Nisipoteze muda naomba niingie ndani ya lengo .
Ndugu zangu nina mpango wa kumfungulia shemeji yangu wakike biashara ili na yeye awe anajipatia mahitaji yake madogo madogo kuliko kuwa anashindia ndani akifatilia tamthilia na kunipiga vizinga vya hapa na pale.
Na biashara nilio iona haitampa...
Habari za Kazi ndugu wadau..?
Niko mbele zenu kuomba ujuzi wa namna ya kuendesha biashara ya Kuuza Daftari Kwa bei za jumla..
Naomba nisaidie kujua hatua za kufanya ili kufanya kazi hiyo. Pia naomba kujua Nini changamoto kubwa hasa katika biashara hiyo.
Hivi kitimoto ni kwa ajili ya walevi na wenye kipato kikubwa tu? Kwa nini hii nyama inauziwa baa na hotel kubwa tu halafu iliyoiva pia inapimwa kuanzia nusu kilo tu?
Kwa nini hakuna mama ntilie wanaouza kitimoto kama mboga ya ugali na wali?? Hatuoni huu ni unyanyapaa kwa watu wasioweza kuagiza...
Nimewahi kuandika hapa kwamba mbantu hawezi kufanya biashara kwa sababu huwa anashindwa kujitofautisha yeye na biashara yake. He think he is his business.
Kwa mfano akiwa anauza bidhaa fulani halafu watu wakawa wanaigombania sana yeye atadhani kwamba hao wateja wana mshobokea yeye na sio...
Kenya kila kikao cha mawazili kikiisha huwa inatolewa taarifa kwa umma kile walicho azimia hii ni ili Raia wajue nini kinazungumzwa na kupitishwa
Hio ni Jana, na hio ni Taarifa tena Breaking News kabisa.
Tanzanua vikao vya mawaziri ni siri nzito mno, waoiga Kura hawapaswi kujua hizo siri...
Mhadhara (54)✍️
Bila shaka ni kweli, kwasababu sina hakika kama kuna tajiri aliyetamka kuwa utajiri wake umetokana na kurithi/biashara ya magendo/ufisadi/madawa ya kulevya/ujangili/dhuruma/ au kafara.
Licha ya kwamba utandawazi (teknolojia) imetusaidia na inaendelea kutusaidia kushuhudia...
Mimi nimejaribu kupita huku na huku Tz hii. Huu utataratibu wa kuweka speakers Asubuhi mpaka jioni ukitangaza kiwanja cha futi 40x50 nimeuona Dar peke yake.
Kwa nini nje ya Dar huu utaratibu haupo wakati huku mkoani watu wanapata maeneo makubwa zaidi tena kwa bei nafuu siyo hio 20x20 . Mili 6.
Huwa nawatazama kwenye tv mmenawiri mnapendeza kweli. Mnaongelea masafa/frequency kila leo. Kuna ishu ya hawa wapigaji wa mitandao. Wapo wengi ila leo nitaongelea hawa wa mesejo za "ile hela tuma kwenye namba hii". Ni kero kero sana. Wapo pia wale wanaopiga kujifanya wafanyakazi wa mitandao...
Habari ndugu, kama kichwa Cha tangazo kilivyoandikwa nahitaji kuanzisha biashara ya kuuza dagaa waliokaangwa kutoka Bukoba -Dar hivyo nahitaji watu wa kushirikiana nao kupata soko, dagaa ni rejareja kwenye packet au kwa jumla pia wanapatikana kuanzia ndoo ya lita 10 mpk 20, hivyo kwa ambae yupo...
Habari zenu waungwana,
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, je ni ruhusa kisheria kufanya repackaging and rebranding ya product na kuuza upya. Mfano, ninunue sukari za kilo 50 alafu nizifungashe kwenye uzito wa gram 100 kisha niiuze kama brand nyingine. Napenda kujua sheria za biashara...
Karibuni kwa huduma ya ufugaji wa samaki na mbegu bora ya samaki sato na kambale.
Tunapatikana Bunju B Darajani (mingoi), njia ya kwenda bagamoyo karibuni sana.
Aisee Kuna nyumba Iko dar imegoma kuuzika kama kama mwaka saa hii😀
Sasa kama Kuna dalali hodari anicheki Whatsapp au normal namba naacha hapo chini, nitakutumia picha na kila taarifa bei tutajadiliana ilimradi pauzike
0622905303
Wakuu.
Kutegemea na muda wako na location uliopo, unaweza kufungua duka dogo ukawa unauza accessories ndogo ndogo za gari na kutoa huduma ndogo ndogo pia.
Ukitoa gharama za fremu, kwa mtaji wa chini ya Million 2 unaweza kuanza na hii biashara.
Tunaweza kudiscuss vitu ambavyo unaweza kuanza...
Wanaukumbi.
Rais Putin amekubali kuiuzia Iran Su-35s! Marubani 40x wa Iran wanaelekea Urusi kuanza mazoezi ya ndege za kivita za hali ya juu!! Iran inazidi kuwa nchi yenye nguvu kikanda!!
kuhusu uuzaji wa ndege za kivita aina ya Su-35 kutoka Urusi hadi Iran, pamoja na mafunzo ya marubani wa...
1. Smartphones na mobile ndogondogo nzuri zenye mvuto mfano nokia Og au vile vidogo kbs.pia kuna protector na cover za simu
2. Flashes na memory card..sio nzito hivyo zinabebeka kiurahisi hauhitaji kufungua duka hizi unatembea nazo kwenye minada au unategemea msimu wa mavuno vijijini huko.tena...
Wananchi Wakulima na Wafanyabiashara wa Kata Masakata Wilayani Hanang mkoani Manyara, wamefunga barabara ya Babati /Singida na kusababisha msongamano mkubwa wa magari kwa saa moja, huku wakipinga kuuza mazao yao katika mfumo wa stakabadhi ghalani, kwa madai ya kucheleweshewa malipo yao kwa muda...
Habari wadau. Nina ofisi inayoshughulika na uuzaji mabegi ya nguo pamoja na mgongoni jijini Mwanza. Naitaji kijana wakusaidiana nae majukukumu ya dukani
Sifa; 1) awe anajua kusoma, kuandika na hesabu za hapa na pale
2) Umri asizidi miaka 25
3) jinsia awe wakiume
4) Awe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.