Mpira unachezwa hadharani kila mtu anaona, tunachokiongea kila siku hapa kwenye jukwaa kimeonekana leo, unabahatika kukutana na timu mbovu lakini unashindwa hata kufurukuta unapigwa kipigo cha aibu namna hiyo, ni aibu kubwa, tena uko nyumbani kwako.
Simba ilichobakiza ni kuendelea kutegemea...