kuwa makini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Mwijaku kuwa makini sana na Kauli zako za kumtaka Shemeji yako Aziz K apigie mbali ili atufunge tarehe 8, kwani tutakupiga / utapigwa uje Kutulaumu

    Yaani umealikwa katika Futuru kwa Aziz K kutokana na Njaa zako, umeshiba unaanza kumwambia Aziz K atufunge J'Mosi.
  2. K

    KUWA makini na Hawa matapeli wameishaumiza watu

    Kuna matapeli Wengi Sasa hivi Mfano. 1. LBL 2. TERRAOIL Wote lao ni moja
  3. K

    Mama Samia kuwa makini na watu wa protokali- wanakudanganya

    Najua kuna watu wengi pamoja na mimi binafsi tunamshangaa huyu Mama kubadilika sana kuanzia 2021. Sababu moja wapo inawezekana ikawa watu wake wa protokali ambao wanajiona sasa wenyewe ndiyo wana mlisha habari na kuzuia habari zisifike kwake. Kitendo cha waziri wa elimu kulalamikia kwamba watu...
  4. chizcom

    Ligi za Tanzania kama tusipo kuwa makini Simba na Yanga ni mali ya CCM kiufupi

    Kuna mda unaweza kushangaa waziri au wabunge wa CCM sababu wote ni CCM wakawa wanaongea hizi club badala ya shida za watu tokea kupata uhuru. Hivi kuna nchi gani za ulaya zimekaa bungeni kukaribisha club ambazo zitangazi taifa mfano Brazil timu ya taifa kufanya vizuri japo hata bungeni...
  5. Sisa Og

    Mwanaume Kuwa Makini Na Haya Mambo Matatu

    Habari zenu? Niende kwenye mada! Ni furaha kwangu pale ninapokutana na mwanaume mwenye mienendo ya kiume. Kwakweli inachukua muda kukutana na mwanaume haswa. Kwakweli wanaume wengi tumepoteza sifa sana. Yaani ni kama hatujui thamani yetu. Haya ni mambo matatu ambayo tunayafanya daily na...
  6. Damaso

    Mwanaume kuwa makini na 'Dinner dates'

    Katika enzi hizi za usawa wa kijinsia, ni muhimu kuchunguza kwa kina mabadiliko yanayohitajika katika uhusiano wa kimapenzi. Ni muhimu kuzingatia kwamba uhusiano wenye afya unajengwa juu ya msingi wa heshima, uwajibikaji, na uelewano wa pande zote. Mada ya nani anapaswa kulipa kwenye dinner...
  7. BabaMorgan

    Ukipata Fursa ya kwenda Thailand kuwa makini Lady boys is real story

    Hususani wale wazee wa kimasihara unaweza kujiona bonge la mjanja kwa kujiokotea dodo la kula kimasihara kumbe na wewe upo kwenye menu kutesa kwa zamu sasa toto kama hilo juu na lenyewe lina machine. NB. BONGOZOZO alishawahi kumhoji lady boy huko Thailand ukienda kwenye page yake utayaona...
  8. chiembe

    Simba na Yanga ni madude makubwa, washabiki wake wanaongozwa na imani, ni vyema kuwa makini pale tunapogusa mambo yake

    Hizi timu mambo yake na washabiki wake ni kama imani ya dini. Hata uwaambie nini, mashabiki wa timu hizi wamelewa, na wamejaa ushabiki, na hawataki uwaulize kwa kwa nini wanazipenda timu hizo, huwa hawana sababu. Ni sawa na dini. Pole Saidi Mtanda, mnyama akiwa mawindoni, kaa mbali
  9. byakunu

    Magari kuchezewa Kilometa hata Japan wanachezea la msingi ni kuwa makini sana

    Ishu ya kuuziwa gari na fake kilometers ni jambo la kawaida sana kwa mtu ambae hata kuwa na umakini wa "umakini" tumezoea magari Used kuchezewa kilometa kwenye yard za bongo, lakini kumbe hata Japan wanacheza nayo vile vile. Nina mfano hapa chini wa INSPECTION CERTIFICATE na EXPORT CERTIFICATE...
  10. Mwamuzi wa Tanzania

    Hakuna umuhimu wa kuoa mke mfanyakazi. Labda kwa waliofeli maisha wafanye hivyo wasije kufa njaa

    Hello! Ofisi yetu ya umma ina mabinti zaidi ya 20, iko Dar es salaam. Kati ya hao mabinti zaidi ya 20 mabinti zaidi ya 10 kila mtumishi anajua kuwa bosi kawapitia. Hapo hatujahesabu wengine ambao aliweza kutembea nao kwa siri zaidi. Kati ya hawa mabinti wapo wake za watu na wachumba wa watu ...
  11. DR Mambo Jambo

    Sex is Gateway to your soul kuwa makini

    Kwamba tendo la ndoa (kwa wanandoa)/Zinaa (Kwa wasio wanandoa) huweza kuwa njia huweza kuwa njia au mlango wa kuifikia roho yako kwa namna hama nyingine. Watu wawili wakiwa wanashiriki tendo hilo huwa si tena wawili wanakuwa wameungana na kuwa mwili mmoja kabisa, hii inawaunganisha kimwili...
  12. ndege JOHN

    Nakutabiria week ijayo utapata hela ila kuwa makini sana

    kuna maono ninayo kuanzia weekend ya week hii na mpaka week zijazo uko uwezekano ukapata hela ambayo itatosha kabisa kuwa ni mtaji na ukatimiza mawazo yako. Lakini pia dunia iko katika kipindi cha ku shake hivyo kuna uwezekano wa ongezeko la majanga ya asili ama yasiyo ya asili...
  13. W

    Kuwa makini kabla ya kutoa idhini kwa Programu Wezeshi kwa aina zote za maelezo inayoomba

    Kuruhusu programu kupata taarifa binafsi kama vile eneo, kamera, na namba za simu "Contacts" inaweza kuwa na madhara, kwani zinaweza kukusanya na kutumia taarifsa zako binafsi bila mtumiaji kujua au kutoa ridhaa. Pia inaweza kuongeza matumizi ya data na kupelekea chaji ya simu kuisha haraka...
  14. Pdidy

    Kuwa makini sana unapomvalisha mwenzio pete kanisani ama kokote ikadondoka usidharau

    Mkutoka hapo mkafunge mkaombee sio jambo la kawaida nawashauri Na ishahidi wengi yaliyowatokea wamelia kwenye ndoaa nami nataka wewe unaejiandaa kwa ndoa usiogope Ikikutokea hiili nendeni mkakemeee mkaombe tobacco na rehema kuna rohoo mmetupiwaa Msisahauu kutoa sadaka kwa ajili yahayo maombi...
  15. Mwamuzi wa Tanzania

    Watu hawasamehi. Kuwa makini

    Ni jambo dogo hili ninalokuambia lakini please take care. Watu hawasamehi, hawasahau kwahiyo kama kuna mtu alikutendea ubaya kuwa naye makini, hajasahau. Ipo siku atatamani akutendee tena ubaya uleule au ubaya mwingine. Kuhusu kutokusamehe , yes watu hawasamehi, kama ulimfanyia mtu mafisango...
  16. The25824

    Sababu na mbinu za kuzuia ajali za barabarani

    Ohaaaaaa, Kama wewe ni dereva soma hapa kwa makini, Hasa kama unabeba abiria ,Uliembeba kila mmoja ana sababu zake kwa nini amesafiri. Bahati mbaya dhamana ya uhai wao iko juu yako. Kuna anaeenda kutibiwa,yupo anaeenda hudhuria mazishi ya ampendae ,yupo anosafiri kwenda iona familia yake...
  17. S

    Jicho la tatu: Tundu Lissu kuwa makini, huenda kuna jambo linapangwa dhidi yako na usidhani anakukubali

    Bi. Mkubwa akiwa huko kwao, katumia jina lako kwa namna ambayo inaweza kuonekana ni ama kukutania au kukupa heshima fulani au anaku-admire. Binafsi, nakushauri uwe makini sana huenda hii ni hadaa tu ili watapofanya yao, basi yeye asihusishwe kwasababu ameonekana kukubali kumbe wana agenda...
  18. Dr leader

    Kuwa makini wakati wa kuchagua mke

    Picha hii inakusisitiza kwamba kuchagua Mke ni uamuzi wa kifedha wa maana sana kwa wanaume.. Picha ya kwanza ni Amber Heard akiwa analia, na maandishi yanayosema "$7 MILIONI MALIPO YA TALAKA." Hii na baada ya kutalakiana na mume wake Picha ya pili nin Kim Kardashian, na "$200,000 KWA MWEZI...
  19. Eli Cohen

    Kuwa makini na vijisenti vyako, unatongoza tongoza hovyo, unaishia kuwekwa mtu kati unalipa fidia ya ugoni.

    unaweza kuchukulia poa ila ukweli ni kwamba bwana na mke wake wanaweza panga njama za kula pesa zako. Hizi ishu zimeishafanyika sana sema tu huwa ni chini chini mtaani. Bwana anajua unatembea na mke wake alafu na yeye akiangalia hali yake apechi alolo na pesa ya kulipa mabaunsa wakufumue choo...
  20. Gulio Tanzania

    Kuwa makini na vijana wapiga mizinga

    Huko mitaani tunaishi na vijana wa kila namna ila hawa vijana ikiwemo hawa wapiga mizinga ya buku ni hatari sana kwanini nasema ni hatari Unavyotoa buku nakumpa mpiga mzinga sio kwa anashindwa kuipata hiyo pesa mpaka anakuomba ila hii ni njia ya vibaka wanayoitumia kujua kama wewe ni mwepesi...
Back
Top Bottom