Karen Margrethe Kuvaas (born June 14, 1947) is a Norwegian politician for the Norwegian Labour Party and since 2007 mayor of Narvik.
Kuvaas took over as mayor succeeding her party colleague Olav Sigurd Alstad following the 2007 election. In November she was one of the four Nordland mayors who fronted the municipalities case in the Terra Securities scandal.
Kuna mambo mepesi machoni lakini ukiyatafakari kwa kina huwa na ujumbe mwingine kabisa!
Mfano! Ukimuona kichaa anamimba huwa inafikirisha sana ingawa haitishi machoni!
Yote tisa! kumi ni hili la uvaaji wa barakoa!
Ukitazama watu mbalimbali wanavyoshindwa kuvaa barakoa ipasavyo, Inatafakarisha...
Wakati wa shambulio la Bw. Hamza, tumeona watu wengine kwenye eneo la tukio wakidhani Hamza ni Askari. Hii imekuwa kawaida kuwavalisha Askari wetu nguo za kawaida harafu mnawapa bunduki.
Inasemekana mmoja wa Askari alijeruhiwa na Askari wenzie maana alikwa na bunduki bila ya sare. Juzi...
Nahisi siasa imetumaliza wabongo tunahitaji mabadiliko makubwa hasa iki kipindi cha uviko 19 naona kama viongozi wetu wanawaza ujinga badala ya kufanya kazi za misingi kwa taifa letu.
Poor us
Wakuu habari za siku nyingi,
Nimeshtukia hii kitu sana mtu kupata virusi vya corona kupitia vinywaji Kama soda au bia kupitia njia ya wahudumu.
Umevaa barakoa vizuri kabisaaa, una nawa mikono n.k,
Ukienda bar unavua barakoa una agiza bia ata ukiwa peke yako. Muhudum akija anakufungulia ile...
Mamlaka ya udhibiti na kuzuia magonjwa Marekani CDC imetangaza amri mpya kuwa watu wote walio choma chanjo ya kuzuia Corona waanze tena kuvaa barakoa katika mikusanyiko ya ndani.
Amri hii inakuja miezi kadhaa tangu mamlaka hiyo ilipotoa ruksa kwa wote walio chanjwa kuto vaa barakoa.
Maamuzi ya...
Mkuu wa wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro Said Mtanda Julai 19.2021 amezitaka mamlaka za usafirishaji kuzuia magari kuondoka stendi ikiwa abiria wake hawaja vaa barakoa kujikinga na virusi vya Corona.
Nimekuja kuwaambia ukweli na Rais na Serikali yake wamesha sema Corona ipo tena wimbi la tatu...
Wizara ya Ulinzi ya Ukraine imetetea uamuzi wake wa kuwavalisha wanajeshi wa kike viatu vya mchuchumio (vyenye visigino virefu) katika gwaride la kusherehekea miaka 30 ya kujitenga na Umoja wa Kisovieti baada ya baadhi ya wabunge kulalamikia uamuzi huo.
Picha za wanajeshi hao zilisambaa katika...
Wapenzi wa Yanga na Simba, Jezi zenu huwa zinavaliwa angalau siku moja kabla ya mechi,hadi siku ya mechi na baada ya mechi unaweza ukavaa kwa nusu siku hata kama umeshinda au umefungwa.Ushamba wenyewe unakuwa hivi aliyeshinda anavaa jezi wiki nzima asubuhi hadi wengine wanalala nazo,wakati...
Nisiwe mnafiki, nimeshangaa sana! Sababu ni hizi hapa, nitapokea kukosolewa sababu si mtaalamu sana;
1. Haimbi nyimbo za asili sasa uasili ule ulitoka wapi?!!! Angekuwa Mpoto ingekuwa safi kabisa.
2. Kwanini hakuvaa ya kwao ya kimanyema? Hataki kabila lake lijulikane? Angeulizwa pale, kwa...
Wananchi wote wa mkoa wa Dar es salaam wanapaswa kuwa wamevaa Barakoa muda wote hasa katika maeneo yenye msongamano, wanawe na maji tiririka, wakisikia dalili zozote zinazofanana na dalili za Covid 19 wawahi hospitalini Kufanya vipimo" Amos Makala ,Rc Dar es salaam
———-
Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
Hili ndilo Tamko jipya la Chama hicho lililotolewa na Mwenyekiti wake Mwamba Freeman Mbowe akiwa kwenye mpango wa OPERESHENI HAKI inayoendelea mkoani Morogoro, lengo la Mkakati huu ni kuongeza uzalendo na kuihifadhi Chadema ndani ya vichwa vya wananchi ili kuhamasisha ukombozi
Kama ni Gwanda...
Habari wakuu,
Nadhani ni muda mrefu tangu nipost last thread. Nashukuru Mungu ni mzima wa afya na kutokana na majukumu ya hapa na pale, nikashindwa ku-post, naamini hakijaaribika kitu kwani pamoja na yote nimekuwa nikipata nafasi za kusoma thread za wanajamii wenzangu,🙂 ingawa ntaimiss free...
Mbunge wa Momba Condester Michael Sichalwe ametolewa ndani ya ukumbi wa Bunge ili akabadilishe mavazi yake baada ya Mbunge wa Nyangw'ale Hussein Nassor Amar kuomba muongozo wa Spika kuwa kuna baadhi ya Wabunge wamevaa mavazi yasiyo na maadili.
Spika baada ya kumuamrisha kuondoka Bungeni pia...
Wadau nina tatizo la kupoteza msisimko ninapovaa mpira kuanzia bao la pili. Bao la kwanza ninaenda bila shida, ila bao la pili na kuendelea nikivaa mpira msisimko huwa unapotea nikizubaa kupachika.
Ndani ya miezi sita wabunge watatu wameshafariki lazima tuhoji kulikoni hata kama wengine tuliambiwa walipata ajali.
Kwani wabunge wakichukua tahadhari ya Corona watapungukiwa na nini?
Spika pale mbele anakaa peke yake (social distance) huku third class kwa akina Halima Mdee full kubanana na...
Kiukweli nawapongeza sana wazee wa Dar es salaam kwa kuzingatia masharti ya wizara ya afya kwa kuanza rasmi kuvaa barakoa na kutembea na vitakasa mikono.
Mungu wabariki wazee wa Dar es salaam!
Sare ni vazi au muonekano maalum katika kundi au taasisi maalum yenye mlengo mmoja!
Miongoni mwa masharti ya kuvaa sare ni:
Unatakiwa kuvaa sare wakati tu unatekeleza majukumu husika na si vinginevyo
Hutakiwi kupigana ukiwa umevaa sare
Hutakiwi kugombea usafiri ukiwa umevaa sare
Hutakiwi...
Naomba kupata sababu kama kumi kwanini Wanawake/wasichana wengi wa kiafrika wanapenda kuvaa mawigi siku hizi?
Sababu moja tu kubwa niliyoisikia kutoka kwa wanawake ni kwamba wanadai wakivaa mawigi ndio wanapendeza. Mawigi ninayoyaona mengi ni ya nywele zinazofanana na nywele au mitindo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.