Mimi nipo kwenye ndoa,Nina takribani ten years nimebahatika kupata watoto pia.napenda sana kuhudumia familia yangu kulingana na kipato changu.
Mwanzoni nilipooa mwenzangu hakuwa na kazi hivyo mimi ndio nilikuwa na 100*% ya Kila kitu ndani,kwa hyo after baada ya muda wife a akatoa wazo kuwa kwa...
Wakuu nisiwachoshe Mimi ni kijana mwenye umri was 35 naelekea uzeeni Niko DSM nipeni ushaur jamami licha ya umri wangu kwenda suala LA mke kwangu imekuwa mtihani kiukweli nikianzisha mahusiano gafla tu nachukiwa na nimpendaye na napata mitihani mingi mbaka tunaàchana.
Pia hata njian kuna mda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.