Wakuu,
Kama mnavyojua,mwenzenu nishajipata nimeshaoa,mpenzi wangu wa zamani ambaye kwa sasa siko nae mkoa mmoja kabla hata sijamwambia kuwa nimeoa,akapata taarifa
Alinitukana sana baada ya kuzidaka hizo taarifa kuwa nimeoa,eti kwa nini nimeoa,why nimempotezea muda,alikuwa ananiamini ila sasa...