Leo nilimiss kusikiliza redio baada ya zaidi ya miaka Miwili. Maana Nina vyanzo mbadala vya taarifa.
'Nikagugo' redio ya kusikiliza nikajikuta nasikiliza redio moja ya kiroho
Kondoo wa Bwana walikuwa wanatoa ushuhuda jinsi yanavyomkabili adui yao ibirisi.
Kilichonishtua
Mwanamama mmoja jasiri...
Ikulu imetoa ufafanuzi ni kuwa akiba iliyopo ni dola za kimarekani milion 6253 na sio dola bilion 6253.
Ni vizuri kusahihisha makosa, Ila mjitahidi yasiweze kujirudia tena kwenye hotuba za Raisi na nashauri kabla ya raisi kwenda hewani pitieni hotuba zaidi hata ya mara 5 ili kujiridhisha hakuna...
Punda mmoja alikuwa amefungwa kwenye mti.
Shetani (Pepo) akaja akaifungua ile kamba. Punda baada ya kujiona yuko huru, akaingia kwenye shamba na kuanza kula kila kitu.
Mke wa mwenye Shamba (Mke wa mkulima) akahofia Punda anataharibu kila kitu, hivyo akachukua bunduki, akamuua yule Punda...
Kaka Janu shikamoo.
Naomba leo nikupe ukweli ambao wengi hatuufahamu.
"Wenye nchi yao", baada ya kuona taifa linalegalega, waliamua kumtafuta mwendawazimu mmoja ili alirudishe kwenye reli. Kwa ustadi mkubwa sana walifanikiwa kumchanganya JK kiasi kwamba amekuja kushtuka tayari JPM ni candidate...
Habari wadau..!
Hii imewakuta watu ninao wafahamu.
Ipo hivi unaweza ukawa umesafiri salama ila ukishuka tu kituo cha bus pale stand ya Magufuli unapokelewa moja kwa moja mpaka polisi post ukizingua kunyoosha mkono au maelezo unajikuta upo Ukonga, Keko au Segerea sijajua sasa kama ni...
Sina shaka hapo ulipo kuna watu wamekuzunguka kwa maana unahusiana nao kindugu,kiurafiki, ujirani wafanyakazi wenzio pia hata wafanyabiashara wenzako.Katika hao watu wanaokuzunguka wapo wenye mwenendo mzuri na wenye mwenendo mbaya pia.
Asilimia kubwa ya mambo tunayoyafanya ni kwa sababu ya watu...
Hata tufanyeje lazima tufanane na wazungu kwenye siasa za vyama vingi. Aina hii ya siasa ililetwa kwetu na wazungu kwakuwa wana kazi nayo, lakini vyama na wanasiasa waliopigania uhuru waliikubali aina hii ya siasa kwa shingo upande kwa kulazimishwa.
Wakati wazungu wanaileta kwetu aina hii ya...
Majira haya ya asubuhi hii Rais Samia yupo safarini kuelekea Kigali Rwanda kwa mwaliko wa siku mbili na mwenyeji wake Paul Kagame (PK), nakumbuka JPM alipoingia tu madarakani alijenga sana urafiki na PK lakini baada ya muda mfupi tu urafiki wao ukaingia mchanga na vumbi baada ya hapo huyu PK...
Napendaga kuangalia friday night live show inayorushwa na East Africa TV na East Africa Radio na host wa show ni Dullah Planet. Sasa kuna jamaa yake wanakuwaga wote kwenye show. Huyu jamaa nadhani anaitwa Sepenga. Jamaa ni mshamba sana.
Kwanza sijui kama ni maarufu. Na kama ni maarufu sijui...
Kimsingi kwa mfumo wetu wa siasa Serikali ndio CCM yenyewe hivyo nguvu ya serikali ndio nguvu ya CCM.
Lakini CHADEMA wanaonekana kuwa na maarifa zaidi hasa baada ya sakata la Sabaya na sasa hili la kesi la viongozi 7 akiwemo DC Mashinji wa CCM.
Kiufupi CCM wanapaswa kuwa makini zaidi kabla...
Kimemkuta jamaa fulani uko, kafunga ndoa na binti, kumbe binti anamchezo mchafu wa kutoa 0713, kizazi hiki kabla ya ndoa, hakikisha unafanya inspection ya mbele na nyuma, sina maana ushiriki uko nyuma, lakini jilidhishe mtu unaye mchukuwa vipi uko nyuma.
Jamaa kaenda round about kwa baati...
Ndugu zangu kwa miaka ya sasa hivi ukihitaj mwanamke wa maisha(future) hakikisha inakupasa umshirikishe Mola wako.
Kwasababu sikuhizi wanawake wengi wameharibika wengi wanafanywa kinyume na maumbile mwanamke ameshakaa geto na mchizi zaidi ya mwezi magetoni jamaa anajilia vyombo na nyumbani kwao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.