Ndugu zangu watanzania,
Tanzania ya Rais Samia Imenoga Na inavutua,kila mtu aliye nje ya nchi anakusanya mabegi yake kurejea Nyumbani,kila mwenye mtaji anawaza kufungua biashara ,kila kijana anayemaliza kidato Cha nne na sita anao uhakika wa kutimiza Ndoto zake za kielimu,vyama vya upinzani...