Ajali imetokea huku Costa Rica pale ilipojaribu kutua kwa dharura .
Tariifa zaidi zitawajia
===
A Boeing 757-200 cargo aircraft operated by DHL has made a dramatic emergency landing at Costa Rica’s Juan Santamaria international airport, skidded off the runway and broke in two, losing its...
Watoto wangu walipotoka shule wamenieleza walichojifunza shuleni.
Kwamba yai ukiliweka kwenye upright position yaani liwe kama limesima ukilikanyaga kwa juu haliwezi kuvunjika hata mzito kiasi gani huwezi kuvunja.
Nimejaribu sana leo mchana lakini sijafanikiwa.
Kwa maana nyingine unaweza...
Amani kwenu Wakuu.
Elimu ya mahusiano ni kubwa na watu wengi wamekuwa wakielezea mambo kadha wa kadha, kwa upande wangu naomba kujikita katika muktadha tofauti kidogo kwa namna yake japo kwa ujumla wake mambo yanaweza kuwa yaleyale kama ambavyo huelezwa na watu wengine.
Bila shaka utakubaliana...
Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika
Joyce anaonekana mwanamke anayejali sana pale anapopenda, ila huwa kile kinachotokea baadae huwa nje uwezo wake. Sababu ya uwazi wake Mahusiano yanapoanza kuyumba huwa hakuna siri. Na sio kwamba...
Katika kipindi chetu cha Gidi na Ghost asubuhi kitengo cha 'Stori za Ghost' mtangazaji Ghost Mulee alisimulia kisa kimoja kilichohusisha wapenzi wawili ambao ndoa yao ya miaka mitatu ilisambaratika wakati jamaa alipeleka mkewe nyumbani kwao kwa mara ya kwanza.
Ghost alisimulia jinsi mwanadada...
Habari wandugu
Seriously nimeshuhudia jamaa analalamika mke wake amesitisha kutoa chakula Cha usiku sababu hawana uhakika kuoga, ndani kunakuwa joto sababu fen haifanyi kazi jamaa anafikiria Leo asirudi nyumbani mapema apitie bar kwanza ....
Mpira unachezwa hadharani kila mtu anaona, tunachokiongea kila siku hapa kwenye jukwaa kimeonekana leo, unabahatika kukutana na timu mbovu lakini unashindwa hata kufurukuta unapigwa kipigo cha aibu namna hiyo, ni aibu kubwa, tena uko nyumbani kwako.
Simba ilichobakiza ni kuendelea kutegemea...
Amewataka:
: Waziri wa afya na naibu wake wajiuzulu
: Dorothy ni mke wao
: Amemsifu Ndungulile kwa sababu alitumbuliwa kwa kusimamia ukweli wake kipindi cha meko
: Akipata mtu wa kumuelewesha ataelewa ila hawa easily hawafai ni vigeu gemu.
: D oroth anasema nilikamatwa na...
afya
akili
baba mkwe
bishop
chanjo
dorothy gwajima
gani
gwajima
hata
inatisha
kukosa
kuvunjika
live
matokeo
mbunge
movie
mrembo
nchi
ndoa
nidhamu
roho
sababu
sana
ubaya
uongozi
waziri
waziri wa afya
Rejea kichwa cha habar hapo juu:
′′ Tuliishi vizuri sana, lakini alikuwa na tabia hii ya kuniuliza mbona tunafatana na mama yako kila mahali tunapoenda? Lazima uchague kati yangu na Mama yako".
Nilimjibu kuwa siwezi kumuacha mama yangu sababu ya mwanamke mwingine. Na kamwe sitajutia kuachana...
Kwa matamko na kauli zinazoendelea kutoka ACT Wazalendo na ukilinganisha na tabia ya kiburi ya CCM naona kabisa ndani ya siku sitini kila moja atabeba chake huko Unguja.
ACT Wazalendo wakikaa kikao kwa vyovyote vile watamtaka Mwinyi ajieleze na kwa uCCM ulivyo, wakina Mwinyi watawabeza ndipo...
Maisha baada ya kuachana yanategemeana na mtazamo wako wewe. Kama ukiutumia muda huo kujijenga kama kujifunza lugha mpya, kwenda kutalii (kama una akiba) kuanzisha ratiba ya mazoezi, kujiendeleza kielimu na vingine vingi kama kuongeza bidii kwenye utafutaji wa pesa, utayafurahia sana maisha...
Wadau ni nini kifanyike kuwaondoa hawa maafisa wa uhamiaji hasa walioko mipakani wanaoongea Kiingereza cha kuvunjika vunjika
Nimesikitishwa sana na nilichokishuhudia leo kutoka kwa afisa wa uhamiaji aliyeshindwa kuelewa swali dogo tu kutoka kwa mtalii liloulizwa kwa Kiingereza cha std3
Nawasalimu wana jukwaa. Natumai mu wazima sana humu ndani.
Kuna jambo ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je, hivi ni muhimu kufahamu chanzo cha kuvunjika mahusiano aliyotoka mpenzi wako kabla ya kuwa na wewe. Na hii ni kwa wote, wanaume na wanawake?
Ukweli wako kwa upande wako ni muhumi hapa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.