kuuza

  1. Druggist

    Wadau wa Kutengeneza na Kuuza Sabuni Tukutane Hapa

    Salaam Wana JF. Uzi huu naomba wote wanaohusika na Kutengeneza Sabuni za aina zote,Kwa Kiwango kidogo,cha Kati na Kikubwa Tukutane Kupeana Maarifa,Taarifa,Ujuzi na uzoefu.Aidha wale wanaouza malighafi,vifungashio na hata Wauzaji wa jumla na reje reja ruksa pia.Kwa Wadau napenda tupeane uzoefu na...
  2. Brojust

    Biashara ya kuuza wazo la Biashara.

    Habari za leo wakuu; Baada ya kupigwa sana na kuhangaika na watu mpaka level za kimahama kuhusu kuibiwa idea mbali mbali. Sasa nimekuja kwenu wadau kuomba hekima zenu kwa biashara hii ambayo tayari nimeanza kuona matunda yake. Ni Biashara Ya kuuza wazo la biashara, wazo la kutafuta jina la...
  3. J

    Mfumo mpya wa iphone utazuia wezi wa simu kuuza vioo, betri na kamera za iphone

    Mwaka huu Apple imebadilisha utaratibu wake wa kurekebisha simu na vifaa vya kutumia simu. Wiki hii katika mfumo mpya wa iOS 18 wakaguzi na mafundi wa simu wamegundua Apple imeweka mfumo mpya wa kuzuia wezi kuuza display, betri na kamera za simu ambazo zimeibiwa. Mfumo mpya wa iOS 18 umeweka...
  4. Southern Highland

    Timu kama Brighton inafundisha kuiishi na kuitekeleza mifumo, sera na taratibu za timu

    Hii ni moja ya timu zinazonivutia sana kwenye ligi kuu uingereza nje ya kushabikia Chelsea. Sera yao ni kukuza na kulea vipaji pamoja na kuuza kama anapatikana mteja. Kinachonivutia zaidi ni namna wanaweza kusumbua vigogo na kutawala kwa kiasi fulani ligi ya EPL japo wanakua wamepitia vipindi...
  5. M

    Biashara ya kuuza nguo, uwakala, bajaji ipi inalipa?

    Wakubwa kwa mtu mwenye mtaji wa milion 10 biashara ipi ni ya uhakika Dar, 1. Uuzaji nguo, 2.uwakala(mpesa,tigo,banks), 3.usafirishaji abiria kwa bajaji
  6. Li ngunda ngali

    Tetesi: Hana mda mtoto pendwa anamtuhumu kuuza siri za bi mkubwa

    Mnaendeleaje huko? Mtoto pendwa anamtuhumu mwamba kuuza siri za bi mkubwa kwa wana waliotimuliwa majuzi. Mtoto pendwa ameenda mbali zaidi kwa kudai mwana anajipatia mamilioni ya frw kwa kuwaunganisha kina watakaye ili kumuona mama Wau. NB: Picha hapo juu ni ya mmoja wa wasaidizi wa Rais.
  7. S

    Wanahitajika Vijana Kwa ajili ya KUUZA bidhaa za bima

    Sisi ni wakala wa Bima tupo Dar es Salaaam, Kinondoni, tunahitaji vijana wa kike/kiume, wenye elimu ya bima ngazi ya cheti/Diploma Kwa ajili ya KUUZA bidhaa za bima, ni kazi ya mauzo/masoko kama una sifa tajwa tafadhali ni pm Kwa maelekezo zaidi@vigezo na na mashariti kuzingatiwa.
  8. M

    Natafuta vijana tupige KAZI ya kuuza Bundle mtandao ,tupate Mia Mia.

    Tigo na Halotel bundles Tu #0658204909
  9. JanguKamaJangu

    Mwanajeshi wa Marekani akutwa na hati ya kuuza siri kwa China

    Mchambuzi wa Jeshi la Marekani, Korbein Schultz amekiri mashtaka ya kula njama ya kuuza siri za kijeshi kwa China, ikielezwa alilipwa Dola 42,000 (Tsh. Milioni 113.3) ambapo hukumu yake inatarajiwa kutolewa Januari 2025. Schultz ambaye alikuwa na kibali cha usalama ili kupata taarifa za siri za...
  10. Money Penny

    Naingiza milion 22 kwa mwezi kwa biashara ya kuuza Mapapai shambani

    Haya kama mlivyosoma ni kweli Hakuna biashara ina hela kama mapapai Na hakuna biashara rahisi kama papai Papai moja shamba linauzwa tsh 1500 moja Mtaani wanauza tsh 3000 moja Kilimo chake rahisi sana ila usilime wakati wa mvua, papai inataka maji kidogo tu kwa siku Mbolea sio sana mche wa...
  11. M

    SI KWELI Simba walianza kuuza Tiketi na Jezi wiki 5 nyuma. Yanga watumia wiki 1 tu kwa mujibu wa Manara

    Kwenye hii video Manara anadai kuna Fact ambayo haisemwi kuwa Simba ilianza kuuza jezi na tiketi wiki 5 nyuma. Yanga wametumia wiki 1 tu kuuza tiketi na jezi na zimeisha, huku akisema kuna propaganda ambazo yeye alikuwa anatumia huenda ndio Simba wametumia kuonesha wamemaliza tiketi zao( Sold...
  12. Yoda

    Kwanini makande hayapatikani sehemu za kuuza vyakula?

    Makande chakula pendwa hasa kwa wapare ni nadra sana kukipata kwenye Hotel au Migahawa. Unapewa menu nzima haina makande, ukiuliza vyakula vilivyopo huwezi kutajiwa makande. Kuadimika kwake ni kwamba hakuna wateja au kimepuuzwa tu na wauza chakula??
  13. Aliko Musa

    Lipi bora, kukodisha majengo dhidi ya kuuza majengo, nini cha kuzingatia?

    Utangulizi Uamuzi wa kukodisha au kuuza majengo ni muhimu kwa wawekezaji na wamiliki wa mali isiyohamishika. Kila chaguo lina faida na changamoto zake. Makala hii itachunguza kwa kina mambo muhimu ya kuzingatia unapochagua kati ya kukodisha au kuuza majengo. Tutaangalia masuala ya kifedha...
  14. boufer

    Nina cheti cha ADO, natafuta kazi ya kuuza duka la dawa/pharmacy

    Habirini wana JF, kwa mwenye uhitaji wa mtu wa kuuza duka la dawa au pharmacy mwenye cheti cha ADO anicheki 0672498183, nina uzoefu mkubwa wa kazi hii pia duka liwe DAR ES SALAAM, asanteni
  15. boufer

    Nina Ado, natafuta kazi ya kuuza duka la dawa/pharmacy

    Habirini wana JF,kwa mwenye uhitaji wa mtu wa kuuza duka la dawa au pharmacy mwenye cheti cha ADO anicheki 0672498183, nina uzoefu mkubwa wa kazi hii pia duka liwe DAR ES SALAAM Asanteni
  16. dr namugari

    Mradi wa kuuza tofal wa halmashauri ya Arusha Dc umefeli vibaya madiwani waawajibishwe kwa kusababishia serekali hasara

    Niko ziara ya kikaz mkoa wa arusha na nikatembele arusha Dc ndipo nikabaini upigaji wa kutisha kwenye mradi mmoja wa ufwetuaji wa tofauli za bloku Kwanz nimebaini kuwa waliuziwa mtambo kwa bei ya juu ambao hadi sas hv haufanyi kaz tayari imearibika walinunua zaid ya milion. 120 mtambo ambao...
  17. Aliko Musa

    Hatua Alizofuata Mr.Juma Kuanzisha Na Kukuza Biashara Ya Kununua Na Kuuza Viwanja

    Utangulizi. Jina langu ni Juma, na nimejikita katika biashara ya kununua, kuendeleza, na kuuza viwanja. Safari yangu ya kibiashara inaanza miaka michache iliyopita, wakati nilipogundua fursa kubwa katika sekta ya ardhi. Mara ya kwanza nilipokuwa natafuta njia ya kujiongezea kipato, nilikumbana...
  18. Aliko Musa

    Mambo Muhimu Zaidi Kuhusu Biashara Ya Kununua Na Kuuza Viwanja JUNI 2024

    Land flipping (kununua na kuuza ardhi)ni mchakato wa kununua kipande cha ardhi kwa bei ya chini na kukiuza kwa bei ya juu baada ya muda mfupi ili kupata faida. Hii inaweza kufanyika kwa kuboresha ardhi kwa njia fulani. Njia za kuendeleza ardhi ni kama vile: ✓ Kuendeleza miundombinu, ✓ Kuomba...
  19. steve_shemej

    Phone4Sale Biashara ya simu kwa mtaji mdogo

    Wateja wangu karibuni mjipatie simu kwa bei ya jumla na rejareja pia ukiagiza kutoka China kupitia sisi utapata kwa bei za viwandani kwa watakao agiza pisi nyingi. Tupo Kariakoo pia wateja wa mikoani na nje ya nchi tunawahudumia. Call or WhatsApp +255713861567
  20. BabaMorgan

    Kuna ubaya kuuza nyumba ya urithi ili hali marehemu enzi za uhai wake alikataa

    Wenye experience na mali za urithi tunaomba uzoefu wenu kwa vile watoto wa marehemu hali zao za kimaisha sio nzuri wanahitaji kujikwamua kiuchumi je wakiuza nyumba na Kila mtu akichukua stahiki yake ili kujiendeleza Kuna ubaya
Back
Top Bottom