Mimi ni ke mwenye umri wa miaka 25 ,ni mrefu wastani,maji ya kunde/chocolate colour mwembamba wastani ,napenda kuvaa jamani,lakini nikinunua nguo nikianza tu kuivaa sikawii kuichoka,nguo zangu ni za mtumba najua nikienda mtumbani na elfu 50 narudi na nguo nyingi kwa sh 4000_6000 lakini dukani...