Kwa wale waliobahatika kuangalia mechi karibu zote za AFCON ya mwaka huu tu 2022, ni timu ipi kwa upande wako inayocheza mzuri, mnene, wa kuvutia kiasi kwamba hutoki kwenye siti
Kama hujabahatika kuangalia mpira, basi usome tu jinsi michango ya waliobahatika kuangalia mechi mbalimbali za...
Kama wewe ni mfanyakazi wa serikali au wa sekta binafsi,bila shaka utaungana nami kuwa mabenki ya humu nchini yamekosa kabisa ubunifu wa kuvutia wakopaji. Tuna utitiri wa mabenki, lakini hakuna benki ambayo ukieenda, utaona kitu cha tofauti sana na benki nyingine kuanzia kwenye riba na mambo...
UKWELI WA KUVUTIA KUHUSU MAMA ELLEN G. WHITE:
1. Ellen ni miongoni mwa watu walioamini kwamba Kristo angerudi Oktoba 22, 1844.
2. Mnamo 1846 Ellen aliolewa na mhubiri wa Kiadventista James Springer White, ambaye alikutana naye kwenye safari ya Orrington mnamo 1845.
3. Ellen na James walikuwa...
Kesi hiyo inayoendelea leo kwenye Mahakama ya Uhujumu Uchumi chini ya Jaji Mpya Mustapha Siyani , kama kawaida imehudhuriwa na Mabalozi na wawakilishi wa Jumuiya za Kimataifa .
Tayari Mheshimiwa Mbowe amefika ndani ya Mahakama hiyo kwa usikilizaji wa kesi dhidi yake na wenzake watatu ...
Mwezi Agosti mwaka 2008, mji wa Beijing uliandaa michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto, ambayo ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa, na kupongezwa na jamii ya kimataifa. Miaka 13 baadaye, mwezi wa Agosti kwa mara nyingine tena, baada ya kufungwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Tokyo, mji wa Beijing umevutia...
Katika safari yangu ya mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uygur, nimebahatika kutembelea kwenye vivutio kadhaa, ila cha kwanza ambacho nina hamu sana ya kukielezea na ambacho kiliniwacha kinywa wazi kwa kushangaa ni mlima maarufu sana wa Tianshan.
Ilituchukua takriban mwendo wa saa mbili hivi hadi...
Salaam Wapenzi wangu,
Kuna wadudu wadogo wanachimba shimo sehemu penye mchanga, inadaiwa ukimchukua ukamung'atisha kwenye chuchu la titi, inarutubisha na kufanya ziwa liwe kubwa la kupendeza. Hata ukinyonyesha halilali na kuwa ndarandefu.
Wadudu wengine walioonesha mafanikio makubwa wanakaa...
Mama yetu gesi asilia kwa jina jingine inaitwa METHANE (CH4), kama unavyoiona hapo in kaboni moja. Gesi hii inamatumizi mengi kama vile KUPIKIA, KUWASHIA, KUZALISHIA UMEME, KAMA NISHATI VIWANDANI
LAKINI PIA GESI HII INATUMIKA KUZALISHA KEMIKALI MBALIMBALI ZENYE THAMANI KUBWA KULIKO GESI...
Habari Wana JF
Nauliza mafuta gani au tiba mbadala au njia gani inafaa tumiwa kwa mtu anayefanya kazi juani(sun rays) muda mrefu ili kutunza afya ya ngozi?
============
Ngozi ya mwanadamu inahitaji matunzo ili iweze kuwa na afya na mvuto wake wa asili. Ngozi isipotunzwa vizuri huweza kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.