kuvuja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    Wizara ya Elimu: Mara ya mwisho mitihani kuvuja ni mwaka 2008

    Naibu waziri wa elimu akiwa bungeni, amesema suala la kuvuja mitihani halipo na mara ya mwisho mitihani kuvuja ni mwaka 2008 na ulikuwa mtihani mmoja wa somo la hisabati wa kidato cha nne. Naibu waziri amesema kutoka mwaka 2008 hakujawahi kutokea kuvuja mitihani bali kinachotokea ni udanganyifu...
  2. Analogia Malenga

    Rais Samia akemea suala la siri za Serikali kuvuja mitandaoni

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Mawaziri na manaibu Waziri wahakikishe siri za serikali hazivuji kufika katika mitandao ya kijamii kama ambavyo imeendelea kuwa Nukuu 'Imekuwa kama maradhi, document za Serikali tunazikuta mitandaoni, watu wanabishana huko mtu anaende kuchomoa document...
  3. U

    Naomba ushauri kuhusu tatizo la kuvuja sehemu za maunganisho ya mabati

    Wanajf mwaka huu nilifanikiwa kupata kibanda changu cha kuishi, tatizo nilipiga bati mwezi wa 9 mwaka Jana. Leo mvua zinanyesha kwa wingi, ninavujiwa kwenye zile "angles"za miinuko ya mabati Kama mjuavyo uezekaji wa kisasa! Ushauri wenu nini kifanyike!Msaada wa mawazo tafadhali.
  4. C

    Kwanini mitihani ya matabibu tu? Mbona ya wauguzi nayo ilivuja na hakuna hatua zilizochukuliwa?

    Kwanza niwapongeze wale wote walioamua kuwa uchunguzi ufanywe ili kubaini wizi wa mitihani uliotokea kwa watahiniwa wa utabibu. Naamini hatua kali zitachukuliwa dhidi ya wahusika kwani imekuwa kawaida yao kufanya kitendo hiki kwa muda mrefu. Pamoja na hayo yote, naomba kuuliza, je kwa nini...
Back
Top Bottom