa kazi mwaka jana, Nimehitimisha biashara ilikuwa inapiga nondo / kujitekenya / BREAK EVEN.
Biashara hii mzigo wa dukani sio wangu hadi pale tu nitapouza, nisipouza naweza kuurudisha, mzigo ukiisha naenda kuchukua mwengine, hivyo...
Haya mambo ya ajabu sana Tuliowapa kazi wameshindwa wanamtupia lawama mtu anayecheza na fursa....
Kama mtu ali-gamble akachukua shehena ya sukari fingers crossed kwamba bei zitapanda na yeye ajipatie bahati kwanini tumpangie bei ya kuuza wakati bei labda zikishuka (Mkeka wake usipotiki)...
RASHIDI Mkayala mkazi wa Mtaa Gemu Kata ya Mwanga Kusini Manispaa ya Kigoma Ujiji amemuua mke wake Bernadeta Cosmas(33) kwa kumnyonga shingo hadi kufa chanzo kikielezwa kuwa ni mgogoro baina ya wanandoa hao.
Muda mfupi baada ya Mkayala kutekeleza tukio la kumnyonga mkewe, naye alijinyonga kwa...
Katika kisa kilichoshangaza katika eneo la Kirinyaga nchini Kenya, watu 17 wamepoteza maisha baada ya kunywa pombe haramu ambayo inadaiwa waliuziwa na maafisa wa polisi.
Tukio hilo limetokea baada ya maafisa hao kudaiwa kuvunja ghala la polisi na kuiba kileo hicho kilichokuwa kimewekwa kama...
Ubalozi wa Marekani Dar es Salaam unapenda kutangaza kuwa itauza mali mbalimbali katika mnada utakaofanyika tarehe 10 Februari 2024, kuanzia saa 3 asubuhi. Mnada huu utaendeshwa na kufanyika UNIVERSAL AUCTION CENTRE, iliyoko karibu na Golden Resort, Lion Street, Sinza, Dar es Salaam (Angalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.