kuvunjika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Kwa research niliyofanya, Ukioa mwanamke kwao ni first born na kalelewa na wazazi wote ni wife material na wavumilivu

    Haya mambo hayana formula lakini tunachoangalia ni pattern, wanawake wengi wa kundi hili kuna vitu vingi wanafanana kwenye maisha ya ndoa. Conditions: Kwao wawe wawili au zaidi, watoto wa baba moja mama moja Awe kalelewa na wazazi wote, sio baba na mama walifarakana Kutakuwa kuna...
  2. Misri wamjibu Trump; hawawezi kushiriki kuwaomdoa Wapalestina wana dhamana isiyoweza kuvunjika na ardhi ya mababu zao

    Wanaukumbi. ⚡️🇪🇬BREAKING: Egypt’s Embassy in USA republishes the following as a response to Donald Trump: Egypt’s stance is clear: it cannot be part of any solution that involves the transfer of Palestinians into Sinai. Such a move would trigger a second Nakba, an unimaginable tragedy for a...
  3. Makosa ya kuepuka baada ya mahusiano kuvunjika

    Mahusiano yanapovunjika huwa kuna mabadiliko ambayo hujitokeza ndani ya mwili, Watu wengi hawajui kueleza maumivu hayo husema tu "mapenzi yanauma sana" lakini ukihoji yanauma vipi na sehemu gani wengi hawajui wala hawawezi kueleza.Hivyo basi badala ya kuishi huku unasikia stori za mapenzi...
  4. Inawezekana kuishi nyumba moja kama mmetalikiana/uhusiano kuvunjika?

    Kuna kijana mwenzetu anaish nyumba moja na mwanamke walietengana! Hv najiuliza inawezeka hulo kwel?
  5. L

    Sanamu La Mwalimu Nyerere Laanguka Na Kuvunjika Mkoani Tabora.Watu Washikwa na Taharuki na kusikitika Sana

    Ndugu zangu Watanzania,
  6. Vyama vya siasa nchini vinavyojiendesha kwa mikopo hatarini kusambaratika na kuvunjika kabisa

    madeni makubwa yasiyoeleweka wala yasiyolipika ni miongoni mwa hatari zinazo zengea zengea kwenye korido za miongoni mwa vyama vya siasa vikongwe na visivyo vikongwe kwenye ulingo wa kisiasa humu nchini.. hali hii ya madeni kupindukia, imepelekea kutokua kabisa na meno au sauti ya kukemea...
  7. O

    Kuna madhara yoyote ukiachana na mtu ambaye ushamlipia mahari na kumvisha pete ya uchumba?

    Wana JamiiForums hope mko poa kabisa Naomba kuuliza hili maana linanitesa sana. Mimi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nimemlipia mahari na nikamvalisha pete. Ila mimi baada ya kuona haeleweki nikampotezea. Swali ni kuna madhara yoyote ukiachana na mtu ambaye ushamlipia mahari na kumvisha pete...
  8. Ukweli mchungu wa chanzo cha Mahusiano na Ndoa kuvunjika ni Wanawake kukataza Waume zao kuwa na Wanawake wengi

    Ukweli mchungu wa chanzo cha Mahusiano na Ndoa kuvunjika ni Wanawake kukataza Waume zao kuwa na Wanawake wengi bila kukumbuka kuwa Mwanaume anatulia na mke mmoja anapofikisha angalao miaka 60 hivyobasi namna ya kuenjoy mahusiano na ndoa zao wakubali waume zao kurusha risasi nje pia wasitake...
  9. Z

    SoC04 Mkutano wa Berlin na kuvunjika kwa umoja wa waafrika katika bara letu, je tutukuze mipaka ya ukoloni bila kuungana?

    Ikumbukwe kuwa kabla ya ujio wa wakoloni katika bara la Afrika sisi tulikuwa wamoja kwa kushirikiana katika kila kitu kilicho husiana na Ubuntu wetu kwa kutokuwekeana mipaka katika bara letu. Kwa mfano wangoni chimbuko lao ni South Africa lakini walihama kutoka katika nchi yao kuja mpaka...
  10. Kukosekana kwa mahitaji muhimu chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

    Ni pamoja na mahitaji ya kila siku ndani ya nyumba kama vile chakula, mavazi na malazi kwa mama, baba na watoto, mahitaji muhimu ya kielimu na afya kwa familia nzima n.k Lakini zaidi sana, Mahitaji muhimu sana ya ndoa, kimwili na kiroho, kutokutimizwa vizuri na ipasavyo katika ukamilifu wake...
  11. Ongezeko la kuvunjika Ndoa, natoa RAI kituo Jumuishi cha Taifa cha Familia - Temeke kichunguzwe

    Sipingi Watu kutengana kwa kukubaliana kutokukubaliana, LAKINI inafikirisha zaidi pale unapogundua kuwa "kuachanishwa" kwenu kulikua na nguvu flani nyuma yake. Katika pita pita Zangu mara kadhaa nimeona kituo hiki kikitajwa kuwa na "Vishoka" kama ilivyo sehemu nyingine kama TANESCO ambao...
  12. H

    Drama ya Mapenzi: Kaka Anayekopesha kwa Riba na Tamaa za mke mchepukaji zasababisha ndoa kuvunjika na mauti

    Kuna kaka (baba) mmoja anakopesha kwa riba, akawa ana date dada mmoja mke wa mtu.... Yule dada na mumewe wakapata dharura, akashauri mumewe wakope pesa kwa mchepuko (mumewe hajui kama mkopeshaji ana date na mkewe) wakaweka nyumba yao kama dhamana. Penzi likanoga, mume akimpa mke marejesho...
  13. Moja ya sababu kwa ndoa za kisasa kuyumba na kuvunjika hovyo hovyo ni kufifia kwa matumizi ya limbwata.

    Nasemajeeee? Huu ni ukweli ambao wengi wetu kwa kujua ama kutojua hatuusemi. Ukiacha mila za jando na unyago, hizi kitchen parts zimethibitika kukosa msaada wa kutosha kuimarisha ndoa. Tumeiga mifumo iliyofeli kutokea huko ilikotoka, tukaikumbatia na kuacha mifumo yetu. Sasa basi, unaambiwa...
  14. Kwanini awamu hii ya 6 Muungano umekua hati hati kuvunjika?? kwanini hii hali haijawai kuwa moto hivi miaka ya nyuma

    Wakuu nauliza tu,,,, Ishu za muungano imekua moto kuliko ishu yoyote ile kuna nn?? Nini kinachochea hii movement!!
  15. S

    Tahadhari ya Kuvunjika Muungano wa Tanzania - USSR

    Tanganyika nayo itatawanyika vipande vipande. Mbali ya huyu Mtanganyika huyu Mzanzibari, Tanganyika haitakuwa salama na ndio hata Waasisi wa Tanganyika waliusia sana kuhusu kuizulumu Zanzibar. Zanzibar ni ya kulelewa na kufanikishwa kila wanachokitaka, wanahitaji kudekezwa kwa hali na mali...
  16. S

    Utabiri: Mechi ya Yanga na Simba ya tarehe 20/04/24 inaweza isifanyike kwasababu ambazo hazitaeleweka kwa mashabiki wa soka au mchezo kuvunjika

    Katika mechi iyayo ya Simba na Yanga, yoyote anaweza kupoteza au wakatoa sare japo wengi wanaona Simba ana nafasi kubwa ya kupoteza huo mchezo. Kwenye soka, lolote linaweza kutokea na ndio maana Simba hii dhaifu bado naipa nafasi ya kuweza kushinda au hata kutoa sare japo hata mashabiki wenyewe...
  17. Wafuatao wamefunga ndoa na umaskini. Na ni ngumu ndoa zao kuvunjika

    Umaskini ni fedheha. Kwenye maisha yako yote chukia umaskini kwa kila hali. Fanya jambo lolote la halali kujiondolea umaskini kwenye maisha yako. Ibara ya 25 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetamka wazi namna ya kuondokana na umaskini. Hata Mwenyezi Mungu mwenyewe hataki viumbe...
  18. Kosa kubwa linalofanyika kwenye uchumba linalopelekea ndoa nyingi kuwa na migogoro sugu

    Hello! Kwakuwa wadada wengi hufanya ndoa kama fashion au kama ajira basi wako tayari kufunga ndoa na mtu yeyote ilimradi tu anapumua na anaweza kumudu bei ya sukari na ugali basi. Turudi kwenye mada. Kosa hilo ni kwa wachumba kutokutaja amri zao kuu (msimamo mkuu). Mfano *Nitakusamehe kila kosa...
  19. K

    Uzembe wa Wauguzi wadaiwa kusababisha mtoto mchanga kuvunjika mkono wakati mama mtu akijifungua Hospitali ya Magunga - Tanga

    UZEMBE KWA WAJAWAZITO WAKATI WA KUJIFUNGUA ULIOPELEKEA MTOTO MCHANGA KUVUNJIKA MKONO KATIKA HOSPITALI YA MAGUMGA WILAYANI KOROGWE KATA YA MAGUMGA Mama aliyejifungua mtoto siku ya tarehe 15/01/2024 katika hospitali ya Magunga ameshindwa kuruhusiwa mpaka leo hii kutokana na tukio la mtoto wake...
  20. Kuvunjika kwa ndoa siyo sawa, Jamii inapaswa kubadilika

    Ukweli usiopingika....! Kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa miaka hii imekuwa kama kitu cha kawaida sana kwa watu, imekuwa kama fasheni watu hawaoni shida kuoana ndani ya kipindi kifupi wanakuwa washa achana. lakini jambo hili siyo sawa hata kidogo ningependa kuona jamii ikibadilika. Pamoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…