Kuna makabila wanawake husifika kupenda kumtawala mwanaume kwenye ndoa, hali hii huleta migogoro, kuvunjika kwa ndoa

Kuna makabila wanawake husifika kupenda kumtawala mwanaume kwenye ndoa, hali hii huleta migogoro, kuvunjika kwa ndoa

Kuna makabila wanawake husifika kupenda kumtawala mwanaume kwenye ndoa, hali hii huleta migogoro, kuvunjika kwa ndoa au mwanaume kukubali kuwa No 2

Ni ndoa sio uchumba, kwenye uchumba unaweza usihisi au ukachukulia mara chache ila mkishaingia kwenye ndoa sasa..... Picha linaanza

  • MERU
  • NYAKYUSA


  • PARE
  • CHAGA ( umeoa mtu anaerudi kwao kila december, Tayari saikolojia yake inahitaji growth au stability, ukiyumba kiuchumi tegemea mabadiliko )
  • HAYA (Waliobukua kitabu)
  • JALUO
Meru naweka tiki kubwa
 
Hakuna ujanja wa "kuzidiwa maarifa"

Mambo haya hupelekea ndoa kuvunjika na kuna athari nyingi sana, family zinasambaratishwa

Mimi sijazungumzia athari, nimezungumzia hali halisi ya makabila hayo mawili na "attitudes" zao kuhusu kuoa na kuoana.
 
Mkuu Nimesoma Thread Yako Tayari
Nauliza Tu Kwa Uzuri Tulioowa Hayo
Makabila Tufanye Nini Tuna Watoto
Tuachane Ama Tuvumilie Liwalo Naliwe
Moshi, Boma, Lawate, Fuka, Sanya Juu, Namwai, Ngare Nairobi

Aibu Utaona Wewe
 
Nilipokua kijana kwenye moja na mbili 95% is true
 
Kuna makabila wanawake husifika kupenda kumtawala mwanaume kwenye ndoa, hali hii huleta migogoro, kuvunjika kwa ndoa au mwanaume kukubali kuwa No 2

Ni ndoa sio uchumba, kwenye uchumba unaweza usihisi au ukachukulia mara chache ila mkishaingia kwenye ndoa sasa..... Picha linaanza

  • MERU
  • NYAKYUSA


  • PARE
  • CHAGA ( umeoa mtu anaerudi kwao kila december, Tayari saikolojia yake inahitaji growth au stability, ukiyumba kiuchumi tegemea mabadiliko )
  • HAYA (Waliobukua kitabu)
  • JALUO
win-one umesoma hiyo?
 
Mwanamke yeyote mwenye hela na elimu kukuzidi atataka akutawale bila kujali ni kabila gani. Hawa ni hatari kuliko single mothers.
 
Huwezi kumjua mtu kwenye uchumba hasa wa kisasa ]

ndio sababu hapo zamani wake walichaguliwa na wazazi au ndugu watu wazima
Unamjua vizuri tu. Na ukweli ni kwamba mtu hafichi asili.

Kinachotokea mara nyingi ni kwamba watu huwa tunapuuza patterns za muhimu sana kuzingatia. Kuna vitu unaviona na bado unapuuza.

Na hiyo inachagizwa na hali ya watu kuficha uhalisia wa maisha yao. (Faking their life style for manipulation). Mwanaume akikurupuka kumuonesha mwanamke kwamba ana nia ya kumuoa kabla hajajiridhisha tiyari ashafele
 
Back
Top Bottom