Vaa aina ya mavazi yanayokuonesha kuwa ni nadhifu na uko makini 'professional' .
Kwa mwanaume unaweza vaa suti, au shati na suruali ya kitambaa, pamoja na kiatu cha kufunika cha kiofisi.
Mwanamke unaweza kuvaa blauzi na sketi nzuri, isiwe fupi au ndefu sana hadi kukuletea usumbufu, vilevile...