Kuna makabila wanawake husifika kupenda kumtawala mwanaume kwenye ndoa, hali hii huleta migogoro, kuvunjika kwa ndoa

Kuna makabila wanawake husifika kupenda kumtawala mwanaume kwenye ndoa, hali hii huleta migogoro, kuvunjika kwa ndoa

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Kuna makabila wanawake husifika kupenda kumtawala mwanaume kwenye ndoa, hali hii huleta migogoro, kuvunjika kwa ndoa au mwanaume kukubali kuwa No 2

Ni ndoa sio uchumba, kwenye uchumba unaweza usihisi au ukachukulia mara chache ila mkishaingia kwenye ndoa sasa..... Picha linaanza

  • MERU
  • NYAKYUSA

  • PARE
  • CHAGA ( umeoa mtu anaerudi kwao kila december, Tayari saikolojia yake inahitaji growth au stability, ukiyumba kiuchumi tegemea mabadiliko )
  • HAYA (Waliobukua kitabu)
  • JALUO
 
Hao wachaga hawapendi kabisa mwanaume dhaifu. Hawana ile tabia ya kunyenyekea kama wasukuma. Ukiwa legelege hata kibwenye utakuwa unapimiwa
Udhaifu unaweza kuvumiliwa, ila yumba kiuchumi sasa, Hakuna rangi huta acha kuuona🤣🤣😂

Na kitu kikubwa huwa kinachangia ni zile Trip za December, huwa zinachangia sana kiburi ukianza kushuka kiuchumi, akiona wenzake status waume zao wanazidi kuendelea huku wewe unashuka, ni mzozo si kidogo in da house
 
Kuna makabila wanawake husifika kupenda kumtawala mwanaume kwenye ndoa, hali hii huleta migogoro, kuvunjika kwa ndoa au mwanaume kukubali kuwa No 2

Ni ndoa sio uchumba, kwenye uchumba unaweza usihisi au ukachukulia mara chache ila mkishaingia kwenye ndoa sasa..... Picha linaanza

MERU
NYAKYUSA
PARE
CHAGA (Specifically from Machame)
JALUO
win-one pole
 
Udhaifu unaweza kuvumiliwa, ila yumba kiuchumi sasa, Hakuna rangi huta acha kuuona🤣🤣😂

Na kitu kikubwa huwa kinachangia ni zile Trip za December, huwa zinachangia sana kiburi ukianza kushuka kiuchumi, akiona wenzake status waume zao wanazidi kuendelea huku wewe unashuka, ni mzozo si kidogo in da house
Kukosa pesa ndio huo udhaifu mkuu siongelei maswala ya nguvu za kiume
 
Wachaga mwisho, ukioa na wewe sio mchaga ucheze kwa machale…
Hata wao kwa wao kuna changamoto, mkuu.

Unapooa mwanamke ambaye kila December anarudi kwao, kuna kitu muhimu cha kuelewa: mara nyingi mazingira hayo yanaweza kumjengea matarajio fulani ya kimaisha.

Anaweza kuvumilia hali ya kawaida mradi kuna stability na anaona mnaendelea. Lakini ukianza kushuka kiuchumi au maendeleo yakaanza kurudi nyuma, presha inaweza kuanza kuingia taratibu hata kama alikupenda nje ya mali zako.

Kuna pia ile hali ya wanawake wanapokwenda kwao kukutana na ndugu, marafiki na mashemeji zao, mazungumzo mengi yakawa ni kuhusu maendeleo ya waume zao. Mmoja anasimulia mume wake amemnunulia gari, mwingine wamejenga nyumba, mwingine biashara imepiga hatua. Kama wewe ulikuwa unaendelea vizuri, hakuna shida. Lakini ukianza kushuka wakati wengine wanaendelea kupanda, hilo linaweza kumweka mtu kwenye pressure kubwa ya kisaikolojia.

Halafu fikiria anarudi nyumbani anakutana na mdogo wake aliyeolewa, tayari amepewa gari, wamejenga nyumba au amefanyiwa kitu kingine kikubwa cha maendeleo. Hapo ndipo comparison inaweza kuanza kufanya kazi kichwani.

Wakati mwingine matarajio, mazingira ya familia, comparison na mabadiliko ya hali ya kiuchumi vinaweza kuongeza presha ndani ya ndoa.
 
Mwanamke yeyote kwa asili, kiu yake ni kumtawala mume/mwanaume wake. Makabila tunayasingizia tuu.

Kinachotokea ni mindset ya mwanaume husika, anakubali kutawaliwa? Kuna njemba hazitawaliki (kushikwa masikio) vyovyote vile iwavyo.
 
Wachaga na wahaya wakioana wenyewe kwa wenyewe hakunaga noma sana! Kaoe wakuja, kuna namna tuu utazidiwa maarifa.
Hakuna ujanja wa "kuzidiwa maarifa"

Mambo haya hupelekea ndoa kuvunjika na kuna athari nyingi sana, family zinasambaratishwa
 
Hakuna cha kabila wala dini, mwanaume ukikubali kutawaliwa akili na mwanamke uliyemuoa jua kuna mahali ushafeli kitambo
ndio shida ilipo hapo, ndoa zinavunjika, family inasambaratishwa, watoto huathitika zaidi
 
ndio shida ilipo hapo, ndoa zinavunjika, family inasambaratishwa, watoto huathitika zaidi
Ni kweli, ila huwa tunakua tumeshafeli kuanzia kwenye malezi, background, kuchagua, treatment n.k
Kuchagua mke na mama wa watoto sio kazi rahisi ila vijana wa sasa wanakutana mjini mtu kisa anatoa uchi kila weekend unaweka ndani
Wazee wetu hawakua wajinga kuchagulia watoto wachumba
 
Unaweza kuchagua mtu uchumbani ukaona kila kitu perfect ila picha linaanza mkishaona

Ndoa ni stage mpya kabisa maishani

Kuna vitu kama wewe bada hujaingia kwenye ndoa huwezi kushirikishwa wala kuvijua kwenye level za family au ukoo

Ndio maana watu wengi hulalamika wake zao kubadilika sana baada ya ndoa, kuna mambo huwa wanaanza kufundishwa mpaka wakishaolewa,
 
Apo kwenye kuoa mtu kisha aje kubadilika ndio ulipokosea, ina maana mwanamke alikuzidi akili
 
Apo kwenye kuoa mtu kisha aje kubadilika ndio ulipokosea, ina maana mwanamke alikuzidi akili
Huwezi kumjua mtu kwenye uchumba hasa wa kisasa ]

ndio sababu hapo zamani wake walichaguliwa na wazazi au ndugu watu wazima
 
Huwezi kumjua mtu kwenye uchumba hasa wa kisasa ]

ndio sababu hapo zamani wake walichaguliwa na wazazi au ndugu watu wazima
Inawezekana sema vijana wanataka shape na sura za ku compete na washkaji
 
Back
Top Bottom